Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 482
Huyu Nape angekuwa muungwana angeipongeza Chadema.
Amekiri kushindwa lakini ameshindwa kwenda mbele zaidi.
ccm wachache sana waungwana, huyu si alisema CDM wamejilipua ili waonewe huruma...na bi kiroboto hata hakuliongelea swala hili bungeni na akaendesha bunge kana kwamba nothing had happened!
Na ajabu zaidi, wabunge wote wa ccm na wake zao kafu (waliokuwepo bungeni) hakuna mmoja hata aliyeomba mwongozo kuhusu janga kubwa lililotokea siku hiyo huko Arusha. Badala yake wakawa wanafanya mzaha as if sio watanzania walofariki.
Viongozi wa ccm ni wana roho mbaya saaana.