Uchaguzi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha

Uchaguzi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha

Sasa ni Baraza la Wanawake! Wamama wanatosha kweli kweli!
 
Baraza la kanisa.

Baraza la wazee
Mtunza hazina - Emanuel Lewi - 20
Naibu Katibu -Isaac Peter - 19
Katibu - Theresa Edward - 20
Makamu Mwenyekiti - Godwin Malisa - 17
Mwenyekiti - Emanueli Zacharia - 20
 
Unazalllisha wasomi.
Huwezi kusema umefanya utafiti alafu ukamalizia kwa kusema bado unaendelea na utafiti.

Wewe ni mjinga. Utafiti haunaga mwisho. Kila siku wanaingia viongozi wapia ktk ngazi mbalimbali na wanaingia wanachama wapia mbalimbali so lazima umakini uendelee kuwapo na utafiti vilevile. Na hapa ndo tunatofautiana na maccm. Wao wakifanya utafiti mara moja bac tena hata karne ikipita yanatembea na data za utafiti uleule wa miaka hamsini uliopita. Ndo maan kifo chenu ni kama anguoko la gunia la chumvi huku mkitabiri vifo vya chama kingine kumbe nyie weynewe ndo mmeshakufa. Acha uvivu wee msukule wa ccm utafiti hauna mwisho. Ila una stages, periods and so on.
 
Kila la Kheri makamanda... Azimio la Arusha bado liko mioyoni mwa Watanzania! Mabadiliko ya kweli dhidi ya dhulma kwa Mali za Watanzania siku zote huanzia Arusha... Tunawaombea kwa Allah S.W.T awaongoze vema kuwachagua Viongozi wenye weledi, Wazalendo, Wajasiri, Wakarimu, Wenye Utu, Wachapakazi, Wapambanaji, Wenye Maono, Wanamkakati na wenye kukubalika kwa jamii....
 
Chadema inaongoza vichwa samaki kama wewe.

Unajua mwenye utindio wa ubongo ndo wakwanza kumwambia mwenzake mwenye akili timamu una mtindio wa ubuongo kama wew unavyosema sasa ivi. Ukiwa msukule ukiambiwa saivi ni ucku utakataa kabisa nakusema mbona ni saa sita mchana na unatoka nje ukiwa umebeba jembe kwenda kumlimia aliyekuweka msukule. Mfano ni kama unavyokataa wewe chadema hakiongozi nchi ukiwapo wewe kama mtz. Na kama unakataa ummecomment mara ngapi ktk hot issue ya taifa kuhusu katiba? Au na hili ccm mnataka kutudanganya mchana kuwa ni ilani na sera yenu?basi kama ni ivo muwadanganye misukule na wale watoto wa miez miwili ndo watadanganyika na hapo matwapata na sio sisi tuliokombolewa kutoka fikra na mawazo mgando na sasa ivi tuna mwazo huru.
 
Wewe ni mjinga. Utafiti haunaga mwisho. Kila siku wanaingia viongozi wapia ktk ngazi mbalimbali na wanaingia wanachama wapia mbalimbali so lazima umakini uendelee kuwapo na utafiti vilevile. Na hapa ndo tunatofautiana na maccm. Wao wakifanya utafiti mara moja bac tena hata karne ikipita yanatembea na data za utafiti uleule wa miaka hamsini uliopita. Ndo maan kifo chenu ni kama anguoko la gunia la chumvi huku mkitabiri vifo vya chama kingine kumbe nyie weynewe ndo mmeshakufa. Acha uvivu wee msukule wa ccm utafiti hauna mwisho. Ila una stages, periods and so on.

Utafiti ulifanyia wapi au JF.
We na BAVICHA wenzio mnaongozwa na mboye na mnalishwa maneno na Slaa. hapo ndio mwisho wa utafiti wenu.

Embu basi tueleze umefanyia wapi? au kwa njia gani.
 
Tafauti yetu sisi na wao niko hapa Ukumbini hakuna vibahasha kama ccm wanavyofanyaga
 
Utafiti ulifanyia wapi au JF.
We na BAVICHA wenzio mnaongozwa na mboye na mnalishwa maneno na Slaa. hapo ndio mwisho wa utafiti wenu.

Embu basi tueleze umefanyia wapi? au kwa njia gani.

Wewe msukule si ukombolewe tu. Njoo kwangu dar nikupe kitabu chenye data zangu nikufundishe jinsi ya kujibu hoja na kufanya tafiti. Wewe upo dunia gani?nakushauri nenda darasani kwanza
 
Wewe msukule si ukombolewe tu. Njoo kwangu dar nikupe kitabu chenye data zangu nikufundishe jinsi ya kujibu hoja na kufanya tafiti. Wewe upo dunia gani?nakushauri nenda darasani kwanza

Mkuu unajichosha kumjibu mlevi anayepost akiwa MSALANI
 
Last edited by a moderator:
Wewe msukule si ukombolewe tu. Njoo kwangu dar nikupe kitabu chenye data zangu nikufundishe jinsi ya kujibu hoja na kufanya tafiti. Wewe upo dunia gani?nakushauri nenda darasani kwanza

Eti data. hata kifaranga ndani ya yai ana data pia.

Mkishakunywa GONGO mnaamkia JF. Unangea bila kipimo cha uongeaji.Na nikirudi kukuuliza vitu ulivyoviongea nyuma utakua umeshavisahau.
 
ARUSHA NOW TALKING...ujumbe wangu fisadi,na wale wote wanamuunga mkono mwigaba wasipite,tunataka makamanda walio tayari kufa sb ya CHADEMA full stop
 
Baraza la Wanawake

Mweka Hazina - Thea Albert - 23
Katibu Mwenezi - Sabina Francis - 23
Katibu - Viola Lazaro - 24
Mwenyekiti - Happyness Eliah Charles - 19
 
Eti data. hata kifaranga ndani ya yai ana data pia.

Mkishakunywa GONGO mnaamkia JF. Unangea bila kipimo cha uongeaji.Na nikirudi kukuuliza vitu ulivyoviongea nyuma utakua umeshavisahau.

Msukule sikia gongo,minazipmbe mbege na aina zote za pombe hutolewa na maintaerharame ccm kuhonga nakuweka misukule wapiga kura wao na vibaraka wakushikilia uhai wao kwenye mitandao ya kijamii kama wewe wakati ccm ilishakufaga cku nyingi. Uliwahi kuona sisi tukigawa pombe pesa za rushwa t shet na kanga kama nyie chama chakavu. Potea kuleeeee
 
Unajua mwenye utindio wa ubongo ndo wakwanza kumwambia mwenzake mwenye akili timamu una mtindio wa ubuongo kama wew unavyosema sasa ivi. Ukiwa msukule ukiambiwa saivi ni ucku utakataa kabisa nakusema mbona ni saa sita mchana na unatoka nje ukiwa umebeba jembe kwenda kumlimia aliyekuweka msukule. .

hio ndio sifa yenu

Mfano ni kama unavyokataa wewe chadema hakiongozi nchi ukiwapo wewe kama mtz. Na kama unakataa ummecomment mara ngapi ktk hot issue ya taifa kuhusu katiba? Au na hili ccm mnataka kutudanganya mchana kuwa ni ilani na sera yenu?basi kama ni ivo muwadanganye misukule na wale watoto wa miez miwili ndo watadanganyika na hapo matwapata na sio sisi tuliokombolewa kutoka fikra na mawazo mgando na sasa ivi tuna mwazo huru

Hufanani na namna unavyo jinadi.
 
Baadhi ya Washindi wa Mabaraza waliochaguliwa wamepewa nafasi ya kushukuru!
 
hio ndio sifa yenu

Hufanani na namna unavyo jinadi.

Kawaida yenu misukule ya ccm hamkubali ukweli. Kazi yenu kutetea uwongo kuwa ukweli kwa maslahi binafsi. Wabinafsi wakubwa nyie. Kwnza waroho wa madaraka wakupindukia alafu baadae mnakuja na mgongo wa nyuma eti wapenzani ni waroho wa madraka hatudanyiki tena. Miaka hamsini mmeitafuna hii nchi mbona bado mnangangania kwa uroho wenu. Fia kule miccm ptuuuuu
 
Back
Top Bottom