UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

Nauliza. ile kauli ya Dr Slaa aliposema kwamaba Chadema haitofanya uchaguzi mpaka pale chama kitakopokomaa ni INVALID?

Inakuwaje maamuzi yanabadilika katika kipindi hiki?

Wanamuogopa zito kauli hizo ni zilitolewa ili kumkatisha tamaa kutokana sasa hivi wameshaamua kumfukuza uanachama ndio mana wametangaza uchaguzi. Natoa kauli viongozi wa chadema ni wabinafsi Na ni wapenda madaraka Na wamelewa chakari Kwa madaraka. Tunzungumze kama wastaarabu matusi yasiwepo cause najua machadema matusi wapo tayari
 
wE HUONI WAMEGUSWA PSIPOGUSWA HIVYO WANAWAYAWAYA. HIVI KWENYE HII RATIBA KUNA UCHAGUZI WA MWENYEKITI NA KATIBU.
 
Wanamuogopa zito kauli hizo ni zilitolewa ili kumkatisha tamaa kutokana sasa hivi wameshaamua kumfukuza uanachama ndio mana wametangaza uchaguzi. Natoa kauli viongozi wa chadema ni wabinafsi Na ni wapenda madaraka Na wamelewa chakari Kwa madaraka. Tunzungumze kama wastaarabu matusi yasiwepo cause najua machadema matusi wapo tayari
Sidhani kama hiyo itasaidia kukukinga na mvua za matusi.
 
Wapinzani wa Mbowe watakuwa wameshaondolewa? maana hakuna kufanya uchaguzi mpaka muwamalize wote mnaoona wanaweza kuwa kikwazo cha mbowe kuenfelea kuwa mwenyekiti.
Naamini kwa fukuzafukuza inayoendelea kwa sasa kwa kisingizio cha umamluki kumbe ni woga wa watawala dhidi ya watu wanaokubalika kuliko wao.lkn naamini Zitto ndio mwenyekiti ajae maana yupo competent vya kutosha.

​
"Huwezi kuwa unataka kwenda Mbinguni halafu wakati huo huo unakuwa na urafiki na shetani"
Kuna msemo unasema ukitaka kumjua mtu tabia zake wajue marafiki zake,
Sasa tazama watu ambao wanamsapoti zzk ni wale ambao wanaombea CHADEMA ife leo.
Ukiona shetani anakuwa upande wako ujue kuna tatizo mahala furani "Jichunguze"
 
Hivi mbona sijaona sehemu yoyote humu ndani wanongelewa waisilamu?
Hapa wanaongelewa viongozi wasaliti, na wala sio waisilamu.
Una tatizo la low self esteem/ confidence. Litafutie ufumbuzi.

c.c: Asha mohamed

Wewe huyo boya ni kafir ametutukana waislamu sana humu ndani sasa kuficha sura yake na kutaka kutuaminisha kuwa chadema kuna waislamu ametengeneza id fake akijifanya muislamu kumbe ni likafiri lenye chuki iliyopitiliza. Cc matola.
 
Last edited by a moderator:
Wanamuogopa zito kauli hizo ni zilitolewa ili kumkatisha tamaa kutokana sasa hivi wameshaamua kumfukuza uanachama ndio mana wametangaza uchaguzi. Natoa kauli viongozi wa chadema ni wabinafsi Na ni wapenda madaraka Na wamelewa chakari Kwa madaraka. Tunzungumze kama wastaarabu matusi yasiwepo cause najua machadema matusi wapo tayari

Wewe mwenyewe wasema watafanya uchaguzi chama kitakapokomaa BASI FAHAMU KUWA CDM IMEKOMAA TAYARI KWA UCHAGUZI.Mamluki hawaruhusiwi hata kuchukua fomu.pambafu zenu mliokaa mkisubiri kuchomeka mamluki.
 
Wewe huyo boya ni kafir ametutukana waislamu sana humu ndani sasa kuficha sura yake na kutaka kutuaminisha kuwa chadema kuna waislamu ametengeneza id fake akijifanya muislamu kumbe ni likafiri lenye chuki iliyopitiliza. Cc matola.

Udini utawaueni nyie mliofilisika sera hivyo mnawaza udini uwabebe,mnaitumia vibaya miskiti kwa siasa zenu za maji taka.
 
Wewe huyo boya ni kafir ametutukana waislamu sana humu ndani sasa kuficha sura yake na kutaka kutuaminisha kuwa chadema kuna waislamu ametengeneza id fake akijifanya muislamu kumbe ni likafiri lenye chuki iliyopitiliza. Cc matola.

unadhani waislam wote hawajitambui kama wewe mlamba miguu ya mafisadi?
 
Mmempiga zengwe Zitto ndo muitishe uchaguzi?!

Smh!

Sent from BlackBerry 9520
 
Wanamuogopa zito kauli hizo ni zilitolewa ili kumkatisha tamaa kutokana sasa hivi wameshaamua kumfukuza uanachama ndio mana wametangaza uchaguzi. Natoa kauli viongozi wa chadema ni wabinafsi Na ni wapenda madaraka Na wamelewa chakari Kwa madaraka. Tunzungumze kama wastaarabu matusi yasiwepo cause najua machadema matusi wapo tayari
Kata mti panda miti.
 
Wenyewe wameshajibagua unataka nani aje aseme nini ikiwa izo ndio sera zao wacha ziwatafune mpaka watapokwisha watajua athari yake.
walioanzisha hii notion ya ukabila, ukanda,udini na aina nyingine za ubaguzi walikuwa na malengo ya kisiasa, na watu wasiofikiri au wanaosubiri wengine wafikirie kwa niaba yao bado wameishikilia kwenye vichwa vyao, ni aheri ungetumia muda mchache tu kutafakari athari za ubaguzi kama huu usingefanya hivi...hebu kama unataka kukosoa jaribu kuepuka ubaguzi kwa sababu unayo mengi sana unayoweza kusema bila kuonyesha ubaguzi. naamini umenielewa na hii si kwako tu ila na wengine wanaofikiria katika kuwabagua wengine kwa njia yoyote ile.
 
Ni wakati wa kujitokeza kutimiza demokrasia ndani ya chama, si baada ya mchakato kuisha tunaanza kulalamika. Hima wanachadema jitokezeni kuchagua na kuchaguliwa.
 
Back
Top Bottom