UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

asante sana kwa taarifa mkuu , hivi sasa ni ruksa kufanyika uchaguzi maana tayari chama kiko imara sana kama tulivyotaka , sasa ngoja na mimi nijipange pange nione kama wenzangu pale kyela wanaweza kunikabidhi jukumu la kuipeleka mbele cdm .piiiiiiipoooooooozz!!!!!!
 
So sad kuwa kampuni yangu inaniweka busy. Tutawasaidia kufichua wanafiki kama Zitto
 
Katiba iliyoandikwa na watu watatu ndo hiyo hiyo itazingatiwa Kwenye huo uchaguzi au mtafuata maagizo ya mbowe.
 
hizo zote ni juhudi za zzk aidha direct or indirectly!!

unavo msifia zzk ndo mumeo mtarajiwa nini? maana niliona mwanaume akiolewa, na kwa kuiga wewe mwekundu ujambo, lazima zzk akuoe b4 december 13
 
BASI MICCM IMESIMAMISHA MASIKIA aka ANTENA ISIJUE LA KUFANYA KWAN WAKALA WAO ZITTO KABWE NDO KESHAMWAGWA

AH AH, RAHA PIA SHEREHE KWANI KIBARAKA WA CCM ZZK HATASHIRIKI KWAN ATA AKIBAKI KM MWANACHAMA HANA UADILIFU WA KUSIMAMISHWA KT ANY POST
 
Walisubiri kwanza wamchomoe zitto kisha watangaze uchaguz??

Sisi tunajiuliza sana,kama wenye haki ya kuongoza chama hiko wanapendekezwa na AYATOLLAH MTEI,KUNA HAJA GANI YA KUFANYA UCHAGUZI??

PIA KAMA NDAN YA DEMOKRASIA YAO HAKUNA UKOMO WA MADARAKA YA NIN SASA KUHUBIRI DEMOKRASIA YA ULAGHAI??

WATANZANIA TUMESTUKA SASA,LABDA HUKO HUKO KANDA YA KASKAZIN.,LAKINI KUSINI NA KWINGINEKO NI KAMA VILE WANAJISUMBUA TUH
 
Katiba iliyoandikwa na watu watatu ndo hiyo hiyo itazingatiwa Kwenye huo uchaguzi au mtafuata maagizo ya mbowe.

AYATOLLAH MTEI >>> MBOWE >>> SLAA

HIYO NDIYO TREND YA MAAMUZ ILIVYO,

WENGINE WALIOBAKIA NI WALE WA "YES SIR "

mwaka huu hawata mpata wa kumwongopea
 
Walisubiri kwanza wamchomoe zitto kisha watangaze uchaguz??

Sisi tunajiuliza sana,kama wenye haki ya kuongoza chama hiko wanapendekezwa na AYATOLLAH MTEI,KUNA HAJA GANI YA KUFANYA UCHAGUZI??

PIA KAMA NDAN YA DEMOKRASIA YAO HAKUNA UKOMO WA MADARAKA YA NIN SASA KUHUBIRI DEMOKRASIA YA ULAGHAI??

WATANZANIA TUMESTUKA SASA,LABDA HUKO HUKO KANDA YA KASKAZIN.,LAKINI KUSINI NA KWINGINEKO NI KAMA VILE WANAJISUMBUA TUH

ROTFLMAO!! Irrational fear that hampers your brain's ability to retrieve memory from long term to short term. If you take postivistic epistemological view, you will see light at the end of the tunnel.
 
Afadhaali zitto atagombea rasmi nafasi aliyoitaka toka zamani na atashinda ila wachaga watamchakachua kwa ubinafsi wao na hili linawezekana kama hawajamfukuza kabisa uanachama, lkn na uhakika kufukuzwa ni ngumu na kwa kauli ya zitto NTAKUWA WA MWISHO KUTOKA CHADEMA.

atagombea u tisssss ndiyo chama chenye manufaa kwake; siasa imemshinda aende kuchakachua na udalali wa jimbo
 
Afadhaali zitto atagombea rasmi nafasi aliyoitaka toka zamani na atashinda ila wachaga watamchakachua kwa ubinafsi wao na hili linawezekana kama hawajamfukuza kabisa uanachama, lkn na uhakika kufukuzwa ni ngumu na kwa kauli ya zitto NTAKUWA WA MWISHO KUTOKA CHADEMA.
zitto yupi? Yule nyoka ndumilakuwili ambaye yupo mbioni kuvuliwa hadi uanachama?
 
walioanzisha hii notion ya ukabila, ukanda,udini na aina nyingine za ubaguzi walikuwa na malengo ya kisiasa, na watu wasiofikiri au wanaosubiri wengine wafikirie kwa niaba yao bado wameishikilia kwenye vichwa vyao, ni aheri ungetumia muda mchache tu kutafakari athari za ubaguzi kama huu usingefanya hivi...hebu kama unataka kukosoa jaribu kuepuka ubaguzi kwa sababu unayo mengi sana unayoweza kusema bila kuonyesha ubaguzi. naamini umenielewa na hii si kwako tu ila na wengine wanaofikiria katika kuwabagua wengine kwa njia yoyote ile.

Very well said Mkuu .Thanks
 
Uchaguzi ilikuwa ufanyike december 2013 lakini ili kusaidia kupata viongozi wazuri wasio wasaliti imeoneka ni vizuri kusafisha chama ndio uchaguzi ufanyike kwahiyo mpaka July 2014 chama kitakuwa kimekomaa kwasababu hakitakuwa na mapandikizi tena
mbowe na slaa watoke kwanza
 
Walisubiri kwanza wamchomoe zitto kisha watangaze uchaguz??

Sisi tunajiuliza sana,kama wenye haki ya kuongoza chama hiko wanapendekezwa na AYATOLLAH MTEI,KUNA HAJA GANI YA KUFANYA UCHAGUZI??

PIA KAMA NDAN YA DEMOKRASIA YAO HAKUNA UKOMO WA MADARAKA YA NIN SASA KUHUBIRI DEMOKRASIA YA ULAGHAI??

WATANZANIA TUMESTUKA SASA,LABDA HUKO HUKO KANDA YA KASKAZIN.,LAKINI KUSINI NA KWINGINEKO NI KAMA VILE WANAJISUMBUA TUH
vipi mbona unalilia Zitto kwa uchungu, ni mmeo?
 
Nauliza. ile kauli ya Dr Slaa aliposema kwamaba Chadema haitofanya uchaguzi mpaka pale chama kitakopokomaa ni INVALID?

Inakuwaje maamuzi yanabadilika katika kipindi hiki?

Ndio kimeshakomaa hivyo. wewe,kuna chama Tz kinaweza kufanya maamuz yaliyofanywa na CDM?huko kama sio kukomaa ni nini?? ccm wao wanasema ukiwafukuza mafisad chama kitayumba na hata kufa. kama hauamini,muulize Nape hbr ya "Kuvua gamba"
 
hizo zote ni juhudi za zzk aidha direct or indirectly!!
Inaonekana wewe mgeni humu jf, la sivyo ungejuwa kuwa ZZK MATATIZO YA KUKIGAWA CHAMA ameyaanza zamani sana na baadhi ya wafuasi wake walishahamia kwa wanaowatuma (ccm) bado yeye tu, kwa hiyo kama ingekuwa ni juhudi zake uchaguzi ungefanyika tangu 2009. Lakini tulikuwa tunasubiri chama kikomae, na sasa wakati umefika kwani hata mamruki tunaweza kuwabaini. PEOPLEZ! hebu sema POWER. Ni ujinga kujiona kuwa unanguvu zaidi ya CHAMA
 
Back
Top Bottom