Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,570
- 19,447
Trump hawezi kugombea tena kwa kuogopa aibu ya kushindwa tena, ila anataka kuendelea kuwa relevant kama power house ndani ya republican hasa ukizingatia kuwa ni mtu asiyejua kufunga mdomo wake. Atakuwa anapiga kelele sana wakati wote wa miaka minne ijayo kusudi kila siku asikike na azungumzwe kwenye TV. Wenzie wakishamaliza vipindi vyao hukaa kimya, lakini Trump alianza kelele mara tu baada ya kuchaguliwa kabla hata hajaapishwa na hatanyamaza mpaka siku anaingia kaburini!The only best option for Trump is to wait for 2024. I told you before.