Uchambuzi vifurushi vya halotel

Wanaolalamika bei ya vifurushi vya net vya halotel, je vya SMART wanaweza kugusa!
smart nje ya dar 20,000 true unlimited (sijajiunga muda mrefu)

hicho ndio kifurishi cha bei rahisi zaidi, pia coverage ya 3g smart ni kubwa sana nje ya dar. wakati natumia smart unadownload mamia ya gb kwa mwezi kwa bei hio.
 
Mbona juzi hapa kifurushi cha neti cha siku ni mb 650 kwa sh1000 afu wanakipa dk kwa halotel tu....na kile cha bila kikomo ni mb 500 za kasi
 
Nimeviangalia havina tofauti yoyote na tigo ndo vile vile tu zikitofautiana ni mb chache na wameiga kale ka katabia ka tigo kusema kifurushi ni unlimited kumbe wanamaanisha unlimited speed. Kwa faida ya wengine

Internet siku
-Sh 250 utapata mb 50
-Sh 500 utapata mb 200

Internet wiki
-Sh 2000 utapata mb 400
-Sh 3000 utapata mb 600

Internet mwezi
-Sh 2000 utapata mb100
-Sh 5000 utapata 1gb
-Sh 10,000 utapata 3gb

Vifurushi hivyo hapo juu hawajasema kitu, kuna vifurushi ambavyo wanaviita unlimited

-sh 1000 utapata mb800 kwa siku
-sh 5000 utapata gb 1 kwa siku
-sh 15,000 utapata gb 2 kwa mwezi
-sh 25,000 utapata gb 5

mpaka hapo juu tayari wameshafeli, mtandao mpya ila vifurushi bora ya hao wa zamani.

vifurushi vya maongezi
hapa pia hamna jipya, labda hizo mb kuongezeka toka mb1 hadi 3

1. vya siku
-sh 400 unapata dk 6 sms 50 na mb3
-sh 600 unapata dk 12 sms 500 na mb5
-sh 800 unapata dk19 sms 1000 na mb8

2. vya wiki
-sh 2000 unapata dk30 sms 300 na mb60
-sh 4000 unapata dk 100 sms 1000 na mb60
-sh 10000 unapata dk 200 sms 1000 na mb60

*aliepanga hivyo vifurushi pia hakutumia akili hapa ukijiunga vifurushi viwili vya wiki vya 4000 kwa jumla ya 8000 unapata dk200 sms 2000 na mb120 ambazo ni nyingi kuliko kifurushi cha 10,000 kwa wiki. hivyo kifurushi cha 10,000 ni useless

3. vya mwezi
-sh 10,000 unapata dakika 160 sms 1500 na mb80
-sh 15,000 unapata dakika 300 sms 2500 na mb 300
-sh 20,000 unapata dakika 400 sms 3500 na mb 300
-sh 30,000 unapata dakika 550 sms 5500 na mb 500
-sh 50,000 unapata dakika 1000 sms 3000 na gb 1

*hapa pia ukinunua vifurushi viwili vya 15,000 unapata dakika 600, sms 5000 na mb 600 ambavyo ni vingi kuliko kifurushi cha 30,000 hivyo inafanya hicho kifurushi kisiwe na maana.

*hivyo hapo juu ni vifurushi vya mitandao yote mi si mpiga simu sana hivyo siwezi coment.

nimependa tu hawa jamaa wamekuja kutukumbusha basi letu jekundu liliopinduka zamani

je unafkiri Halotel wameleta mabadiliko?

Hivi ulivyoandika sio vifurushi vya ukweli vya Halotel, mfano hicho cha 500 ni MB 250 sio 200. Kujua vifurushi vya ukweli piga *148*66#
 
Baada ya kugundua kuwa H.tel huwa wanaunga vifurushi vyao ukivipigia timing. Yaani kifurushi cha siku kabla hakijaisha unaweza kuunga na kifurushi cha aina yoyote cha siku na ukapata mb zilizobaki. Nimetayarisha pia excel upige haraka ujue ni wapi utapata kwa urahisi kwa mtindo wa kuunga. Cha muhimu ni kupiga timing. Kwenye excel jaza tu namba ya kifuruhsi kama kinavyoonekana kwenye jedwali kushoto, kisha ni mara ngapi kwa kwa mfano jumla ya siku tatu za buku mbili mbili inakupa gb 9, kisha siku nne za shilingi 249 inakupa 0.3 unakua na jumla ya gb 9.3 kwa wiki kwa sh 6,996. Futa namba chini ya "Namba" na "Mara" uweke mtindo unaotaka wewe. Click hapa download excel hapa Ujaribu
 
Back
Top Bottom