Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
hakuna, jela wako akina lema, mushi, laiser majambaz
mbona huna msimamo? tukuelewe kwa ipi? chama chetu hakizingatii udini wala kabila ya mtu, bali uwezo wa mtu kuongoza
hakuna, jela wako akina lema, mushi, laiser majambaz
mbona huna msimamo? tukuelewe kwa ipi? chama chetu hakizingatii udini wala kabila ya mtu, bali uwezo wa mtu kuongoza
waislamu walikuwepo majina yao yakaondolewa mapema na mtei, chadema mna chuki sana na waislamu
Huyu Magoma si nasikia naye ndio wale wale akina "Mbatia"? au ameshaacha?
waliochaguliwa ni wakatoliki, waislam walienguliwa mapema sana.
Ndo manake. Kama ni uongo mbona nawewe ume comment hapa kumaanisha unafuatilia kwa hiari na akili zako timamu. Kwa taarifa yako chadema ndo wanaongoza nchi indirectly
Nasikia mzee mzima nae kaja ile Cruiser aliyoikataa hadharani akaipokea uchochoroni.