Uchambuzi vifurushi vya halotel

Uchambuzi vifurushi vya halotel

I commented on this post a few days ago, I said any merchant company under monopoly capitalism, they aimed at maximizing profits by any means. Hawa jamaa sijui wa Halotel they're both capitalist regardless wanatoka sijui Korea, aims zao ni ku make profits tuuu.

Kuna biashara ambayo sio kwa ajili ya kutengeneza faida?
 
Ulishawah Kusikia Matangazo Yao Kabla??
kwani matangazo hadi usikie? nyumba zote hizo walizopaka rangi na vibango vyao hata kabla ya uzinduzi usiniambie siyo matangazo yale. Bila matangazo kwenye soko la simu ujue umekwisha, soon utawaona nao kwenye tv nA REDIO
 
hv mkuu Chief-Mkwawa ukiwasearch halotel kwenye network wanatumia jina gani
 
Last edited by a moderator:
kwani matangazo hadi usikie? nyumba zote hizo walizopaka rangi na vibango vyao hata kabla ya uzinduzi usiniambie siyo matangazo yale. Bila matangazo kwenye soko la simu ujue umekwisha, soon utawaona nao kwenye tv nA REDIO
Jama Anadai Halotel Wapo Sawa Kwenye Vifurushi Vyao, Mimi Namuuliza Kma Ashasikia Matangazo Yao Kwamba Watakua Na Nafuu Kwenye Huduma Zao, Hapa Najaribh Kumtofautishia Matangazo Yao Kabla Ya Kuanza Huduma Zao, Walisema Utakua Mtandao Unaotoa Huduma Nafuu Zaidi Nchini, Lakin Baada Ya Kuanza Kutoa Huduma Zao, Hakuna Unafuu!! Kwahiyo Matangazo Yao Na Wanachofanya, Vinakinzana!! Alafu Mkuu Nimedownload Whatsup Plus, Inagoma Inasema Nirekebishe Saa, Nimejaribu Weee Mpka Basii Aitaki Nimeweka Mida Ya Nchi Mbal Mbali Lakin Wapi!!! Inakuaje Hapa?? International Time Pia Imekataa!!
 
labda ni ya zamani sana certificate ime expire. una uhakika ni latest version?
 
mimi naona hata hawana jipya bora hata hii mitandao yetu tulioizoea
tangu zamani.:msela::cheer2:
 
Sijawahi experience net ya hivi ktk eneo nililopo so hongera kwa Halotel.
 
Attachments

  • 1444992352694.jpg
    1444992352694.jpg
    46.9 KB · Views: 250
Pombe ileile tofauti chupa.
Hivi Mr. President??? Ulipoingia madarakani kwa sh. 500 ilikuwa mb300 leo mb1???
Nitakukumbuka sana.
 
Back
Top Bottom