Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Furaha ya ushindi imeanza kuwalevya, Nape anashinda anamwita dr Slaa majina mengi tu ya kuudhi na kupandikiza maneno ya ubaguzi wa kikabila na udini kwa haka kapost mnataka tumweke kundi la watu wastaarabu! Acheni utani


mkuu unachosema ni kweli. Nape ni kati ya vijana ambao kwa nafasi aliyo nayo kwenye chama chao. hana staha kabisa! Anavyo behave, aina ya majibu anayotoa, anavyotoa lugha ya matusi kwa viongozi kama Slaa bila sababu yoyote ya msingi, kisa eti Dk, yupo chama cha upinzani, is a disgrace.

Hawezi hata siku moja akawa mstaarabu, mtu kama nape na mwenzake mwigulu!
 
Nawapenda kwa sababu hawa wanatusaidia saaana chadema na ikibidi tuweke maombi maalumu ili wabaki na nafasi zao ili tuongeze viti vya udiwani 2014.
God bless mwigulu&nape
 
Hongera sana CHADEMA Kwa kutia kibindoni kata zenu! Asante CCM kwa kukubali uamuzi wa wananchi... Mkifanya hivi daima taifa letu litaendelea kuwa na amani na kusonga mbele... Hii ndio demokrasia na ndio maana halisi ya nguvu ya umma.

CHADEMA ijifunze pia inaposhindwa kwa nguvu ya umma isiweke msururu wa uongo... Ikubali kama CCM wanavyokubali kirahisi... Huu ndio uungwana na ndio maana ya neno "siasa", ambalo naambiwa ni la kiarabu.

Tuendelee kuleta mabadiliko nchini kwetu kwa sanduku la kura na sio zaidi ya hapo.

Sisi wananchi tusio wanachama wa chama chochote tunaamini mnashindana kutuhudumia... Ndio hatuoni sababu kutoana macho mmoja wenu anapopata nafasi ya kututumikia... Ukishindwa kajipange tena... Taifa hili lipo na tutaliacha... Kwa vizazi vijavyo kwa nini ulazimishe?

Tunadhani na kuamini kwamba Amani ndio Msingi Wa Kwanza wa Maendeleo yoyote chama X, Y, au Hata Z kitakachotuletea... Hivyo tusingependa namna yoyote ile yenye kuchezea amani... To us Amani is Critical, Important, Neccessary than the political parties... Please political parties to respect this first before anything else.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Nape naiman unapenda mabadiliko ila naapa hakiyamungu huko uliko unadhalilika labda kama unamaslah binafsi,ni bora uache siasa au utubu matusi unayowatukana watz kuwa ccm ni mkomboz wakat babu zetu wanapigika bado nanyi kwa wing wenu bungen mnaanzisha kodi ya line, mnashangilia pm kusema piga? Mnadai cdm kuhusika mabom arusha bila kudai mnaushahid? Ni hatari nape na unalijua hilo!
 
nape,unaweza kufungia vikombe kabatini visitoke, ila huwezi kuwazuia watu kufikiri,ujinga mliowalisha watu wa Arusha haujakubalika, ccm mlipo ifikisha haiitaji hata hiyo m4c ili watu kuikataa,ona serikar yako inavyowabana wananchi wake inawauzia mafuta ya taa bei ya diesel?sasa hiv eti kila kadi sa simu 1000 kwa mwezi,nijibu kwa nini msikataliwe?
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

NAPE pole sana, hilo pigo linafaa kupatiwa watu ambao ni HARD HEADED kama wewe!! MULTI FLYING KICKS!! aha aha aha aha
 
pole gamba naona umenyeshewa mvua

naona gamba linalouwa watu kichwa chini

2.jpg

shule/kusoma ni muhimu sana anagalai ccm wanavyodhalilisha wananchi wasiojua hali ya nchi
 
Nape jifunzeni kuipenda nchi hii. Msipende madaraka kuliko nchi na watu waliokuwemo. Si lazima mtumie polisi, vitisho, kulipua mabomu kwenye mikutano ya cdm na kupiga wanamtwara kwa vipigo vya jeshi.
Nakupongeza kukubali kushindwa. Nchi hii ni yetu sote. Si vizuri mfanye vituko mnavyofanya kuzuia cdm. Kadri mnavyowatumia kina Mtela, Shonza , Mwigulu na Nape kuwachafua kwa matusi viongozi wa cdm ndivo wananchi tunavoendelea kukosa imani na ccm.
CDM wamekuwa chama cha kistaarabu na utulivu lakini nyie kwa kisirani cha polisi nadila mnawavuruga.
Kaeni chini mjipange kukubali matokeo 2015 kwamba ccm inaweza kushindwa. Msiseme ushindi ni lazima. Hapo mtaleta vita vitakavyowapeleka the Hague. Tanzania hatuna ukabila wanaotymia Ruto na Uhuru kupunguza makali ya ICC kwao. Nyie mtabebwa na kupandishwa tu ndege na sisi kwa maovu ambayo mtskuwa mmefanya kwa kuua watu wasiokuwa na hatia tutasema the Hague ndio suluhisho.
 
Nape CCM hamjakosea chochote kabisa mambo yote mmrpanga yakapangika asikidanganye mtu Mwigulu ameendesha mambo vizuri sana ila ni kwamba tu watu wa Arusha leo sijui wameamkaje bana ila kama ni vizuri CCM imetulia, mwendo huu huu tutawatoa tu hawa Chadema.
Mwambie Wassira akamwambie Lukuvi kwamba Nchimbi anatuangusha leo hajapiga mabomu hata anatuangusha bana wakati stock ipo ya kutosha.
Mwendo huuhuu baba
 
Hawa wanalia Nini Wamefiwa au??? Hahaaaa mkuki kwa nguruwe Uniates hui! Mtajibeba mlifikiri waTanzania mabwege

Hata mimi nimejiuliza.Hiyo picha ni ya kwenye msiba wa mwana ccm ama ni huzuni za kushindwa uchaguzi?
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).

Huu ni unafiki uliovuka mipaka na kuona watu wengine hawana akili; Nape huyu ndiye aliwaita viongozi wa CDM na wanachama wake kuwa ni NGURUWE na matusi lukuki leo ndiye anajifanya muungwana?

Hata bomu la Arusha waliloshirikiana na mwenzake mwigulu kuandaa mipango ya kulipua na baadaye kukashifu CDM kuwa wamejilipua,hakika wewe na wenzako adhabu yenu mtaipata hapa hapa duniani
 
jamani niko maeneo ya sakina bar kilicho nishangaza ni wana ccm kufurahia ushindi wa chadema uku wakimlaumu mwigulu kwa siasa zake za kibabe ambazo azina muelekeo kabisa
Tena ni watu wazima ambao wengine wana wadhifa mkubwa ccm wanaumia sana nakusema chadema ni haki yao kushinda na hili ni kwa sababu ccm kimekosa mvuto kwa wananchi....kwa kweli nape na wenzako mjitathimini sana juu ya hili haraka sana

Duh....ungenijuza nikawachangia kwa mpesa au tigopesa....mkaongeza nyama na viraji
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).

uwe unamshauri mwigulu, sasa hivi anaharibu kazi yote uliyoifanya siku chache zilizopita.
 
Vipi hamna mpango wa kwenda mahakamani?maana ndiyo Plan B yenu Nape
 
Kweli hilo ni jibu la haraka haraka, sasa inabidi utueleze kwa nini tujipige bomu wenyewe ili tushinde?

Red Brigade, wana sababu ya kujiuwa na kuuwa zaidi ya ufataani?
 
pole gamba naona umenyeshewa mvua

naona gamba linalouwa watu kichwa chini


2.jpg
mtaalam wa explosives, kung'oa meno na kucha, kutoboa macho.
Mtengeneza filamu za kigaidi
Mla chabo watu wakiwa gesti, na kuwarekodi
Duh! huyu jamaa bonge la talenti....
Afu mwasema bongo hatuna vipaji!
Hujafika Iramba.
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).

Sawa Nape, that's very great Comment for political fairness. Kaka mbona hukuonekana kabisa Arusha au ndo tuseme sio kitengo Chako...Bravo CHADEMA, jiandaeni na 2015
 
Back
Top Bottom