Tupe data kamili, huko si nasikia hawakuambulia kitu kabisa!
Mawazo duni kutoka kwa jitu la hovyo!Mkuu Chadema kushinda Rombo na maeneo mengine ya wachaga unashangaa wakati ni nyumbani.
CCM Waliambulia 2/43
CDM waliambulia 41/43
sasa hiyo 70% kwa CCM wanaipataje?
Sio jipya hilo. Watu wala wewe waramba halafu wanaona jipya? unanchekesha.
Mara nyingi nimekuwea nikiangalia meza za magazeti na kuangalia gazeti gani linabaki kwa muda mrefu naona mawio ni mojawapo ya gazeti ambalo haliuziki. Jana nimegundua sababu kuu ya kwa nini haliuziki..Kwa sababu linaandika uongo mtupu..Limeandika CCM aibu tupu ati wapinzani wameata asilimia 38. lakini wasimamizi wa uchaguzi kila wilaya wanasema ccm imeshinda kwa zaidi ya asilimia 70 sasa ukifanya wastani tu utaona bado ccm imepata ushindi mnono lakini kwa kuwa mawio wanataka kuwalisha watu uongo wameamua kufanya propaganda hizo ambazo kwa kiwango kikubwa zinaua soko la gazeti lao
Hongera,kama umeweza kupitia meza za magazeti Tanzania nzima na kufanya hitimisho lako hilo,umetisha.
CCM inamuhitaji aliyekua msemaji wa Serikali ya Sadam Hussein awasaidie.
Hongera,kama umeweza kupitia meza za magazeti Tanzania nzima na kufanya hitimisho lako hilo,umetisha.
CCM inamuhitaji aliyekua msemaji wa Serikali ya Sadam Hussein awasaidie.
Na Nape aliyetoa matokeo kuwa ccm wamepata 85% hata kabla vituo vingine havijahesabu kura, haikuwa propaganda?
hebu tupe ukweli wa matokeo yote nchi nzima maana nape alisema ni 84% hapo wewe umesema zaidi ya asilimia 70 nisaidie kujua ukweli maana mawio wamesema wapinzani wameshinda asilimia 38 wewe umepinga.
kama hata jimboni kwa lissu au kilombero wasimamizi wamesema ccm imepata asilimia 70 basi wanaogopa kufukuzwa kama wenzao
kwa hapa ukerewe ccm imepata vijiji 27 na chadena vijiji 47 sasa aslimia 83 iko wakuu?
Tafsiri ya matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa inategemea utashi wa mtu. Mfano wewe umeamua kuchukua Yale matokeo yenye pingamizi pamoja na kupita bila kupingwa, ambayo kwa ufasaa sio matokeo ya uchaguzi kwa kuwa uchaguzi haukufanyika. Ila ukijitoa upogo Wako na kuangalia matokeo halisi yaani kura zilizopigwa, real votes, utagundua kuwa ccm ilipata chini ya asilimia sitini. Ila kama mnataka kujifariji na matokeo ya nje ya sanduku la kura mkidhani hata mwakani mtapata, uwanja ni wenu.
Wapi hasa mme anza kuamka?Safi sana watani zang wasukuma, sisi wagogo nasi ndio mwaka huu tumeanza kuamka usingizini i hope tutawafuata huko msitutusi jaman haya mambo yanahtaji kauelewa kadogo ambako nasi tumeanza kukapata siku hz kupitia vjana wetu