tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,759
- 768
Msukule sikia gongo,minazipmbe mbege na aina zote za pombe hutolewa na maintaerharame ccm kuhonga nakuweka misukule wapiga kura wao na vibaraka wakushikilia uhai wao kwenye mitandao ya kijamii kama wewe wakati ccm ilishakufaga cku nyingi. Uliwahi kuona sisi tukigawa pombe pesa za rushwa t shet na kanga kama nyie chama chakavu. Potea kuleeeee
kwahio kwa kushindwa uwezo huo ndio mmeona muanzishe SERA ya kuhalalisha GONGO ili muweze kubadilisha taratibu zenu kutoka kwenye KIROBA kwenda kwenye GONGO rasmi.