Labda kwenu huku kwetu hatujafikia mahala pa kutozikanaMkuu kama ni kweli uyasemayo na una hakika kura zikipigwa kidini hakuna muislaam atakaye pata uongozi! Sasa hofu yenu haswa nini maana kajitia chongo mwenyewe au sivyo? Na huyu Idd atakuwa mjinga kiasi gani atumie dini wakati anajua hana support ya kutosha akifanya hivyo! yaani sielewi kabisa kinachowakwaza. I mean tupeni sababu haswa na motive inayoweza kumsaidia huyu Idd apate ushindi lakini sio kutumia dini maana tukubali ukweli kwamba siku hizi community zetu zimegeuka, vijiwe vyetu ni ktk mabaa ya ulevi au misikitini/makanisani kwa wale wanaojiita walokole sio tena ktk migahawa/cafe kama walivyokuwa wazee wetu kujia umri wa kina sisi.
Hivyo utakuta wanaokutana bar au pub wana ushikaji na wale wanaokutana misikitini na makanisani pia wana ushikaji wao hivyo sio swala la nani kafanya nini ila sisi wenyewe tumechukua njia hizi wenyewe kujenga marafiki na maswahiba. Leo hii naweza kabisa kuku challenge unionyeshe marafiki zako basi bila shaka watakuwa wale mnaokutana Bar/Pub au kanisani/msikitini maana hatuna vijiwe nje ya hapo. Hizi Jumuiya zetu zenyewe ni Unafiki mtupu, haya uyasemayo ni pamoja na mengi niliwahi kuyaona na kuyasikia. Itazame hiyo list ya wagombea mbona wameisha sema wote ni waislaam ilihali tunaonyeshwa wagombea tofauti? hii sio kampeni yenu nyie against Idd/waislaam? Je, kuwa mwanachama wa TAMCO ni kosa?
Udini upo tena sana tu, na umetokana na maamuzi yetu wenyewe kutoshirikiana kama Watanzania bali kupitia imani zetu za dini na makabila. Msiba wa Muislaam hutawakuta wakristu makabirini wala msiba wa Mkristu hutawakuta Waislaam na kama wapo basi ni wale wanatoka sehemu moja ama mtu wa kijiwe chao. Hii ndio jamii tulochagua sisi wenyewe kutenganishwa kwa imani zetu za dini nje ya hapo sioni kabisa ushahidi hapo juu kuhusu huyu Idd na Udini zaidi ya kwamba tunapewa story ya upande mmoja hatukuonyeshwa ya Mwang'ombe.
ok, kumbe watanzania hadi marekani wanagombania fursa za kutafuna pesa za Watanzania wenzao kwa gia ya jumuiya?
Waislamu asilimia 99 kwenye chaguzi udini ni moja ya silaha yao, usiombe hiyo sehenu pawe na misikiti mingi.
Hata Mrema kwenye uchaguzi mdogo wa Temeke asingemtumia mzawa Sheikh Kasim Mtopea, kwakweli asingeshinda uchaguzi ule.
Ila Kwakuwa JK Huwa anakwenda sana marekani na wanakutana na huyu mwislamu mwenzake Idd Sandaly basi yawezekana ndiye aliyemshauri hivyo maana hata yeye alitumia udini kurudi ikulu kinguvu hata lipumba alishiriki uhaini huu.
Huyu Asha Nyang'anyi ni mtoto wa Mustafa nyang'anyi? mwenye kujuwa atujuze hapa
Umechemsha.... Swali lilikua zuri lakini kwa upeo wako limekushindaKwani yerickk nyerere ni mtoto wa nyerere? Hakuna mafungamano
unajua msimamo wa Membe kwa dual citizenship?
Bora hata mimi nina baba na mama, sasa wewe usiemjua baba yako inakuaje hapo? Ama kweli watoto wa zinaa mna tabu sana. Ulaaniwe wewe pamoja na nyerere, maana baba najua humjui....
matusi hayaondoi ukweli zaidi ya kuonesha ulivyo mweupe kichwani. hoja hujibia kwa hoja na sio matusi. jifunze.
Mleta mada umejidhihirisha kuwa wewe ni mdini na ni chadema na ni mkristo. Hata mtoto mdogo akikusoma hilo hawezi kosea.
Na wewe umedhihirisha kuwa ni mdini na ni CCM na ni mwislamu. bisha.
Mleta mada umejidhihirisha kuwa wewe ni mdini na ni chadema na ni mkristo. Hata mtoto mdogo akikusoma hilo hawezi kosea.
Hivi kuna nini kwenye hiyo jumuiya?
Mbona wanatumia nguvu nyingi sana kugombea hizo nafasi za uongozi...?
Kuna fursa za ulaji?
Really? Seriously? inga Youtube search video waislamu tujipange halafu ndio urudi hapa kuharisha.
Kweli mkuu fanya yako, ndio maana Mange Kimambi anawapa za uso , hahitaji marafiki kutoka bongo huko Marekeani maana hawana la maana zaidi ya ukuda halafu watu wanamuna mbaya. KWELI KUWA MCHUMIA TUMBO SHIIDAMimi nimekuja maryland juzi..nkajua mambo ya kijinga kijinga nimeacha bongo..kumbe watu wanaendeleza ujinga huku..hao wakina asha nyanganyi, akina luku( lucas)...wanaishi hapa matekani kwa kuvizia vitenda vya ubalozini..kuna uccm na uchadema wa kijinga sana hapa..wenyeji wangu nimegombana nao..nmewamaji rbia sitaki kusikia mambo ya watanzania..mimi napiga mzigo tu...ujinga tu sijui nani kutuloga..!!
Wabongo tuna shida sana kwenye mfumo wetu wa kufikiri..unatokaje bongo kuja us..alafu unakuja kuvizia vitenda vya sherehe za ubalozini nk..ni kwa nini mtu usijichanganye ufanye kazi nyingine...ambazo mkuu zipo nyingi tu..kama udj mtu ajitahidi afanye udj wa next level na wenyeji..wabongo tunapenda maisha ya ujanja ujanja..Kweli mkuu fanya yako, ndio maana Mange Kimambi anawapa za uso , hahitaji marafiki kutoka bongo huko Marekeani maana hawana la maana zaidi ya ukuda halafu watu wanamuna mbaya. KWELI KUWA MCHUMIA TUMBO SHIIDA
Wewe endelea kukata viuno tu, mwambie mama yako akuoneshe Biological Father wako na siyo Baba anayekuelea bila kujuwa ndio maana huna adabu.