commited
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 1,622
- 872
unaposema ulikua ubabe.. kwahiyo Umekwisha fanikiwa kuwavua gamba??? Jibu swali acha jaziba bwana mdogo....
Kumbe wewe kwako wewe kujivua gamba ulikua ubabe? Kama ndio iko kazi....hilo jingine peleka kwenye udaku nikikosa kazi nitakuja kukujibu huko...