Uchawi katika nyumba za kupanga

Uchawi katika nyumba za kupanga

Kuna siku nilikuwa natafuta chumba Kuna mshikaj akanitonya mtaan kwao Kuna vyumba nikaenda kuchek tumeenda mwenye nyumba hayupo Sasa tukawa tunachungulia kwenye vitasa ,tunaona mtu amelala yupo uchi pemben Kuna sahan imekwa pumba , tukaanza kumuita ita ita na wewe sijui alikuwa mzukule yule atukurud tena
We jamaa mbona.muongo sana
 
Kuna siku nilikuwa natafuta chumba Kuna mshikaj akanitonya mtaan kwao Kuna vyumba nikaenda kuchek tumeenda mwenye nyumba hayupo Sasa tukawa tunachungulia kwenye vitasa ,tunaona mtu amelala yupo uchi pemben Kuna sahan imekwa pumba , tukaanza kumuita ita ita na wewe sijui alikuwa mzukule yule atukurud tena
No..1
 
Mi picha linaanza nlikua natafuta chumba cha elfu 40 single ajabu madalali wakanipeleka chumba cha elfu 20 full singboad tailiz had rangi nzur mno nyumba inawapngaji 5 pamoja na mm wa 6 nikaona hapa hapa pazur si kwa jeul nikalipia mwaka mmoja madalali walikua wawili nikawapa 20 20 sa cku nilivyoamia ote majirani wananiangalia kwa jicho la uruma na wengine wanatingisha kichwa nikajisemea moyoni ndio hawa wambea wambea ila tutaoneshana na hivi nilivyo single watafurai na show kumbe wenzangu walikua wananionea huruma sa kumaliza kupanga panga vizur mwenye nyumba akanijia ni bb mjane akaanza kunipa mashart ya hapa na pale kubwa zaid la zamu ya kufagia nikasema ntatoa hela ikifika zam yangu, uxk asa kufika uxk mda kama sa kumi hivi nikaota mtu kanikaaba kila nikikukurusana nae naishiwa nguuvu nikajua hapa nakufa nikajilegeza 2fasta nikashtuka ucngizin kuangalia uku na uku sikuona kitu nikahema kwanza nikawasha taa nikasema ngoja nisilale tena nikawasha tv nikaweka cd gafla nikaanza kusikia skuna kwenye korido kama kuna mtu anaenda anasimama nikajua atakua mpangaji 2 nikatulia mara ikaanza tena yan anaenda anafika mwisho anatulia alafu akiianza tena kama anaanzia pale pale uyu atakua kalewa nn ngoja nikamcheki gafla kufungua mlango nakuta kitu kama nguo hivi au upande wa mtu unamalizikizikia kuingia ndani na mlango ukifungwa nikajua labla mama mwenye nyumba alitoka nje c nikatoka nje nikojoe nikamuona paka mweusi kakaa ukutani tukatumbuliana macho mwili ukanisisimka balaa nikajikaza uku naenda uku tunaangaliana axa cha ajabu ile kubadilisha ndalapale chooni nageuka simwon na kuna ukuta mkubwa 2 nikais kaingia kwangu nikaanza kuungia ndani kwangu kwa tahadhali kuanza kumtafuta sijamuona nikapumua mara yule mtu akaanza kupita tena nikasema asaiv stok nje nikaongeza sauti ya tivi gafla kamsingizi kazur kakaanza kulegeza macho yangu nikasema sio kwel nikawai maji kunawa uso aikusaidia nikapitiwa asa nipo ndotoni nikajiona natoka nje kamakuna mtu ananielekeza kitu yule mtu simwoni vizur nikikaza macho kumuangalia vizur kama yule bb vile anacheka kwa kebehi hivi kile kicheko chake hadi nikastuka ndo ckulala tena ad asubh cha ajabu nilipo amka nje majirani ote wameaka wananiangalia nikawasalimia bado wananiangalia kwa jicho lile nusu niwaulize nikakausha nikaoga nikasepa zangu nakumbuka cku hiyo nilala oficn balaa usiku wake sasa cku hiyo mwe mwe mwe jamani kama yupo mtu aamin uchawi aanze kuamini 2 ckulala kabisa ni vitimbwii kwa kwenda mbele mara watu wanacheka kolidon mara wanatembea mara mtu anatwanga niliomba pakuche mbona
No. 2
 
Nilikua na kawaida ya kuamka asubuh sana naenda kufanya mazoezi 🦾💪 hapo nje ya nyumba niliyopanga Kuna uwanja na muembe mkubwa bas nakimbia kimbia uwanjan naruka ruka mazoezi tu yakawaida nikirud najiandaa naenda jobu skuhiyo nimelala sana nmechoka sikuamka 😴 asabuh asubuh naskia watu wanaongea wamekuta maiti hapo uwanjani nilistuka kukimbia nakuta huyo baba jilani pia nakuaga nae kweny mazoezi asubh Yani sikuamini na ndio ulikua mwanzo nikaacha mazoezi kwenye ule mti ..jamaa hakuumwa ni mazoezi tu kaanguka kanyooka hapo chini 😤
No 3.
Ni wewe tu?
 
Kuna siku nilikuwa natafuta chumba Kuna mshikaj akanitonya mtaan kwao Kuna vyumba nikaenda kuchek tumeenda mwenye nyumba hayupo Sasa tukawa tunachungulia kwenye vitasa ,tunaona mtu amelala yupo uchi pemben Kuna sahan imekwa pumba , tukaanza kumuita ita ita na wewe sijui alikuwa mzukule yule atukurud tena
Umbea tu🤣
 
Nimewahi tembea sehemu nyingi Tz ila sijawah experience Imani za kishirikina kama Iringa pawaga kijiji kimoja kinaitwa magombwe, ukisikia ghost village ndiyo kule sasa, kule kila mtu ukipiga naye stori unaonywa, yule mtu kuwa naye makini ni mwanga! mpaka panya akikutwa shambani anapelekwa kwa mganga wa kienyeji😀😀👐
 
Katika umri wangu huu ninaweza kusema mikoa ya pwani ikiongozwa na Tanga ina mauzauza sana kuliko mikoa ya Inland kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi kule Mtwara Lindi wakati wa Dangote pia nimekutana sana na mambo hayo.

Mkoa wa Kigoma pia sio haba lakini Umasaini au sehemu wanaoishi Wamasai hakuna mambo ya mauzauza.

Hii ninayokupa ni fact hebu nawewe fanya research.
N kweli usemacho
 
Back
Top Bottom