UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

Mbona mpaka sasa hivi CCM haijafanya uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa? Malizeni huko kwenu ndio mje CDM

Yaani kila siku lazima ukomenti pumba,kwani matokeo ya form four yanatoka lini????baada ya matokeo naona tutapumua
 
Mkuu

Mleta uzi atakuwa ameiruka. kwenye bandiko lake hajagusa Mwezi Machi, Mwezi husika utafanyika uchaguzi wa ngazi husika, sikumbuki tarehe ya kuanza ila mwisho ni tarehe 20.

kwa hiyo uchaguzi wa ngazi hiyo upo.

Asante mkuu kwa ufafanuzi. Ila kwa hali ilivyo,nakuomba sana uchukue nafasi moja ya Bavicha,aidha ya Heche ama Munisi. Mshirikiane na Ben,najua mkikaa pale nyie wawili, Mapunda na Sadifa kwisha habari yao.kwa sasa naona kamanda Heche tu anapigana na bahati mbaya umri wa Bavicha umeshamtupa mkono. Ni wakati wake sasa aombe nafasi ya ukurugenzi pale makao makuu.
 
wapo wa lumuma humu jf wao kaziyao ni kuponda tu ingawaje hiwasaidii watakufa na wivu
 
Mkuu,ibara ya 6.1.1. ya katiba ya chadema tuliyonayo sasa inasema hivi: Kutakuwa na ngazi saba za uongozi wa chama kama ifuatavyo: (a) ngazi ya msingi (b) tawi (c) KATA/ WADI (d)jimbo la uchaguzi/wilaya (e) mkoa (f) jimbo, wakiwa na maana ya kanda(g) taifa. N.b: na viongozi wa jimbo la uchaguzi wanapatikana kwa kuchaguliwa na wajumbe wa kata. Kwa mimi navyoona,hiyo ngazi ya vitongoji inapaswa itoke na mahala pake ikae tawi,then kata na hatimaye jimbo. Mwisho trend ingeendelea. Hebu mwenye laptop am-cc Makene ama Mnyika aje atoe uthibitisho na ufafanuzi hapa.

Mkuu

Mleta uzi atakuwa ameiruka. kwenye bandiko lake hajagusa Mwezi Machi, Mwezi husika utafanyika uchaguzi wa ngazi husika, sikumbuki tarehe ya kuanza ila mwisho ni tarehe 20.

kwa hiyo uchaguzi wa ngazi hiyo upo.
Dr Emma John

Namini umejibiwa sasa na wahusika wakuu na kuhusu Katiba ni kweli na nimeiweka hapo juu pia.
 
Last edited by a moderator:
Nauliza. ile kauli ya Dr Slaa aliposema kwamaba Chadema haitofanya uchaguzi mpaka pale chama kitakopokomaa ni INVALID?

Inakuwaje maamuzi yanabadilika katika kipindi hiki?

Uliong'ea nae au uliambiwa na mtu? Haya ndio maamuzi ya chama na wewe unaleta mazungumzo ya uchoroni.
 
We binti nimekucheki mawazo yako ya chuki dhidi ya waislamu yanafanana kabisa na binti mwingine humu ndani anaejiita Matola.

Hivi mbona sijaona sehemu yoyote humu ndani wanongelewa waisilamu?
Hapa wanaongelewa viongozi wasaliti, na wala sio waisilamu.
Una tatizo la low self esteem/ confidence. Litafutie ufumbuzi.

c.c: Asha mohamed
 
Last edited by a moderator:
Report ya Mwigamba imesababisha mabadiliko, kipengele kikubwa cha fedha ndio bado kinasumbua.

Hapana ripoti ya mwigamba aina lolote kuhusiana na ratiba ya chama,mara ya mwisho CDM walifanya uchaguzi 2009,miaka mitano ni 2014 au mkuu 9+5=infinite?
 
Nauliza. ile kauli ya Dr Slaa aliposema kwamaba Chadema haitofanya uchaguzi mpaka pale chama kitakopokomaa ni INVALID?

Inakuwaje maamuzi yanabadilika katika kipindi hiki?

Kikomae mara ngapi?
 
Afadhaali zitto atagombea rasmi nafasi aliyoitaka toka zamani na atashinda ila wachaga watamchakachua kwa ubinafsi wao na hili linawezekana kama hawajamfukuza kabisa uanachama, lkn na uhakika kufukuzwa ni ngumu na kwa kauli ya zitto NTAKUWA WA MWISHO KUTOKA CHADEMA.

Tunawapongeza CDM kwa ratiba yao,Ukiongelea jambo lolote la Chadema ufahamu kuwa unaongea na wananchi.....

"CHADEMA MSINGI... KWA MAENDELEO YA TAIFA"

Hivi mbona sijaona sehemu yoyote humu ndani wanongelewa waisilamu?
Hapa wanaongelewa viongozi wasaliti, na wala sio waisilamu.
Una tatizo la low self esteem/ confidence. Litafutie ufumbuzi.

c.c: Asha mohamed
Mkuu Bora umeliona wakina CHAMVIGA na Boko haram wao chochote kinachofanywa na Muislam hata kama ni kibaya wanataka atetewe kwa hilo mimi nimeshindwa na misimamo yangu
 
Last edited by a moderator:
Hapana ripoti ya mwigamba aina lolote kuhusiana na ratiba ya chama,mara ya mwisho CDM walifanya uchaguzi 2009,miaka mitano ni 2014 au mkuu 9+5=infinite?

Umeisoma vizuri hiyo ripoti mkuu?
 
Uchaguzi huu ni wakaskazini tu au hata wakuja nwanaruhusiwa kuchua fomu?
 
Back
Top Bottom