Tatu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2006
- 1,143
- 375
Mimi nimekuja maryland juzi..nkajua mambo ya kijinga kijinga nimeacha bongo..kumbe watu wanaendeleza ujinga huku..hao wakina asha nyanganyi, akina luku( lucas)...wanaishi hapa matekani kwa kuvizia vitenda vya ubalozini..kuna uccm na uchadema wa kijinga sana hapa..wenyeji wangu nimegombana nao..nmewambia sitaki kusikia mambo ya watanzania..mimi napiga mzigo tu...ujinga tu sijui nani kutuloga..!!
Chapa kazi utume ndururu huku bongo ndugu yangu.