Uchaguzi DMV USA: Udini na status quo vyatawala

Uchaguzi DMV USA: Udini na status quo vyatawala

Mleta mada,maelezo yako hayana mshiko.
Nina rafiki yangu huko DMV tuliachana miaka kadhaa niko UK lakini nikamtafuta nijue kunani? Nimeongea na watu wa dini tofauti wote hawaungi mkono hoja yako.
UONGOZI uliopo wanasema ni Rais tu mwislamu,Makamu,katibu,mweka hazina wote wakristo. Hapa hakuna mtu alyeona suala la udini. Lakini sasa umeona chances za kuwa na viongozi waislamu wengi ipo,mara udini unaibuka. Kwa mtazamo wangu,unaaibisha sisi wakristo kwa kuwa sensitive na petty issues kama hizo. Moja ya watu niliongea nao ni mwanadmv muislamu akaniambia dream team yake ni hii:Rais Iddi,Makamu Harriet,Katibu Saidi Mwamende,Naibu Bernadetta,Mweka hazina Jasmine. Hapa naona huna la kusema maana ni even kwa suala la udini.
TUHUMA:
Kusema watu binafsi wanapewa tenda,huu ni uzushi na uongo kwani hela ya ubalozi iko accounted for;Siku zote huwapa watz licensed caterers Ms. Farida, Ms. Gati, Chef Shabani. Hata siku moja hawajaona huyo Ms. Asha Nyanganyi amepewa tenda ya upishi. Nimefahamishwa kuwa huyo dada kazi yake ni scientist kampuni kubwa hapo Amerika sidhani ataudhalilisha ubalozi kufanya jambo ambalo sio profession yake. Wajuaji wanasema hawajaona akapewa hizo tenda mnazosema. Lakini nakushauri kutoa vithibitisho kama unavyo.
UCHAGUZI
Nimefatilia blogs tofauti,nimeona kuwa maamuzi mengi yalikuwa yanamfavor Bw. Libe,tarehe ya mwanzoni ilikuwa ashindwe kutosheleza muda wa uanachama kuwania uongozi. Hivi niulize,kuna chama chochote mtu anajiunga leo halafu anataka kuwa mwenyekiti,nisaidieni hii imetokea wapi?Libe alikuwa wapi miaka yoote alioishi Amerika hakuwa member wa jumuiya????
USHAURI
take it or leave it!!!
Libe nafasi ya ushindi kwako finyu,acha propaganda za udini zinazidi kukuharibia. Hao wapiga kampeni wako hawana wajualo,tumia elimu ulioyonayo uliojitoa kwenye ujinga,busara kumaliza siku chache zilizobaki kuachana na siasa chafu. Jumuiya ipo leo na kesho,hata ukikosa huo uraisi,fanya kazi na Bw. Iddi kwa karibu ili DMV wakujue zaidi.
Asante na kila la kheri kwa wagombea wote

Ulichobainisha ni sawia kabisa kwani mimi wakti wakiwa katika vuguvugu hili la uchaguzi nilikuwa hapo Maryland likizo na familia yangu na kwa bahati nzuri nilibahatika kukutana na mmoja wa waTz wa hapo Mohamed Matope (ambaye anapenda sana kuandika makala mbalimbali katika blog ya vijimambo ) nilimuuliza kuhusu faida za hii DMV na tukazungmza mengi sana kuhusu Uraia pacha. Lakin kubwa nikamuuliza kwanini wewe ugombei uongozi katika hii DMV na vile vile kwanini hakuna Mznz hata mmoja ambae ni kiongozi katika jumuiya hii. Kikweli alinieleza mambo mengi sana na kinachoendelea kwa wakti huo.


Lakin ukweli halisi wa kinachoendelea niliambiwa na Aisha Nyang'anyi alinieleza namna wanavyochafuana na kusingiziana lakin kubwa nililogundua ni vita kati ya CCM na CHADEMA katika jumuiya hiyo. mengine yoooooote ni uzushi tu.

Kifupi wa Tz hususan kutoka TGk kuna mengi sana ya kujifunza hapa kwa mnachokipanga na kukiona rahisi kwa sana katika mpango wenu wa kuwagawa watu kwa sasa UDINI ni mbaya sana. Jifunzeni kutoka Afrika ya kati. kumbukeni nyie ni mbaa zaidi kwani population yenu katika dini hizi za uislam na wakristo takriban 50/50 hivo mna hali mbaya zaidi.

Au mtagawana nchi kama ilivyofanya Suudan. msingi mkubwa ni kuliweka wazi suala hili na kulijadili kwa mjadala mkubwa sana wa wazi na wa kitaifa kuleta suluhu na muafaka kwa pande zote.

kama nje ndio hivyo je wale walioko kule kwetu Kanazi. Butundwe, kasamwa, Nyoni, litui, mbamba bay, Maguu, Kilando, Kipili na namanyere itakuwaje?

 
Mbona kelele nyiiiiingi sana hivyo? uchaguzi umepita sasa mjipange kwa mengine. Kumbuka Tgk ni ya wote waislam na wakristo tena kwa uwiano ulio sawia kabisa. Kama ulizowea iiimani yako kubebwabebwa sasa pambana kiume sio kusingizia udini. kwani wote sasa mko sawasawa kiilimu na kila kitu hivyo mna haki sawa na kuwa na fursa sawa katika kuleta maendeleo ya nchi yenu kwa faida ya wote. Ondoa mawazo mando kuwa iimani ako ni superior kuliko nyingine kwa kigezo cha kusoma sana na haki ya kuwa wengi katika uongozi na kupata fursa nyingi. Pole sana
Data zinaonyesha hiyo side yako ndio weakest.Ndio maana tunashaanga uwakilishi wenu.Kwanini usishangae Yemen kuchukua word cup mika hii.
 
Is it all you have to say? wewe ni mwana DMV huna lolote unalolijuwa kuhusu hili?

Omby amenitumia screen short ya msg za pro Sandaly sasa nyinyi wana DMV hamsemi ukweli hapa tuwaelewe.


Huyo Omby uliza anafanya nini hapa DMV anakoseshwa usingizi na huyu dada ASHA NYANG'ANYI, maana kutwa copy and paste matusi wanayomtukana from all blogs huko mitandaoni. Ushauri kwa huyu dada OMBY ni kuwa HUTOWEZA KUFIKA LEVEL YA HUYU DADA NA HUWEZI KUMPULL DOWN. Mwenzako yupo DARAJA NYINGINE KABISAAAAAAAAAA ndo maana hajakujibu, DO NOT ARGUE WITH A FOOL CAUSE PEOPLE WILL NEVER TELL THE DIFFERENCE". Umecopy na umepaste mmebaki mazuzu tu mnacomment mwenzenu yupo ofisini kwake anachapa kazi au nyumbani na muwewe na watoto wake. Poleeeeeeeeeeeeeeeee. Wanawake wa DMV mnachojua ni kutukana wato kwenye mitandao kumbe waoga. Hamlali kutwa mnatukanana na makopyuta na kumwaga acid tumboni kwenu. Maana mtu anayeandika comments kama zenu lazima uwe umepandisha hasira na tumbo lote linakuchemka kwa hasira. LOL!!!! Mwenzenu kalalal anaongeza umri nyie mnafupisha umri na kuongeza makunyanzi. Ndo maana wasichana wadogo siku hizi sura zao zimechoka maana kwanza hawalali, pili kutwa wanamwaga hasira na makopyuta..... haa ahhaaaaaaaaaaahaaaaaa
 
Data zinaonyesha hiyo side yako ndio weakest.Ndio maana tunashaanga uwakilishi wenu.Kwanini usishangae Yemen kuchukua word cup mika hii.

Tatizo lako lile lile la kuzoea kutafuniwa na wewe kumeza. Hata kule kwenu mnatumia katekism na chuo kidogo cha sala. Bible huruhusiwi kushika.

Pole sana

 
Back
Top Bottom