Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,058
- 134,393
Chama kinakwea juu kwa kasi sana
Huko kwao lazima uwe mtoto wa Kigogo ndani ya Chama!
Chama kinakwea juu kwa kasi sana
Ccmmm kufaaaaaaaa. Kwishiney. Amebaki mifupa mikavu.
Huko kwao lazima uwe mtoto wa Kigogo ndani ya Chama!
Uchaguzi wa M/kiti Bavicha umeingia round ya pili baada ya wagombea kushindwa kufikia zaidi ya nusu ya kura zote!
nafasi ya mwenyekiti bavicha wameenda mzunguko wa pili ni kati ya Hemedy na Innocent
tulia dawa ikuingie mama...Mwenye vifaranga kashakuja kuangalia uteuzi wake. Chadema hakuna uchaguzi hata siku moja. hahaahha, Mzee Mtei alikwisha toa posa na kukioa chama cha CDM.