Uchambuzi vifurushi vya halotel

Uchambuzi vifurushi vya halotel

Kwahiyo wakang'oe minara yao waanze safari kabla hawajafukuzwa?

nukajua kimya kirefu huja na mshindo na mshindo wenyewe ndo huu kweli wakang'oe tu kwanza hii michezo ya kujaza laini ndani siitaki tena kwa sababu lain zote nnazo ispokua ttcl tu ndo sina na huu umalaya wa mitandao ni hasara tu kwa wallet yangu
pumbaf
 
Nilihisi kitu kama hiki.

TCRA lazima waweke mkono hapa.

Huwezi kuingilia ligi za wakubwa (tigo, voda na airtel) kirahisi na wakakuangalia tu.

Kwa mwendo huu, halotel watakufa kama smart, BoL na wengineo.

Sioni kichocheo cha kumuhamisha mtu toka mitandao mingine.
Hivi Mkuu Smart Imekufa?? Niliiacha Dar Kma Inachomoza Hivi...Ila Huku Nilipo Kuna Airtel Unicredit, Ipo Ya Shs 600 Unapata Dk 60, Sms Bila Kikomo Na Gb 1.2 Kwa Masaa 48. (Siku Mbili) Na Kuna Ya Shs 1500, Unapata Dk 150 Airtel Kwenda Airtel Na Dk 5 Mitandao Yote, Sms Bila Kikomo Na Gb 1 Kwa Siku 7. Pia Kuna Ya Shs 6000 Unapata Dk 500 Airtel Kwenda Airtel Na Dk 20 Mitandao Yote, Sms Bila Kikomo Pamoja Na Gb4 Hii Ni Kwa Mwezi.
 
Kwahiyo wakang'oe minara yao waanze safari kabla hawajafukuzwa?
eti 2000 mb400 per week wakat ata 1gb huwa hainitosh afadhali nikamue zang na tigo tu af mkuu naona hawa wajamaa wanavamia bas kwa mbele tu coz kwa kipind hiki cha mwanzo wangeweka ofa kwanza ili wapate wateja sasa wao wameweka vifurush vyao kama vile vocha zao zinapatikana kila duka kwa hyo watu watanunua wajiunge sasa mimi nawatabiria darkness fall
wanakuja easy easy tu in which country or nature of society "persuassion failure results into market failure" for sure
hahahah who know about their product even little there is no one how about market condition there is other competitors yes; how they operate and rendering their service,"through persuading their customers how better their services are" ;how they are introducing their desired fixed amount or quantity of service(bandle) at the same quality "through starting providing large quantity of bandle but decreasing slowly as time goes until reaches specific and fixed desired amount to avoid market failure"

nilkua najaribu kuwaza tu kiuchumi kama na wao walijihoji hivyo
 
Hivi kweli hii mitandao hufanya haya kwa maamuzi yao au kuna kitu nyuma ya pazia?
 
Hivi Mkuu Smart Imekufa?? Niliiacha Dar Kma Inachomoza Hivi...Ila Huku Nilipo Kuna Airtel Unicredit, Ipo Ya Shs 600 Unapata Dk 60, Sms Bila Kikomo Na Gb 1.2 Kwa Masaa 48. (Siku Mbili) Na Kuna Ya Shs 1500, Unapata Dk 150 Airtel Kwenda Airtel Na Dk 5 Mitandao Yote, Sms Bila Kikomo Na Gb 1 Kwa Siku 7. Pia Kuna Ya Shs 6000 Unapata Dk 500 Airtel Kwenda Airtel Na Dk 20 Mitandao Yote, Sms Bila Kikomo Pamoja Na Gb4 Hii Ni Kwa Mwezi.

mkuu hiyo unicredit ndo nin tena
 
Nna wasiwasi kama waliifanyia research ya kutosha market ya Tanzania. Hapa watu wanaangalia affordability lakini wapate kingi. Sasa ukiangalia vifurushi vya Hawa jamaa hakuna namna yoyote vitamshawishi mtu kuhama mtandao WA zamani. Mfano mi ninatumia Airtel na Mara nyingi huwa najiunga vifurushi vya wiki mfano nikiwa na 3500 napata 2gb kwa wiki kwa matumizi ya kawaida inanitisha kabisa. Kama Kuna downloads nataka kufanya basi naongeza cha siku ambapo 1000 napata 1gb ambayo hata kama nataka series napata episodes 10.

So nadhani kama hawawezi kuinbest kwenye kupull wateja kutoka mitandao mingine then they have failed before they even start. Airtel waliingia sokoni na reliability, walipowin wakagundua kuwazidi wengine lazima wawabeat kwenye price so wakaenda mpaka chini ya Tigo na Vodacom so wakawa na flags 2, reliability na affordability wakaenda high.

So unless Hawa jamaa wamebadilika na kufuata soko linataka nini then I will wave 🙋 them goodbye
 
Hivi Mkuu Smart Imekufa?? Niliiacha Dar Kma Inachomoza Hivi...Ila Huku Nilipo Kuna Airtel Unicredit, Ipo Ya Shs 600 Unapata Dk 60, Sms Bila Kikomo Na Gb 1.2 Kwa Masaa 48. (Siku Mbili) Na Kuna Ya Shs 1500, Unapata Dk 150 Airtel Kwenda Airtel Na Dk 5 Mitandao Yote, Sms Bila Kikomo Na Gb 1 Kwa Siku 7. Pia Kuna Ya Shs 6000 Unapata Dk 500 Airtel Kwenda Airtel Na Dk 20 Mitandao Yote, Sms Bila Kikomo Pamoja Na Gb4 Hii Ni Kwa Mwezi.

Smart imekufa.
 
mtazamo wangu.......kwa gharama walizo2mia halotel kuingia ktk industry ya telecom,......its better wange ingia ubia na zantel wakaipataia nguv wange kuwa wame fika mbali sana hadi nw...
n kwa maono yangu me me
 
Asee kweli wamekuja kivingine kabisaa,tulisikia kuwa ni mtandao nafuu kuliko yote tanzania sasa unafuu uko wapi?.tuliwasifa mno hapa jf lakini kumbe hawana jipya,sasa ushindani uko wapi hapa?watajivunia 3g yao hadi tandahimba na naNgurukulu lakini kwa upande wa gharama hawajatenda haki kabisa.
 
Itawagharimu kuwapata wateja kampuni zilizo tangulia na hapa nimeamini kuwa kumbe halotel ni kampuni ya watu wanao kuja kunyonya tu na wala si kutoa huduma hatudanganyiki
 
Watu Waliowaongoza wamewapoteza wanataka utajiri wa haraka haraka Hapa kuna Watanzania wenzetu wamewaingiza chaka haitafika mbali nilikuwa nina hamu ya kujiunga nao sihami tena
 
Gharama za mawasiliano kwa TZ naona ni kiwewe tu...
 
Huku mtaani wanasema ile 35% ambayo anatakiwa kuingia ubia na wazawa eti anamiliki Kikwete na familia yake, sijui yana ukweli haya, let's wait and see
 
Back
Top Bottom