Uchaguzi US: 2020

...

I think the behavioral characteristics of the hard-core Trump’s supporters and those of religious fanatics don’t differ. They tend to overestimate their own ability. ...
They may indeed be the case of delusions of grandeur... but that they may abandon The Republican Party (RINO-fest, according to them), doesn't portend well for the republicans to the razor-thin margins of the toss-up elections. Trump supporters appear to be angrier against the Republican Party than anything else.
 
They may indeed be the case of delusions of grandeur... but that they may abandon The Republican Party (RINO-fest, according to them), doesn't portend well for the republicans to the razor-thin margins of the toss-up elections. Trump supporters appear to be angrier against the Republican Party than anything else.

So they think that other republicans should yield to Trump's supporters because in a toss-up elections they will make up the numbers. That doesn't sound a good stratagem for at least two reasons. First, the participation of Trump supporters in the republican party excites equal or more numbers in the opposite side of the political spectrum. So, their number doesn't really make any big impact here. Second, there's a demographic shift. A sizable chunk of Trump's supporters are over 60. In a short terms, they might have a say. However, they will be outnumbered in a long run.
 
2nd IMPEACHMENT
TRUMP ANAWACHEZEA GOP KAMA UZI WA KUSHONEA

Seneti ilipiga kura 55-45 kuendelea na mashtaka dhidi ya Trump baada ya House kupeleka mashtaka
Republicans walipiga kura 45 wakisema si kikatiba kumshtaki Rais aliyeondoka madarakani.

Kura ya jana haikuwa kama mashtaka ni halali au la, ilikuwa kuhusu uhalali wa mchakato kuendelea au la.
Madai ya GOP yatajadiliwa mbele ya safari, kilichokubaliwa na Seneti wakiwemo GOP 5 ni kuendelea na mashtaka

GOP wanakwepa kiaini kukabiliana na mashtaka yanayomhusu Trump.

Kwa maneno mengine wanaogopa kura yoyote itakayomhusu Trump kwa hofu ile ile aliyowajengea.
Hivyo hoja yao ni kutaka yasiwepo mashtaka wala kura ya aina yoyote.

Kikatiba huko nyuma imeshatokea kwa '' waziri wa vita '' zama hizo kufanya fyongo na kujiuzulu lakini alikumbana na impeachment. Kwahiyo hilo si jambo geni

GOP wanatambua alichokifanya Trump ni uchochezi uliopelekea maafa ya vifo.

Wanachoogopa ni tuhuma dhidi ya Trump. Hofu hiyo ilimsaidia sana McConnel ambaye sasa ni minority leader kutaka muda wa kuanza mashtaka uahirishwe hadi February. Mbinu hii ililipa kwa njia mbaya na nzuri

Uzuri wa mbinu ya McConnel ni kuwa kadri muda ulivyopita ndivyo nguvu ya GOP kuunga mkono mashtaka ilivyopungua. Maana yake ni kuwa kama impeachment ingetokea mapema basi huenda maseneta 17 wangepatikana na Trump angetiwa hatianii.

Hofu hiyo ilimfanya Trump afikirie kuanzisha chama kipya. Kuanzishwa kwa chama mbadala ilikuwa ni kuwagawa Republicans. McConnel hakuwa na chaguo ikabidi awatake Democrats kufanya deal, kwamba, mawaziri wa Biden wathibitishwe haraka na GOP wapewe muda wa mashtaka hadi February.

Ubaya wa mbinu hiyo ni kuwa kadri muda unavyosonga habari zaidi zinazomhusisha Trump na ushahidi zinazidi kujitokeza. Kwa maneno mengine nyongeza ya muda inasaidia kulikuza tatizo hasa kupitia vyombo vya habari.

Lakini kubwa zaidi ni kuhusu Trump, kwamba, sasa anawatishia GOP.

Kwa wale wenye malengo ya 2024 Trump anakuwa ni tishio kubwa na wangependa apigwe pini.
Tatizo, ikiwa mpango wa kumpiga pini utakwama Trump atawaenda kombo na watapoteza kila kitu.

Kwahiyo kukaa kimya ni kumpa Trump fursa ya kugombea tena au uwezo wa kumuunga mkono amtakaye.

Wale wenye ndoto za 2024 hali yao ni mbaya. Jaribio la kuunga mkono impeachment likifeli itakuwa tatizo kwao

Kwa mantiki hiyo zigo la impeachment halipo kwa Dems au Trump, Republicans wamekalia kuti kavu

Hapa ni sawa na kusema 'ukikimbia nchale ukismama nchale'' na Trump anawapeleka Republicans mbio

Tusemezane
 
On Taxes, most parents with kids in colleges lost a lot of money than what they saved in their taxes! I used to deduct tuition for my three college kids; however, after the tax cut policy all that saving evaporated where my out of pocket became much higher than the tax savings, which was less than $700 year. I no longer donate anything to charities because I cannot claim any tax credit for it as I used to do in the past. Garage and yard sales have mushroomed under Trump because of that ill-thought tax cut policy! In all his policies, Trump never thought about the consequences; all he wanted to do is to be able to twit or say while in a rally to please his base that he did something.
 
Back
Top Bottom