Uchaguzi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha

Uchaguzi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha

uchaguzi wa baraza la vijana ndiyo unaendelea wagombea ngazi ya katibu ndiyo wanajieleza na kujibu maswali ya wajumbe...
 
Dallai Lama up dates ingekua vema Ukaweka kwa juu tutasaidiana kwa up dates kamanda
 
Wagombea wote wa nafasi ya katibu wa Bavicha wana shahada ya sheria na mmoja anasomea Masters degree!
Wasomi wameipokea cdm kweli kweli!
 
Wagombea wote wa nafasi ya katibu wa Bavicha wana shahada ya sheria na mmoja anasomea Masters degree!
Wasomi wameipokea cdm kweli kweli!

Wasomi wote waliopo CCM ni wale tu wanaofikiria kupata maslahi flani tena kwa njia ya ufisadi!
 
Wagombea wote wa nafasi ya katibu wa Bavicha wana shahada ya sheria na mmoja anasomea Masters degree!
Wasomi wameipokea cdm kweli kweli!

Mkuu Chadema siku zote ni chama ha wasomi hebu angalia nafasi za juu za BAVICHA taifa Kuanzia mwenyekiti Heche mpaka makatibu wake, Halafu njoo upande wa pili kwa yale Majangiri mwenyekiti Madiva sijui sadifa ni fom fo filuwa...makatibu wake wezi wa simu na mataulo mahotelini..ni shida

BACK TANGANYIKA
 
DSC08655.JPG DSC08656.JPG DSC08657.JPG DSC08658.JPG
 
mgombe wa kwanza wa nafasi ya M/kiti Bavicha ni mwanasherîa na ni mfanyakazi wa kituo cha msaada wa sherîa na haki za binadamu!
 
wangombea ngazi ya uwenyekiti ndiyo wanajinadi na kujibu maswali ya wajumbe...
wagombea wako watatu
  • Hemedy
  • Innocent
  • Daluni
 
Makamanda uchaguzi wa chadema jimbo la Arusha mjini ndio live Unaendelea. Red Bregade wamaimarisha ulinzi hotel ya Manor hotel panapofanyika uchaguzi.
IMG_20140726_100124.jpg
Baadhi Kikosi cha ulinzi cha chama.
IMG_20140726_100056.jpg
Mbunge wa Arusha Mjini akiwasili manor hotel
IMG_20140726_111608.jpg
Mwasisi wa chadema Edwin Mtei akiwasili Manor hotel.
IMG_20140726_100102.jpg
Baadhi ya wagombea nafasi ya wajumbe kamati tendaji.
 
Mgombea wapili wa M/kiti wa Bavicha nae ana degree ya Ujasiriamali!
 
Yani wakipata habari kuwa hawa wagombe wana shahada ya sheria na wengine masters za sheria bac wana harisha damu. Wakiungana na baba lao ngwigi wa sheria tundu lisu kisu bac ccm marehemu na hamnaga kesi ya marehu
 
Nawapenda sana wanasheria wa chadema. Yani wanatetea haki za watu pesa baadae. Kweli chadema kiboko. Jamani kina msalani na misukule wenzake hawafuraii hizi habari lazima waje kutapika nakuweka uharo hapa.
 
Yani wakipata habari kuwa hawa wagombe wana shahada ya sheria na wengine masters za sheria bac wana harisha damu. Wakiungana na baba lao ngwigi wa sheria tundu lisu kisu bac ccm marehemu na hamnaga kesi ya marehu

Huko kwao lazima uwe mtoto wa Kigogo ndani ya Chama!
 
Ninafuraha isiyo na kifani ninavyoona chama makini na safi kinavyofanya mambo yake kwa usafi.
 
Back
Top Bottom