Uchaguzi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha

Uchaguzi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha

Kamanda wa Anga ndio ameingia ukumbini! Na mkutano mkuu wa wilaya ya Arusha Jijini ndio umeanza rasmi!
 
Amemaliza kuongea Joyce Mukya, Sasa anaongea Lema!
 
Sasa wanapewa vyeti vya ushiriki wa ujenzi wa cdm ni msingi jimbo la Arusha!
 
Mbowe anasisitiza umoja, mshikamano na wanachama kujiandaa kuongoza dola, kuanzia serikali za mitaa hadi serikali kuu!
 
Mbowe anasisitiza umoja, mshikamano na wanachama kujiandaa kuongoza dola, kuanzia serikali za mitaa hadi serikali kuu!

Tunakushukuru sana kwa updates...Tunakufuatilia kwa ukaribu sana
 
Nashukuru kwa taarifa mkuu DALLAI LAMA, niko nje ya nchi kwa muda sasa ila usikate tamaa kutupasha yanayojiri nchini mwetu kamanda. Thank you.
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi

Leo ndio leo asiye na mwana aeleke mtungi,ule uchaguzi wa Chadema wilaya ya Arusha KITOVU CHA MABADILIKO UNAFANYIKA HOTEL MANOR SAKINA.

Mungi,Crushwise,Ganjaplanter,Kitu Kizito,Liverpoolfc,Arushaone,Yegella Tunaomba mmiminike jukwaani.

Uchaguzi huu umekuwa na mvuto kutokana na ukweli kuwa Chadema ina historia ya pekee kwa watu wa Arusha

Update 1..............
Inocent amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa BAVICHA wilaya.
Katibu ni Dori Kaaya.

Mwenyekiti wazee ni Emanuel Zacharia
Katibu ni mama Minja.

Mwenyekiti wa BAWACHA ni HAPPY CHALE.

Update 2...........
Wajumbe toka kata zote wamehakikiwa kiuanachama,kiulinzi pia na uchaguzi utaendea punde.
Kwa mujibu wa MC,mgeni rasmi ni KAMANDA WA ANGA FREEMAN MBOWE na KATIBU WA KANDA AMANI GOLUGWA.

Update 3..........
KAMANDA MBOWE NA LEMA WANAINGIA UKUMBINI,WIMBO WA TAIFA UNAPIGWA.
Kamishna wa NCCR Kamanda Chipaka yupo meza kuu.

MKUTANO MKUU WA WILAYA UNAANZA RASMI.
Lema: WASALITI WOTE TUWACHINJIE BAHARINI.

GOLUGWA:NI UCHAGUZI WA KWANZA WA KIHISTORIA KTK KATA NA JIMBO ZIMA LA ARUSHA.

MBOWE ANAZUNGUMZA SASA.
Anadai cdm ipo tayari kufanya kazi na chama chochote chenye mapenzi mema na wananchi.
ANAOMBA PIA RADHI KWA KUVAA SUTI KWANI AMETOKA KTK MKUTANO WA COMMONWELTH AKIWA KAMA MWAKILISHI WA BUNGE..KOMBAT NI VAZI LAKE LA MAPAMBANO.
AMEDAI KUWA CDM IMEKOMAA KUONGOZA NCHI KWANI IMETOKA KTK UANAHARAKATI.

ahsante sana m
kuu kwa update
 
Amemaliza kuongea Kamanda wa Anga! Sasa anaongea m/kiti wa kamati tendaji anayemaliza muda wake!
 
M/kiti wa kamati tendaji anayemaliza muda wake anaelezea mafanikio makubwa waliyoyapata tangu walipopewa dhamana! Hakika anastahili pongezi!
 
Amemaliza kwa kuwashukuru wanachama wote kwa kuwapa saport!
 
M/kiti wa kamati tendaji anayemaliza muda wake anaelezea mafanikio makubwa waliyoyapata tangu walipopewa dhamana! Hakika anastahili pongezi!

Naam Mkuu. Nami nawapata vyema kupitia television hapa Manor Hotel nje. Nawatakia uchaguzi wenye utulivu na amani.
 
Back
Top Bottom