Uchaguzi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha

Uchaguzi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha

Amemaliza kuzungumza M/kiti wa Wilaya anayemaliza muda wake. Kamanda Ephata Nanyaro! Amewashukuru wanachama wote kwa ushirikiano waliompa katika kipindi chote ha uongozi!
 
Uongozi wa wilaya ya arusha mjini umevunjwa rasmi kupisha uchaguzi wa jimbo.
 
Changamoto ni kubwa. Wagombea wa nafasi ya mjumbe wa kamati tendaji wapo saba!
 
kamanda MBOWE amenifurahisha sana KUOMBA RADHI kwa kuvaa suti !
 
Hemedy alistahili kushinda. Ila dini imetumika kumnyima ushindi.
 
DALLAI LAMA , Crashwise na wengine wote mnaotuletea hili tukio live , MUNGU AWALIPE KWA KILA TONE LA JASHO MLILOPOTEZA KWA KAZI HII .
 
Tumeanza na Mungu tupo na Mungu natutamaliza na Mungu hapa ndani ya ukumbi mambo yanaendeshwa vema kabisa makamanda
 
Kura za kuwachagua wajumbe wa kamati tendaji ya wilaya ya Arusha ndio zinahesabiwa sasa. Wapo wagombea 7. Wanaotakiwa ni Wajumbe wanne.
 
Wenye maukumbi yao wanaogopa kuwakodishia CHADEMA maana vikao vyao havimaliziki bila fujo.

Asilimia 90% ya kumbi zote za Arusha zinajumuisha bar sasa ni zipi hizo wanazoogopa kuwakodisha CDM au ni ule wa ccm pale mnara wa mwenge?
 
Wajumbe wa kamati tendaji

Daudi Safari - 60
Haika Alex - 20
Margaret Samson - 123
Tumainel Wilbald - 90
Kitumbizi Bahati - 103
Francis Chuma - 130
Heriery Humphrey - 20

Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa

Issaya Doita - 36
James Lyatuu - 105

Mweka Hazina

Nsajigwa Mwakatobe - 133

Katibu Mwenezi

Gabriel Lucas Kivuyo - 138

Katibu wa Jimbo

Mosses Nanyaro - 45
Lewis Kopwe-92

Mwenyekiti Jimbo

Kalist Lazaro - 31
Magoma Dereck - 108
 
DSC08707.JPG
Hawa ndiyo viongozi wapya wa chadema jimbo la Arusha mjini..chini ya Magoma JR
 
Back
Top Bottom