Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

Quote:

"sasa uzee basi umekuwa kijana na komandooo? duh sasa hii hatari"

Mkuu wangu sio hivyo maadui wameongezeka, sasa kama kawaida yangu minyagu nyagu na machale kunicheza bro! na huwa siliii woolf! Wooolf! ila ninakuwa one step ahead Otherwise wembe ni ule ule kumkoma nyani giladi!
 
Ninapenda tu kusahihisha habari tuliyoipata jana hapa, ukweli ni kwamba yeye ni mmoja wa wajumbe wapya wa NEC watarajiwa, ambao wanategemea kutangazwa rasmi hapo kesho, pia kijana Masha waziri mdogo wa mambo ya ndani amechaguliwa kuwa mjumbe mpya wa NEC, tutaendelea kuwapatia hizo kila inapowezekana kabla hazijatangazwa kesho, maana ni nyeti sana!

Ahsante Wakuu Wangu!
 
Asante Komandoo!,Ni wazi kwamba Lawrence kaingia humo kwa Mgongo wa Ridhiwan,na nahisi hata seats zao huko NEC zitakuwa karibu karibu,kwani Masha ni Mwl Mzuri wa Ridhiwan,Ikumbukwe kwamba Ridhiwan alifanya Intern yake kwenye Law Firm ya akina Masha,na kwa sababu hiyo ndio Muungwana akampa Masha unaibu Uwaziri.Kuna Tetesi ya kupata full cabinet post,Masha ni maarufu sana ndani ya CCM nae ndio kafanya kampeni ya kumuingiza Dingi wake kwenye EA Assembly,Kazi ipo kweli kweli ngoja tungoje Mwanri na Breaking News yake!!Ndio maana naiheshimu JF.
 
Ukweli ni kwamba wamepita tu kwenye mchujo wa kwanza, uchaguzi rasmi utakuwa tarehe 3, November, lakini ni clear kuwa watashinda!

Ila habari nzito, ni za Nchimbi kutochukua fomu kabisaa na kwamba yuko njiani kujitoa kabisaa kwenye siasa kutokana na impact ya kifo cha Amina Chifupa!

Ni very interesting story ambayo tunaifuatilia kwa makini na undani na tutaiweka hapa hapa giladi!

Halafu Muungwana sasa hivi yuko kwenye VOA live, kwa hiyo chungulieni rais wetu wakuu msikie anayosema!
 
Komandoo, KadaMpizani, na Mwawado ahsanteni sana kwa kutupa hizi nyeti.
 
mawado si kwamba ridhiwani alifanya intern IMMA tu bali pia wamempa u partner..na tayari wanapata kazi nyingi tu kupitia riz..usishangae huko mbele ukajasikia ISHENGOMA,MASHA.,MAGAI and kikwete advocates au KIMMA...

NA kijana mambo yake si mawaya internms of income...sidhsni kama atapenda tena kujitolea kuwa hakimu mkazi wa nkasi au any remote kama kuonyesha mfano...yeah su\i mnakumbuka watoto wa mwalimu walikuwa jeshini kama maafisa wa kawaida..
 
JK interview on VOA with Shaka Saali was a flop.So much stammering and stuttering one lost the context of the statement or answer.By the way does anyone know who he was refering to in his answer to the very last question? "What is the low point during your time in office todate?" His answer " terminating the service of someone based on false information."
Who was he refering to?
 
Rita Mlaki na Mama Anne Kilango Malecela, nao ndani ya list ya wanawake 39 waliopitishwa kugombea nafasi 13 tu!

Lowassa na Sumaye, nao wamo kwenye list ya waliopitishwa ikiwa ni watu 60, wanaogombea nafasi 20 tu! Why this big numbers kwa ajili ya nafasi chache?

Lakini the best news out of this kikao, ni za Nchimbi kuandamwa na kivuli chake yeye mwenyewe, hapa nitoe heshima kwa wana-forum hii ambao toka kifo cha Amina Chifupa(RIP), kitokee tulisimama kidete na kusema kuwa in one way or another, kwamba Nchimbi anahusika nacho, na kwamba miikono yake imejaa damu!

Post zote za namna hiyo tulizipenyeza kwa wakulu na hasa wabunge, na hatimaye media yetu uchwara ya bongo ikasimama kidete na kumshambulia sana Nchimbi, kwa kumuunganisha na vifo viwili, yaani cha Ipyana(RIP) na Amina Chifupa(RIP), hatimaye the message imefika,

1. Wabunge karibu wote sasa hawataki kabisaa kukaribiana naye na hata kuonekana naye in public!

2. Kwenye vikao vilivyofanyika huko Dodoma, alikuwa akivizia vya usiku tu, na the great news ni kwamba hakuchukua fomu yoyote, ikiwa na maana kuwa he is out of vikao vya chama, once mwenyekiti mpya wa UV-CCM akishachaguliwa, ambaye ni clear kuwa hatakuwa mtu wake Nchimbi, hataingia tena kwenye CC na the greatest news kwa wa-Tanzania wote ni kwamba hakutakuwa tena na uwezekano wa kugombea urais in the future, I do not care what ninasema that is the great news kwa wananchi wote wastaarabu na wapenda amani!

3. Sasa hatimaye hata Muuungwana, naye aanza kumkwepa baada ya kumwambia wazi kuwa it is about time sasa akatafuta another professional,

Respect kwa wazee wote mliotoa kali za kumlaani Nchimbi
na kifo cha Amina Chifupa, maana tembo mkubwa sasa anakaribia kuanguka pu! Chali!
 
Hiki ndicho kilimfika makongoro Nyerere..wakamgeresha na ubunge wa kuteuliwa ili atoke upinzani, baada ya kumtoa upinzani wamem-bwaga kiaina, wana hakika hatarudi tena upinzani
Huu mtindo wa CCM kuua upinzani nao ni ishara ya kutojiamini katika ushindani wa haki..wanategemea sana wizi wa kura na wanajua bila huo nafasi yao ya kuchuana on merit itakuwa mashakani ndo maana wanahangaika kuwatoa wapinzani upepo ili magurudumu yao yasitembee

jk naona kiaina amewatosa watoto wa mwalimu ..angalau mkapa aliwaona..wakati wa kuomba uteuzi jk alienda butiama akazawadiwa biblia na mama maria ..pia alipata wasaa binafsi wa kuomba kaburini kwa mwalimu hadi akagaragara kwa hisia au sijui usanii..,juzi wakati wa kumkaribisha museveni butiama ..kijana wa mwalimu ,madaraka aliyesoma risala kwa niaba ya wenzake ..alimshukuru kwa dhati museveni mbele ya jk kwa kuwalipia masomo nchi mbalimbali wajukuu wa mwalimu..ambao inasadikiwa kuwa mwalimu alipenda sana wajukuu zake wasome kwa kiwango chochote watakachoweza na mama maria ndio husimamia moja kwa moja kuhakikisha hilo..
uikijaribu kuangalia majireani zetu namna wanavyofanya urais ufalme inabidi tumshukuru mwalimu ambaye hakuwa na tamaa wala kutaka kuwaingiza wanawe kwenye siasa kwa hila...hata makongoro aliingia bungeni mara ya kwanza kwa nguvu yake tena kupitia chama cha upinzani..so nadhani ni vema tukamuenzi mwalimu kwa kuendelea kuwemo kwenye siasa kwa kuwakumbuka kama alivyofanya mkapa...kwani mwalimu angetaka angeweza kugfanya tukawa na kina eyadema jr,karume jr,joseph kabila,.au kama maj muhoozi kabeneruba anavyoandaliwa hapo juu...
tusiende mbali si mnaona na viongozi wetu wa sasa wanavyofanya juhudi kuingiza watoto wao kwenye system tena wazi wazi..its kind like a royal family...coming...mara nyingine inawezekana frustration kubwa ya watoto wa mwalimu inaweza kuwa kubanwa na mzee wao na kutofaidika na kuwa first family..wakati sasa enzi hizi first family members tunawajua kwa utajiri wa haraka ,vyeo vya rejareja .,magari ya kifahari ,na vurugu za hapa na pale...na si kuishia tu kufanya vurugu disco kama enzi zile..
 
Asante Komandoo!,Ni wazi kwamba Lawrence kaingia humo kwa Mgongo wa Ridhiwan,na nahisi hata seats zao huko NEC zitakuwa karibu karibu,kwani Masha ni Mwl Mzuri wa Ridhiwan,Ikumbukwe kwamba Ridhiwan alifanya Intern yake kwenye Law Firm ya akina Masha,na kwa sababu hiyo ndio Muungwana akampa Masha unaibu Uwaziri.Kuna Tetesi ya kupata full cabinet post,Masha ni maarufu sana ndani ya CCM nae ndio kafanya kampeni ya kumuingiza Dingi wake kwenye EA Assembly,Kazi ipo kweli kweli ngoja tungoje Mwanri na Breaking News yake!!Ndio maana naiheshimu JF.

mawado si kwamba ridhiwani alifanya intern IMMA tu bali pia wamempa u partner..na tayari wanapata kazi nyingi tu kupitia riz..usishangae huko mbele ukajasikia ISHENGOMA,MASHA.,MAGAI and kikwete advocates au KIMMA...

NA kijana mambo yake si mawaya internms of income...sidhsni kama atapenda tena kujitolea kuwa hakimu mkazi wa nkasi au any remote kama kuonyesha mfano...yeah su\i mnakumbuka watoto wa mwalimu walikuwa jeshini kama maafisa wa kawaida..

Waungwana naomba kuuliza kuhusu elimu ya huyu mtoto wa mtawala wetu,RIDHWANI.Alikuja hapa UK kufanya Master ya Law huko Hull,then mwezi Mei wakati anarejea Bongo kwendda kuchukua fomu nikasikia kuwa tayari amehitimu digrii yake hiyo.Swali langu ni je alianza hiyo kozi yake mwaka juzi au mwaka jana?Maana kama alianza September mwaka jana basi angestahili kuhitimu September mwaka huu baada ya ku-submit dissertation yake.Iwapo alianza Januari mwaka huu then nadhani angepaswa kuhitimu Januari mwakani.Nilishawahi kuuliza swali hili huko nyuma lakini sikupata majibu.
 
JK interview on VOA with Shaka Saali was a flop.So much stammering and stuttering one lost the context of the statement or answer.By the way does anyone know who he was refering to in his answer to the very last question? "What is the low point during your time in office todate?" His answer " terminating the service of someone based on false information."
Who was he refering to?

...kama kuna anayejua amwage data!

...sababu inaonekana muungwana huwa anapigwa fix sometimes!
 
Waungwana naomba kuuliza kuhusu elimu ya huyu mtoto wa mtawala wetu,RIDHWANI.Alikuja hapa UK kufanya Master ya Law huko Hull,then mwezi Mei wakati anarejea Bongo kwendda kuchukua fomu nikasikia kuwa tayari amehitimu digrii yake hiyo.Swali langu ni je alianza hiyo kozi yake mwaka juzi au mwaka jana?Maana kama alianza September mwaka jana basi angestahili kuhitimu September mwaka huu baada ya ku-submit dissertation yake.Iwapo alianza Januari mwaka huu then nadhani angepaswa kuhitimu Januari mwakani.Nilishawahi kuuliza swali hili huko nyuma lakini sikupata majibu.

nadhani Ridhwani alikwenda UK right baada ya baba yake kuapishwa
 
Komandoo Es,
Dogo bado yumo kumbe?.... at least JF imepata mwakilishi!
 
Kama Nchimbi atakuwa ameamua kutokuchukua fomu za kuomba nafasi ya NEC kwa sababu ya kifo cha Amina Chifupa basi anastahili kuhurumiwa japo kidogo kwenye hili.

Hii inaonyesha "he is the only one with concience" kwani mtiririko wa yote wa yaliyotokea haukumuhusisha yeye peke yake.

1 - Kulikuwa na "dume la mbegu" ambalo kwa makusudi, likijua AC alikuwa mke wa mtu liliamua kula tunda. (Circumstantial)

2 - Kulikuwa na yeye(Nchimbi) ambaye inasemekana alimtonya aliyekuwa akiibiwa mali zake(Mpakanjia) (again Circumstantial...)

3 - Kulikuwa na vyombo vya habari ambavyo vilimshambulia kiasi cha kumsababishia "Post Traumatic Depression" iliyosababisha kifo chake (mashambulizi ya magazeti yako wazi)

"Out of the 3 factors" Nchimbi is the only one who has concience to feel the impact of his disclosure(kama sababu ya kutokuchukua fomu ni hii). Dume la mbegu(if true alikula tunda) linapeta na limepata even higher position in his party!

Magazeti pia yanapeta yakiendelea kujaribu kusukumia lawama kwa wauza madawa na serikali (kwa sasa naona yameacha,sijui wamejua kosa lao au wameshamaliza kujikosha kwa wananchi). Hivi tokea marehenu AC(R.I.P) atoe statement bungeni kuhusu madawa mpaka kifo chake muda gani ulipita? Katika muda wote huu hakuwa na nafasi ya kutoa "list" ya hao wahusika?
 
Back
Top Bottom