ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 397
- 1,395
Pamoja na uzee wake Rais Biden atagombea tena na uwezekano wa kushinda ni mkubwa.
Katika kipindi cha miaka mitatu ya uraisi wake, Biden ameweza vizuri kumdhibiti Rais Putin kuwa tishio barani Europe.
Mpango wa Putin ulikuwa kuichukuwa Ukraine na kuwa sehemu ya Urusi. Vile vile huyo mpango ulikuwa ungetishia usalama wa Ulaya kwa jumps lakini Biden kamdhibiti na uchumi wa Russia umeyumba vibaya.
Kumbuka Urusi ni taifa la kidikteta kwa hiyo sio rahisi serikali ya Moscow kukiri hadharani kwamba uchumi umeyumba.
Vile vile Biden kapaisha sana uchumi wa USA kipindi cha Obama na Trump, uchumi wa China ulikuwa tishio lakini Biden ameimarisha Sana Uchumi wa marekani kiasi kwamba uchumi wa China umeanza kudorora.
Pamoja na matatizo ya uzee wa Rais Biden, lakini kwa sasa hivi hakuna wakumshinda kwenye uchaguzi wa marekani. Donald Trump Hana uwezo wa kushindana na Biden.