ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
Hayo ni matunda ya ccm kurusha mabomu huku wakilindwa na mapolis. Ccm hamfai kuendelea kuongoza taifa letu!
Liti Mungu angetupa nafasi ya kuujua undani mioyo ya watu tuwaonao kwa macho.pole gamba naona umenyeshewa mvua
naona gamba linalouwa watu kichwa chini
![]()
Una vingapi umeuliza humu ndani na watu wakakujibu bila kukuona una matatizo..??? Au kunya aje kuku akija bata kaharisha..??? Hili ni weweseko la kushindwa uchaguzi..
Zomba,
Kumbe upo? Mbona hujatupongeza?
Uchaguzi usi na tija wala hautuumizi kichwa, tumeusahau zamani, sana.
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).
Wewe ni clementsanga yupi?au yule wa jangwani(Yanga)?siasa za nchi hii ni ngumu sana na hasa kwa baadhi ya wanasiasa sijui wanataka kutupeleka wapi mwisho wa siku
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).
Kwa nini mlishiriki uchaguzi huu "usio na tija"? Nikwambie kitu zomba, CCM haijawahi kutoambulia kiti angalau kimoja kati ya viwili vinavyogombewa katika uchaguzi wowote nchi hii. Hili ni pigo takatifu kama wewe ni mkristo!