Wweed
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 255
- 42
lakini hata ninyi mmeshinda kwa kumwaga damu za watu wasio na hatia
WE kweli KILAZA mzoefu,watu wali uliwa na nani?.fwala kweli ww.:kev:
lakini hata ninyi mmeshinda kwa kumwaga damu za watu wasio na hatia
Hivi tuliposhindwa Arumeru tulikataa kumbe?
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Hisia zako hazinihusu!....@nape nauye hana uchungu na Arusha kwa sababu ndiko anakotoka Mamvi ndoo maana dogo amekubali kushindwa. In short Nape amegurahi
Rephrase kidogo kauli yako mazee... Sema kwenye uchaguzi kuna kushinda, kushindwa na kurusha mabomu (kama mlivyofanya mwezi uliopita)...Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Nape waambie mawakala wako Kimandolu wasaini fomu za matokeo. Waache ushamba katika siasa za ushindani.
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mabo yote yamekwenda sawa).
Mamvi kiboko yenu magamba....mnalo hilo zigo la vima...Hisia zako hazinihusu!....
Hii hukutakiwa kujibu ila jamaa kakuprovoke kifundi hukuona hila yake,sasa hiyoimedhihiri umefurahia kweli,jibu na hii nikuonyeshe huwa tunang'amuaje watu wa sampuli yako.Hisia zako hazinihusu!....