Uchambuzi vifurushi vya halotel

Uchambuzi vifurushi vya halotel

Na mabadiliko ya UKAWA yatakuwa Hivi hivi, hakuna jipya!
 
R.I.P SASATEL, R.I.P SMART, R.I.P BoL, R.I.P IN ADVANCE HALOTEL
 
Hata mie sikutegemea waje kwa style hii hasa kwenye internet bundle unless speed yao iwe ni ya kasi maeneo yote maana mitandao hii tuliyonayo kuna maeneo mengi hasa mikoan unauta ukiwa kaeneo flani internet safi ukirudi nyumbani au sehemu zingine unakuta network ya kusikilizia

Ndicho ninachokiface hapa Moro town. Inaniumiza balaaaa....
 
mitandao yote ya bongo hovyo tu.. mfano mimi hutumia approx. dakk tano tu za muda wa maongezi (kwa mwezi ). preference yangu ni MB tu.. kuongea na simu hata sekunde 30 huwa hazifiki..then unashangaa umetumiwa meseji inbox ikisema 'offa offa offa.. tumia dkk kadhaa za muda wa maongez, utaongea bure sijui lin na lin. au utapata shiling kadhaa za muda wa maongezi..'' hivi haya makampuni hayafanyagi survey kujua mtu huwa anatumiaga nn kwene simu yake??
 
bora hata wenzetu wana wireless majumbani kwao na maofisini.. ni mwendo wa wireless tu
 
mitandao yote ya bongo hovyo tu.. mfano mimi hutumia approx. dakk tano tu za muda wa maongezi (kwa mwezi ). preference yangu ni MB tu.. kuongea na simu hata sekunde 30 huwa hazifiki..then unashangaa umetumiwa meseji inbox ikisema 'offa offa offa.. tumia dkk kadhaa za muda wa maongez, utaongea bure sijui lin na lin. au utapata shiling kadhaa za muda wa maongezi..'' hivi haya makampuni hayafanyagi survey kujua mtu huwa anatumiaga nn kwene simu yake??

Wamefanya utafiti wakagundua wewe sio mtu wa kutumia voice kivile so wanakupa ofa ili uhamasike uanze kutumia na voice bundles pia.
 
mitandao yote ya bongo hovyo tu.. mfano mimi hutumia approx. dakk tano tu za muda wa maongezi (kwa mwezi ). preference yangu ni MB tu.. kuongea na simu hata sekunde 30 huwa hazifiki..then unashangaa umetumiwa meseji inbox ikisema 'offa offa offa.. tumia dkk kadhaa za muda wa maongez, utaongea bure sijui lin na lin. au utapata shiling kadhaa za muda wa maongezi..'' hivi haya makampuni hayafanyagi survey kujua mtu huwa anatumiaga nn kwene simu yake??

Kuna wanaotumia muda wa maongezi wengi kuliko wa data, usijiangalie wewe tu
 
vifulushi ni vya internet hawana jipya kabisa ila netwerk iko poa sana full 3g ya uhakika ila wamenikatisha tamaa ya kuhamia nitabaki airtel tu
 
ndo wanajifanya kuwa na mbwembwe kumbe bado airtel kiboko? tupa kule, nabaki airtel 3000=1gb kwa wiki
 
Back
Top Bottom