Uchaguzi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha

Uchaguzi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha

Wajumbe wa kamati tendaji

Daudi Safari - 60
Haika Alex - 20
Margaret Samson - 123
Tumainel Wilbald - 90
Kitumbizi Bahati - 103
Francis Chuma - 130
Heriery Humphrey - 20

Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa

Issaya Doita - 36
James Lyatuu - 105

Mweka Hazina

Nsajigwa Mwakatobe - 133

Katibu Mwenezi

Gabriel Lucas Kivuyo - 138

Katibu wa Jimbo

Mosses Nanyaro - 45
Lewis Kopwe-92

Mwenyekiti Jimbo

Kalist Lazaro - 31
Magoma Dereck - 108

mbona hakuna muislamu, chadema mmezidi ubaguzi
 
[QUOTE PAPAA JIWE;10164680]Baraza la kanisa.[/QUOTE]
Udini ndo uliojaza moyo wako. Magamba huu ubaguzi utawatafuna daima. Kwa maoni yako viongozi wa kitaifa CCM/CUF ni wa misikiti/shura ya maimam.
 
Wewe unayejua dini za wagombea wao tusaidie; hao ambao kura hazikutosha ni Waislamu? Hao Wakristo waliochaguliwa, ni wa Madhehebu gani?

waliochaguliwa ni wakatoliki, waislam walienguliwa mapema sana.
 
mbona hakuna muislamu, chadema mmezidi ubaguzi

Hakuna Waislamu kwa kua Cdm sio Msikiti bali ni chama cha Siasa!
Isitoshe Waislamu unaotaka wawepo,,bahati mbaya wapo Gerezani kwa kosa la kutumiwa na Ccm kurusha Mabomu ktk Mkutano wa CDM,,Kanisani Olasiti na Gymhkana Club!!
 
Hakuna Waislamu kwa kua Cdm sio Msikiti bali ni chama cha Siasa!
Isitoshe Waislamu unaotaka wawepo,,bahati mbaya wapo Gerezani kwa kosa la kutumiwa na Ccm kurusha Mabomu ktk Mkutano wa CDM,,Kanisani Olasiti na Gymhkana Club!!

kwa hiyo waislam wote arusha wako gerezani?
 
waislamu walikuwepo majina yao yakaondolewa mapema na mtei, chadema mna chuki sana na waislamu

Ni kweli CDM inachuki sana kwa Waislamu ila sio Waislamu wote bali ni wale Wachache(Km wewe) wenye kuendekeza Udini na kuuwa watu wasio na hatia kwa kuwarushia Mabomu,Kanisani,,Mikutanoni na ktk Sehemu za Starehe!!
 
Back
Top Bottom