Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?


No, No,No! Hold on.....!
Kabla hujajifunza mbinu kali kali za kupiga Ramli jifunze maadili ya uandishi kwa Lugha ya Kiswahili kwanza.Unapoteza fursa na Mwelekeo.
 
No, No,No! Hold on.....!
Kabla hujajifunza mbinu kali kali za kupiga Ramli jifunze maadili ya uandishi kwa Lugha ya Kiswahili kwanza.Unapoteza fursa na Mwelekeo.
Sawa naibu katibu mtarajiwa
 
..."nimeambiwa,nimeelezwa,nimefahanishwa,nimeandikiwa hotuba...washauri wangu wamenishauri vibaya na labda wamenidanganya kwa sababu sijui chochote"...
 
Kwa kuwa utendaji wake ndani ya chama na nchi kwa ujumla ni ya kuridhisha sana,hata akiwa wa MILELE ni sawa tuu!!!Graph ya Chadema inapaa kwa kasi ya ajabu,mpaka sasa ccm hawataki kuingia katika chaguzi ndogo kwa kutoa visingizio vya bajeti ila pesa za safari zipo!!!!!!!!!!
 

Mkuu naihisi wewe ndio mbowe
 

Mawazo yako ya kijinga yatasaidia wananchi kupata katiba yao wanayoitaka badala ya ile CCM akina Bulembo wanataka ?
 

udikteta wa mbowe unaharibu demokrasia ndani ya chama
 

kuna haja ya kuweka ukomo wa watu kushika madaraka ndani ya vyama ili kukuza demokrasia
 
Naungana nae kwa sababu chama nincha BABA MKWE wake,sio mbaya na hasa ukizingatia kwamba chadema ni cha ukoo na saccos ya watu wa Kaskazini!Bigup komred Mbowe!
 
Naungana nae kwa sababu
chama nincha BABA MKWE wake,sio mbaya na hasa ukizingatia kwamba
chadema ni cha ukoo na saccos ya watu wa Kaskazini!Bigup komred
Mbowe!

mkuu, ahsante sana kwa maelezo yaliyojitosheleza. pia katibu mkuu wao, babu slaa alisema kuwa chama hakijaimarika vya kutosha kuweza kubadilishana madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…