Uchambuzi vifurushi vya halotel

Uchambuzi vifurushi vya halotel

Fuata hatua hizi ili uweze kuitumia laini mpya ya Halotel

JINSI YA KUANZA KUTUMIA HALOTEL

1. Nunua laini na fanya usajiri - Uwe na kitambulisho ( Kwa wale ambao bado hawana laini)

2. Weka katika simu au modem (waweza tumia Dashboard ya modem kwa hatua no. 03 inayofuata)

3. Piga namba yeyote mfano 100, au 0717 54 ** ** -, Utasikia maelezo na Utapokea sms za Taarifa ya kuwa laini iko tayari kwa matumizi.

4. Settings za internet zitakuja automatic, na ikihitahi password weka 1111

5. Baada ya kuwa umepokea sms kadhaa utaona upande wa internet umefunguka na utaweza ku_connect bila shida.

UKIWEKA SETTINGS DIRECT BILA KUFUATA HIZO STEPS HAPO JUU, UNAKUWA_TERMINATED NA HUWEZI PATA CONNECTION

baada ya kuweka kwenye simu imefanya kazi
 
Smart wapo ila hawajapanuka au hawataki huko kupanuka.

tigo pia wana kifurushi cha shilingi 5000 cha mwezi mzima sijui content yake ya dakika ila ni masaa mengi tu na sms zaidi ya 10,000 na mb800,

Sasa mb800 mkuu??? Airtel ni 4gb na madakika ya kutosha kwa 6000 tu...acha nikomae nao hawa airtel tu!!
 
kwa simu umetest inakubali?

jaribu kueka apn dynamic (isiwe static) uone kama itakubali

setting ndio hizo hizo

yeah settings ni hizo hizo japo configuration wanazotuma kwenye simu ni tofauti kidogo
Inakubidi kwanza uiweke kwenye simu wakikutumia configuration unazi install kwa kuweka 1111 ndo mambo yanakubali

kwa hapa Nilipo ni Vijijini hapakuwepo na 3G hata Roaming ya Voda nimeikuta mwezi jana

Ni mtandao pekee wenye 3G inayoweza stream 480p ya youtube bila buffering wakati Airtel na Vdacom wana 3G lakini hamna cha maana

Zantel na Smart 3G roaming hata kufungua pages ni kwa tabu

xRkJ5f.jpg

4747679702.png
 
Laini za huo mtandao mpya zinapatikana wapi wajameni..?
maana mie naona wamepaka rangi zao tu kwenye vinyumba vichakavu.
sijawahi ona hata tangazo lao kama la Joti na tigo yake.
 
yeah settings ni hizo hizo japo configuration wanazotuma kwenye simu ni tofauti kidogo
Inakubidi kwanza uiweke kwenye simu wakikutumia configuration unazi install kwa kuweka 1111 ndo mambo yanakubali

kwa hapa Nilipo ni Vijijini hapakuwepo na 3G hata Roaming ya Voda nimeikuta mwezi jana

Ni mtandao pekee wenye 3G inayoweza stream 480p ya youtube bila buffering wakati Airtel na Vdacom wana 3G lakini hamna cha maana

Zantel na Smart 3G roaming hata kufungua pages ni kwa tabu

una line ya smart? au unaroam kwa vodA
 
Nitabaki airtel tu kama laini kuu. Sioni tofauti, 3mb, 5mb, 8mb ndo nitafanyia nini hizo?
 
Nimenunua line yao na hii ni speed kwa hapa Dodoma Mjini
dom.png
 
Kuna wanaotumia muda wa maongezi wengi kuliko wa data, usijiangalie wewe tu
.. Maana yangu ni kwamba, zile meseji wanazonitumiaga kwamba wamenipa offa ya muda wa maongezi wakati fika situmiagi..wangekuwa wamefanya survey wangejua mi ni mtu wa data na instead offa watakazonipatia iwe kwene data na sio muda wa maongez
 
Hee,sitok zantel,500 napata dakika 16 mitandao yote na mb100,sh 1000 napewa 1.5gb kwa unlimited speed, hawa wamekuja vibaya,hakuna atakayejiunga
 
Ingekuwa mitandao ya simu wanaangalia segment ya wanaopenda kutumia data tu wangetufikiria.
 
Back
Top Bottom