ndo wanajifanya kuwa na mbwembwe kumbe bado airtel kiboko? tupa kule, nabaki airtel 3000=1gb kwa wiki
mtazamo wangu.......kwa gharama walizo2mia halotel kuingia ktk industry ya telecom,......its better wange ingia ubia na zantel wakaipataia nguv wange kuwa wame fika mbali sana hadi nw...
n kwa maono yangu me me
Halotel washashindwa Kabla ya kuingia mchezoni ..
Airtel Yatosha!
Vodacom Kazi Ni Kwako!
Tigo Tumekufikia!
Mkuu halotel ni kampuni ambayo ipo chini ya Viettel ambayo ni kampuni ya simu ya serikali kisosholisti ya Vietnam. Hawa jamaa awapo ki pesa mbele kama hayo makampuni mengine. Return on investment yao I'm sure itarudi soon bila shida.
Kama hawapo kipesa mbele return ya haraka inakujaje?
Naomba kuuliza hivi hawa wenye hii code +255742 ni kampuni gani hao
Ni Vodacom. Code hiyo imeanza hivi karibuni kutumika
Na uhakika kwa sababu wamesaidia serikali kwa kusambaza optic fibre cables vijijini, mahospitalini, na ofisi za serikali kuna msamaha wa kodi mkubwa wa kodi watayopewa.
Speed yao kali
Sasa mb800 mkuu??? Airtel ni 4gb na madakika ya kutosha kwa 6000 tu...acha nikomae nao hawa airtel tu!!
Mbona Nilipo Zinapatikana Mbalii Sanaa Na Vyuo???Sasa wewe unazungumzia UNI. Ile vocha ni ofa na walengwa ni wanachuo haiko kwenye vifurushi rasmi ndio mana zile vocha zinapatikana baadh ya maduka na hasa yaliyo jiran na vyuo, muda wowote zaweza potea
Mbona Nilipo Zinapatikana Mbalii Sanaa Na Vyuo???
Mkuuu naomba picha ya hizo vocha zikoje.