Uchaguzi DMV USA: Udini na status quo vyatawala

Uchaguzi DMV USA: Udini na status quo vyatawala

Kumbe Waislam wasivyotakiwa kwenye CHADEMA hapa nyumbani ni vivyo hivyo na huko ughaibuni? Kinachowasaidia huko ni wingi wao tu
 
Mkuu wala mimi Marekani vile vile ila nachokisoma humu ndicho nachokizungumzia. Simjui huyo Idd, Wang'ombe na wagombea wote isipokuwa nayasoma yaloandikwa dhidi ya Idd kuwa ni udini nikashindwa kuelewa kabisa. Ila nachokubaliana na mwandishi ni kwamba kadhihirisha yeye kuna Udini na status quo kila nikimsoma, hivyo siwezi kupata picha nzuri kutoka upande huo isipokuwa nachokielewa mimi ni Ushikaji kuunda fitna na majungu ya kile Loveness alichokianzisha ndicho kinawatia watu kichaa maanake inasemekana kuna ULAJI. Hivyo watu wapo pale macho yamewatoka kwa sababu kwenye msiba huo kuna Biriani la kuku.

Hata haya matawi ya CCM ni ulaji mtupu na hivyo kila mtu na mshikaji wake iwe kupitia dini, kabila au vilabu vya pombe. Ndio maana mimi wakati mwingine husema wazee wetu walikuwa na hekima sana waliipokuwa wakikutana ktk vijiwe vya kahawa na bao maana pale watu wote wako huru, free from Udini, Ukabila na kadhalika na wako sober ktk maamuzi yao, na hakuna kinachowaweka pamoja isipokuwa mchezo wa bao kuliko generation hii inayokutana ktk ulevi wakafanya maamuzi ya kilevi kupeana mission town za kifisadi kujionyesha ktk matanuzi, na kibaya zaidi ni pale wanapoona kuna hatari ya kushindwa ku keep ile status ndio vita huanza! Sii wanawake sii wanaume ni mashindano tu ya kujikweza!

Hatimaye kimsingi tuko pamoja labda namna tulivyotoa michango yetu ya awali hatukuelewana vyema.

Naungana na wewe wazeze wetu wangekuwa na akili mbovu kama za kizazi hiki basi hata Nyerere wazee wa mzizima ambao wengi walikuwa ni waislamu wasingempa heshima ya kuwaongoza kudai uhuru.
 
Ninachokiona hapa ni kuwa Liberatus anatafuta huruma ya udini ili kushinda baada ya kushindwa kwa sera

Unachokiona hapa wapi? huna uwezo wa kuchangia lolote hapa kina hiki huwezi kuogelea, katafute thread za bavicha na lumumba buku 7 ndio size yako.
 
Alaaniwe nyerere kwa kuanzisha huu udini
Hapana Udini tunao sisi wenyewe maana kama tuliweza kuacha Ujamaa wake japo ulikuwa kwa manufaa yetu itakuwaje hili liwe swala lake yeye?. Tena basi wengine wamezaliwa baada ya Nyerere kuacha madaraka 1984 ama walikuwa wanavikwa nepi lakini ndio wameyakuza ya udini kuvuka mipaka.
 
Hii ishu ya udini imekuwa tatizo sana kwa nchi yetu, imefikia mpaka watu wanaleta udini katika nchi za watu....!!
 
Dini ikitumika, wakristu watashida kwa DMV... siasa ikitumika, wapenzi wa chadema watashinda DMV, na hata umri ukitumika, Libe ni kijana

Shida yangu kubwa... ni nini hiki?? whay all these drama kwa jumuiya ndogondogo za hiyari namna hii huko USA?? kuna faida zilizofichika??

kujitolea ni lazima kwa kupigiwa kura na kampeni zitakazoacha permanet damage??

what if leo kukawa na informa community na ika na nguvu, impact na significance zaidi ya haya masiasa??

it is time to think outside the box

Kama wakristo watapita bas udin utumike hovu ya nn?
 
Ninachokiona hapa ni kuwa Liberatus anatafuta huruma ya udini ili kushinda baada ya kushindwa kwa sera

uyo liberatus anatafuta uruma kwa kwakristu na kwa makamanda wa chadema, mm naamini kama ana ushawish, utashi na weledi atashinda lakini kama hana atashindwa tu, kama uyo Mwislamu anaweza atashinda tu, asije humu na porojo za kutafuta uruma kwa watu, tume uchoka udini....mleta mada asi tulazimishe tuamini tusicho kijua. watanzania atuja fikia huko!
 
Kama wakristo watapita bas udin utumike hovu ya nn?

HAYO WATAAMUA WENYEWE... bado naamini kabisa wagombea wa hiyo jumuiya could do better than this... wangeungana tu watengeneze strategy ya pamoja, wagawane majukumu wafanye kazi... haina haja ya kuwa rais wala nini kama deliverable hazina tija kwa watanzania
 
Mtajibeba!!!

Kwanza nimekumbuka, nyie si ndo mlisababisha yule mgosi akapigwa kiberiti badala ya kuzikwa?
 
hivi ninyi ndio mnataka dual citizenship? kwa,tabia hixo chafu bora muchukue huo wa huko muliko huku mutuachie wenyewe.....yani mnamajungu mpaka ulaya...mngekuwa hapa bongo lazma mngeishasutwa zamani tuuu.

shame on u our dual citizens....lazma nimwambie membe wenu muone atavyowadharau.
 
uyo liberatus anatafuta uruma kwa kwakristu na kwa makamanda wa chadema, mm naamini kama ana ushawish, utashi na weledi atashinda lakini kama hana atashindwa tu, kama uyo Mwislamu anaweza atashinda tu, asije humu na porojo za kutafuta uruma kwa watu, tume uchoka udini....mleta mada asi tulazimishe tuamini tusicho kijua. watanzania atuja fikia huko!
comment yako inathibitisha wazi ni kwa nini Tanzania ranked in Top 10 list of poor IQ's population
 
Hamna mnachofanya kwenye nchi ya watu mnatakiwa mpigwe ban ya maisha kukanyaga huko wote.
Mnasumbua watu TU wenye shughuli zao huko
 
Ni binti ya Mustapha Nyang'anyi.

Is it all you have to say? wewe ni mwana DMV huna lolote unalolijuwa kuhusu hili?

Omby amenitumia screen short ya msg za pro Sandaly sasa nyinyi wana DMV hamsemi ukweli hapa tuwaelewe.
 

​
· Rais, Idd Sandaly – TAMCO
· Makamu, Salma Moshi - TAMCO
· Katibu, Said Mwamende- TAMCO
· Treasury, Jasmine Rubama - TAMCO


Wagombea wenye imani tofauti na Iddi Sandaly na ambao hawatakiwi kuwaongoza Waislam ni kama ifuatavyo :-

· Liberatus Mwang'ombe - Raisi wa Jumuiya
· Harriett Shangarai - Makamu wa raisi
· Solomon Cris, - Makamu wa Katibu
· Bernadeta Kaiza- Makamu wa katibu
nikiangalia hizi lists mbili sioni tofauti kati ya mlalamikaji na mlalamikiwa. au nyani haoni kundule? nilifikiri ukiwa ng'ambo angalao unajifunza kitu kumbe kichwa kimejaa matope tu. liberatus unaonekana empty kabisa kwenye hiyo coconut yako juu ya shingo na wakikuchagua watakuwa wamefanya makosa kuchagua taburarasa.
After all tafuteni maisha acheneni na huu upuuzi wenu nchi za watu. jumuiya gani hiyo ambayo hata watu wanaokufa mmeshindwa kuratibu japo kusafirisha maiti zao. upuuzi kabisa.
 
Mimi nimekuja maryland juzi..nkajua mambo ya kijinga kijinga nimeacha bongo..kumbe watu wanaendeleza ujinga huku..hao wakina asha nyanganyi, akina luku( lucas)...wanaishi hapa matekani kwa kuvizia vitenda vya ubalozini..kuna uccm na uchadema wa kijinga sana hapa..wenyeji wangu nimegombana nao..nmewambia sitaki kusikia mambo ya watanzania..mimi napiga mzigo tu...ujinga tu sijui nani kutuloga..!!
 
hivi ninyi ndio mnataka dual citizenship? kwa,tabia hixo chafu bora muchukue huo wa huko muliko huku mutuachie wenyewe.....yani mnamajungu mpaka ulaya...mngekuwa hapa bongo lazma mngeishasutwa zamani tuuu.

shame on u our dual citizens....lazma nimwambie membe wenu muone atavyowadharau.
unajua msimamo wa Membe kwa dual citizenship?
 
Back
Top Bottom