Uchambuzi vifurushi vya halotel

Uchambuzi vifurushi vya halotel

Zantel wanabaki kuwa internet provider wa maana kuliko wote

Ni kweli usemayo kuhusu Zantel ila Shida yao Zantel mpaka uweze kupata vifurushi vyao hizo proces zina kona na vyumba kibao, unaweza kuahirisha na kuishia njiani. Mbaya zaidi eti uwe na line yao ya simu (Sijui kama utaratibu huu bado upo) na kingine wao wanakamata data kwenye manispaa tu.
 
Welcome to the confusion mwenyewe nilizunguka weee nikaishia kujiunga epic kimakosa nhahahahaaaa
 
Ni kweli usemayo kuhusu Zantel ila Shida yao Zantel mpaka uweze kupata vifurushi vyao hizo proces zina kona na vyumba kibao, unaweza kuahirisha na kuishia njiani. Mbaya zaidi eti uwe na line yao ya simu (Sijui kama utaratibu huu bado upo) na kingine wao wanakamata data kwenye manispaa tu.

hio ni zantel cdma, dar na zanzibar kuna zantel gsm ambayo haina tofauti na kina tigo na voda. kama upo mikoani haina maana zantel
 
Gharama zao kubwa hasa kwenye Bundles za Internet,,,though speed ya Internet yao ni nzuri saaana☺😊😊 12mb's/Second
 
Mimi niliwasubiri HALOTEL kwa hamu kubwa sana hasa kutokana na taarifa kuwa wamewekeza kwenye fibre optic nchi nzima na speed yao ya internet ni ya light. Kutokana na watu wenye kutumia huduma za internet sikuhizi nilitegemea halotel wangeleta vifurushi vikubwa kwa bei poa. Lakini hakuna jipya kwenye hivi vifurushi. Kiufupi wameingia kwenye soko kwa mkuu wa kushoto. Leo nimelazimika kununua line ya zantel ili niitumie kwenye modem na kwakweli nimefurahia bei na speed ya zantel. Halotel wanakupa MB 600 kwa Tsh 3000 kwa wiki wakati Zantel wananipa MB 700 kwa Tsh 1000 kwa wiki. Marketing manager wa Halotel jipange upya
 
Gharama zao kubwa hasa kwenye Bundles za Internet,,,though speed ya Internet yao ni nzuri saaana☺😊😊 12mb's/Second
Nileeteen Hao Halotel..Mimi Nataka Speed Tuu, Kw Sasa Natumia Voda Spidi Yao Kwa Huku Inaniridhisha..Kama Kuna Spidi Zaidi..Nahitaji!!!
 
Na nasikia net ni kuanzia 3g kwenda 4g

Nimeweka katika feature phone kufika saa 3 usiku line haisomi inaniletea ujumbe "sim reg failed" nikaitoa na kuweka kwenye smart phone ikawa inapiga mzigo fresh.
Jamaa wapo vizuri kwenye 3G ila 2G ni majanga
 
Ni kweli usemayo kuhusu Zantel ila Shida yao Zantel mpaka uweze kupata vifurushi vyao hizo proces zina kona na vyumba kibao, unaweza kuahirisha na kuishia njiani. Mbaya zaidi eti uwe na line yao ya simu (Sijui kama utaratibu huu bado upo) na kingine wao wanakamata data kwenye manispaa tu.

Line ni buku tu.... Vocha unapata hata nmb mobile... Mtandao upo kila kona kila siku wanakupa 50mb offer
 
Mimi naona Uhalotel wajipange tena wameisha bug vibaya...!! Hv kuna mjinga gani atakae acha line yake anayoitumia siku zote kwa upuuzi kama huo?? Hao jamaa kweli ni Uhalo....!!
 
Nimeweka katika feature phone kufika saa 3 usiku line haisomi inaniletea ujumbe "sim reg failed" nikaitoa na kuweka kwenye smart phone ikawa inapiga mzigo fresh.
Jamaa wapo vizuri kwenye 3G ila 2G ni majanga

line zao ni vimeo, hawajaplate ile rangi kama ya dhahabu sijui kuwe na technolojia waliyoitumia ambayo siifahamu ila inavyoonekana zitakuwa zinasumbua kihardware na kuharibika kirahisi kimazingira, vitu kama kutu, mikwaruzo na kugoma goma vitakuwa vya kawaida. ila mwisho wa siku itakuja kwenye utunzaji wako mwenyewe
 
Mkuu nilinunua line tatu Jana na moja ikiwa ya freelancers ila sijui napataje menu zao za kuangalia Salio la dk na data. Nataka nijue nilipata GB ngapi
 
Mbona hio dhahabu ipooo chief?
 
Attachments

  • 1445068136104.jpg
    1445068136104.jpg
    68.5 KB · Views: 118
Mkuu nilinunua line tatu Jana na moja ikiwa ya freelancers ila sijui napataje menu zao za kuangalia Salio la dk na data. Nataka nijue nilipata GB ngapi

*102# salio
*102*01# salio kifurushi
*148*66# menu
 
Back
Top Bottom