UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

Uchaguzi wa nini? Bado nina imani kubwa na viongozi waliopo.

Kama vipi si watarudi tu,kwani kamanda una wasiwasi gani? Halafu mkuu kibanga,mbona hujaweka saini ya Benson kigaila(mtoa ratiba) ili iwe valid sorce ya post yako?
 
Nauliza. ile kauli ya Dr Slaa aliposema kwamaba Chadema haitofanya uchaguzi mpaka pale chama kitakopokomaa ni INVALID?

Inakuwaje maamuzi yanabadilika katika kipindi hiki?

Kucheza na akili za MaCcm raha sana,ni majinga na yameshikwa pabaya,CHADEMA wanawapindua watakavyo,CHADEMA wananikosha sana,Viva CHADEMA.
 
Mleta post,ufafanuzi tafadhari:sijaona uchaguzi ngazi ya kata, ama hiyo ngazi imefutwa?
 
Nauliza. ile kauli ya Dr Slaa aliposema kwamaba Chadema haitofanya uchaguzi mpaka pale chama kitakopokomaa ni INVALID?

Inakuwaje maamuzi yanabadilika katika kipindi hiki?

Kukomaa alikozungumzia ni kuchukua maamuzi magumu ya kuondoa virusi ndani ya chama. Haiwezekani wengine wanajenga huku wengine wanabomoa, toka Zitto tokaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
 
Ameshikwa pabaya na watu wanatafuta pakutokea na uchaguzi si ndio ilikuwa ajenda ya walaka. Hakuna namna nyingine hapa lazima uchaguzi ufanyike.

Nauliza. ile kauli ya Dr Slaa aliposema kwamaba Chadema haitofanya uchaguzi mpaka pale chama kitakopokomaa ni INVALID?

Inakuwaje maamuzi yanabadilika katika kipindi hiki?
 
Wengine mkichangia ni kama mnatoka jikoni kabisa sio kama raia wema, fungukeni au nidhamu kwa viongozi ukimbwela wanakutimua.

Angalia kwanza muundo wa chama kwanza kabla ya kuangalia muda wa miezi sita!

General Elections uhusisha ngazi ngapi za uchaguzi? Lakini pia si mbaya ukaweka mapendekezo yako juu ya muda kila ngazi ichukue naamini hauko peke yako unayeona hivyo labda kilio chako/chenu kitawafikia wahusika na pengine wanaweza kufanyia marekebisho kalenda/ratiba hiyo
 
Bila kelele za ZZK , babu slaa na DJ mbowe walishasema hakuna uchaguzi hadi chama kiimarike, sasa kwa kuwa uchaguzi unakuja wale mayahaya na makarubandika wa makao makuu ufipa mtafute mahali pa kula maana chama kinatolewa mikononi mwa saccos ya mtei na kurudi kwa wanachama, copy, mungi,yerico and co.

Uchaguzi unafanyika huku mnayemtaka (Mpiga kelele),mnayemtaka akiwa out,anataka kujifanya yeye ndio Chadema!Hiki chama siyo mtu,aende Ccm ndiyo kuna wamiliki wa chama,hao wanabaka,wanafisadi,waizi,masavimbi lakini hayaulizwi,huku hapawezi dogo.
 
Kama wanachama tutaungana kwa nguvu ya hoja,tunaweza paza sauti zetu kuzuia uchaguzi isifanyike mpk tuvuke 2015.

Hatuwezi kwenda kwenye uchaguzi kwa matakwa ya maccm au watu wachache ndani ya chama,
 
Miezi sita?? Why muda mrefu sana ilhali general election yenyewe ya taifa haichukui muda mrefu hivyo

"ukiona kifaranga kipo juu ya chungu ujue chini kuna mama yake". Zitto Kabwe. Huu msemo ndo unamaanisha Zitto ndio kifaranga alaf mamake ni ccm, naomba unieleweshe maana ukihoji kitu kuhusu zitto ccm lazima waanze kukurukia na kauli za kashfa sasa hatuelewi, yaani leo hii mpaka Mwigulu anakuja juu kwenye swala la Zitto na Chadema
 
Kukomaa alikozungumzia ni kuchukua maamuzi magumu ya kuondoa virusi ndani ya chama. Haiwezekani wengine wanajenga huku wengine wanabomoa, toka Zitto tokaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
Nimekuelewa mkuu. nilidhani labda katiba ndio kila kitu, kumbe sometimes inabidi kutofuata katiba!
 
walioanzisha hii notion ya ukabila, ukanda,udini na aina nyingine za ubaguzi walikuwa na malengo ya kisiasa, na watu wasiofikiri au wanaosubiri wengine wafikirie kwa niaba yao bado wameishikilia kwenye vichwa vyao, ni aheri ungetumia muda mchache tu kutafakari athari za ubaguzi kama huu usingefanya hivi...hebu kama unataka kukosoa jaribu kuepuka ubaguzi kwa sababu unayo mengi sana unayoweza kusema bila kuonyesha ubaguzi. naamini umenielewa na hii si kwako tu ila na wengine wanaofikiria katika kuwabagua wengine kwa njia yoyote ile.
 
Nauliza. ile kauli ya Dr Slaa aliposema kwamaba Chadema haitofanya uchaguzi mpaka pale chama kitakopokomaa ni INVALID?

Inakuwaje maamuzi yanabadilika katika kipindi hiki?

wahuni tu chadema, wamekamatwa pabaya
 
Kama wanachama tutaungana kwa nguvu ya hoja,tunaweza paza sauti zetu kuzuia uchaguzi isifanyike mpk tuvuke 2015.

Hatuwezi kwenda kwenye uchaguzi kwa matakwa ya maccm au watu wachache ndani ya chama,

Acha ndio vizuri, kwani sisi kama wanachama tunajua hakuna haja ya kubadilisha uongozi, ili tukimaliza tuwaangalie wao watakavyokuwa wanaanza kuharibiana
 
Afadhaali zitto atagombea rasmi nafasi aliyoitaka toka zamani na atashinda ila wachaga watamchakachua kwa ubinafsi wao na hili linawezekana kama hawajamfukuza kabisa uanachama, lkn na uhakika kufukuzwa ni ngumu na kwa kauli ya zitto NTAKUWA WA MWISHO KUTOKA CHADEMA.

walioanzisha hii notion ya ukabila, ukanda,udini na aina nyingine za ubaguzi walikuwa na malengo ya kisiasa, na watu wasiofikiri au wanaosubiri wengine wafikirie kwa niaba yao bado wameishikilia kwenye vichwa vyao, ni aheri ungetumia muda mchache tu kutafakari athari za ubaguzi kama huu usingefanya hivi...hebu kama unataka kukosoa jaribu kuepuka ubaguzi kwa sababu unayo mengi sana unayoweza kusema bila kuonyesha ubaguzi. naamini umenielewa na hii si kwako tu ila na wengine wanaofikiria katika kuwabagua wengine kwa njia yoyote ile.
 
Wapinzani wa Mbowe watakuwa wameshaondolewa? maana hakuna kufanya uchaguzi mpaka muwamalize wote mnaoona wanaweza kuwa kikwazo cha mbowe kuenfelea kuwa mwenyekiti.
Naamini kwa fukuzafukuza inayoendelea kwa sasa kwa kisingizio cha umamluki kumbe ni woga wa watawala dhidi ya watu wanaokubalika kuliko wao.lkn naamini Zitto ndio mwenyekiti ajae maana yupo competent vya kutosha.
 
Bila kelele za ZZK , babu slaa na DJ mbowe walishasema hakuna uchaguzi hadi chama kiimarike, sasa kwa kuwa uchaguzi unakuja wale mayahaya na makarubandika wa makao makuu ufipa mtafute mahali pa kula maana chama kinatolewa mikononi mwa saccos ya mtei na kurudi kwa wanachama, copy, mungi,yerico and co.

Tayari mmeshafungwa midomo mmebaki mnaweweseka.
Tutafanya uchaguzi, tutahakikisha mamluki wa ccm tunawatoa mapema. msicheze na intelijensia ya chadema
 
Afadhaali zitto atagombea rasmi nafasi aliyoitaka toka zamani na atashinda ila wachaga watamchakachua kwa ubinafsi wao na hili linawezekana kama hawajamfukuza kabisa uanachama, lkn na uhakika kufukuzwa ni ngumu na kwa kauli ya zitto NTAKUWA WA MWISHO KUTOKA CHADEMA.

Thubutu mimi nachokiona ni wanakula KIFUNGO(hakuna kufukuzwa) wote watatu ya Kugombea uongozi wowote ndani ya mwaka mmoja kama ile aliyokula Ben.
 
Back
Top Bottom