rashidforeseer1
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 339
- 140
Umewehuka wewe, nadhani hujui kuwa CCM ndio walioianzisha CDM. Pole mkuu, kama kwa picha huoni na kwa sauti husikii, basi subiri muda ukifika ndio utashtuka usingizini.
Sikiliza mimi ni msomi. Sidanganyiki spelekwipelekwi sifuati upepo natumia akili zote za nyuma na mbele. I always think critically. Siasa naijua na nilitumia miaka zaidi ya mitano kufanyia utafiti kuhusu hivi vyama ni kipi chenye nia ya dhati kwa maslahi ya umma yan common goals na chadema chini ya katibu mkuu dr w. Slaa kikaibuka ushindi na kuburuza vingine vyote. Wakati huo ccm ilifunga mkia ila currently ccm is the last but one which means ACT wanafunga mkia sasa. Naendelea na utafiti. Usituchezee vijana wasomi tupo makini hatudanganyiki tena na ulaghai wa ccm