UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

Tafuta lingine la kuongea magamba la uchaguzi mmejibiwa. Yaani mnahaha kama mmpo heat period.
 
Nimegundua watu wanachuki binafsi na Zito,hawataki ukweliii:vijana Wachadema si walisema Shibuda aliwaambia kipindi kile kesi ya Ugaidi,Waseme wametumwa na Mbowe na Slaa,ukitaka kujua ni unafiki wa kina Kileo na wenzao ndo huu,kwa akili ya kawaida kama yale maneno yana ukweli nani anakigawa CHAMA?????????
Tuache UNAFIKI
Samahani lakini,nirudi katika waraka nimeusoma huu waraka mara nyingi,sioni tatizo,zaidi ya kuwa na mambo mazuri kwa Chadema yenye afya kama yatafanyiwa kazi,bila hata Zito kuwa kiongozi,mimi kutoka Moyoni nataka Slaa na Mbowe waondoke katika Uongozi,pia Zito asiwe kiongozi wote wabaki kuwa washauri na wajumbe
Nakubali Zitto Kabwe ana Udhaifu wake lakini Mbowe na Slaa sio Malaika!
Swali kwa Wadau maana huu waraka tumejadili kihisi kumuhusu Zitto wakati yeye ajauandaa,Je ikitokea ukakamatwa waraka unamuhusisha Mbowe kutaka kusiwe na Ukomo katika nafasi ya Uenyekiti je mbowe achukuliwe Hatua gani????
 
ratiba imetoka sawa ila kwangu mimi ambae naisoma katiba ya chadema kuna ngazi mmoja sijaiona hapo ktk hiyo ratiba ambayo ni uchaguzi ngazi ya kata haikutajwa hao viongozi wa jimbo kama katiba ya sasa ilivyo wanapatikana kwa kuchaguliwa na ngazi ya kata au katiba hii ngazi ya kata ilishabadilishwa na kuwa vitongoji? Au imesahaulika? Vitu kama hivi ni vizuri kubainishwa ili kuondoa shida huko mbeleni kwa wanachama na wapenzi wa chadema katika chaguzi hizo
 
Hapo ni mgonjwa wa akili tu ndiye asiyejua kwamba kilichokuwa kinachelewesha uchaguzi CHADEMA ni Zitto na Kitila Nkumbo, the Threats!

Nendeni salama maana refaree ni wa kwenu na manchezea uwanja wa nyumbani!
 
Nimegundua watu wanachuki binafsi na Zito,hawataki ukweliii:vijana Wachadema si walisema Shibuda aliwaambia kipindi kile kesi ya Ugaidi,Waseme wametumwa na Mbowe na Slaa,ukitaka kujua ni unafiki wa kina Kileo na wenzao ndo huu,kwa akili ya kawaida kama yale maneno yana ukweli nani anakigawa CHAMA?????????
Tuache UNAFIKI
Samahani lakini,nirudi katika waraka nimeusoma huu waraka mara nyingi,sioni tatizo,zaidi ya kuwa na mambo mazuri kwa Chadema yenye afya kama yatafanyiwa kazi,bila hata Zito kuwa kiongozi,mimi kutoka Moyoni nataka Slaa na Mbowe waondoke katika Uongozi,pia Zito asiwe kiongozi wote wabaki kuwa washauri na wajumbe
Nakubali Zitto Kabwe ana Udhaifu wake lakini Mbowe na Slaa sio Malaika!
Swali kwa Wadau maana huu waraka tumejadili kihisi kumuhusu Zitto wakati yeye ajauandaa,Je ikitokea ukakamatwa waraka unamuhusisha Mbowe kutaka kusiwe na Ukomo katika nafasi ya Uenyekiti je mbowe achukuliwe Hatua gani????

Nashaka POST yaklo kiujumla imepotea umeileta sehemu ambako siko. hapa tunajadili Uchaguzi ndani ya CHADEMA na sio WARAKA.
 
Sina uwakika,
Ila nahisi muundo wa CHADEMA hauna kitu kinachoitwa KATA.

Mkuu,ibara ya 6.1.1. ya katiba ya chadema tuliyonayo sasa inasema hivi: Kutakuwa na ngazi saba za uongozi wa chama kama ifuatavyo: (a) ngazi ya msingi (b) tawi (c) KATA/ WADI (d)jimbo la uchaguzi/wilaya (e) mkoa (f) jimbo, wakiwa na maana ya kanda(g) taifa. N.b: na viongozi wa jimbo la uchaguzi wanapatikana kwa kuchaguliwa na wajumbe wa kata. Kwa mimi navyoona,hiyo ngazi ya vitongoji inapaswa itoke na mahala pake ikae tawi,then kata na hatimaye jimbo. Mwisho trend ingeendelea. Hebu mwenye laptop am-cc Makene ama Mnyika aje atoe uthibitisho na ufafanuzi hapa.
 
Huyu Msaliti lazima atimuliwe akaungane na gaidi mwenzake Mwigulu

We binti nimekucheki mawazo yako ya chuki dhidi ya waislamu yanafanana kabisa na binti mwingine humu ndani anaejiita Matola.
 
Last edited by a moderator:
Afadhaali zitto atagombea rasmi nafasi aliyoitaka toka zamani na atashinda ila wachaga watamchakachua kwa ubinafsi wao na hili linawezekana kama hawajamfukuza kabisa uanachama, lkn na uhakika kufukuzwa ni ngumu na kwa kauli ya zitto NTAKUWA WA MWISHO KUTOKA CHADEMA.

Ni cha wachaga, so what??
Mind mgando ni utumwa wa kuzaliwa nao
 
Nimegundua watu wanachuki binafsi na Zito,hawataki ukweliii:vijana Wachadema si walisema Shibuda aliwaambia kipindi kile kesi ya Ugaidi,Waseme wametumwa na Mbowe na Slaa,ukitaka kujua ni unafiki wa kina Kileo na wenzao ndo huu,kwa akili ya kawaida kama yale maneno yana ukweli nani anakigawa CHAMA?????????
Tuache UNAFIKI
Samahani lakini,nirudi katika waraka nimeusoma huu waraka mara nyingi,sioni tatizo,zaidi ya kuwa na mambo mazuri kwa Chadema yenye afya kama yatafanyiwa kazi,bila hata Zito kuwa kiongozi,mimi kutoka Moyoni nataka Slaa na Mbowe waondoke katika Uongozi,pia Zito asiwe kiongozi wote wabaki kuwa washauri na wajumbe
Nakubali Zitto Kabwe ana Udhaifu wake lakini Mbowe na Slaa sio Malaika!
Swali kwa Wadau maana huu waraka tumejadili kihisi kumuhusu Zitto wakati yeye ajauandaa,Je ikitokea ukakamatwa waraka unamuhusisha Mbowe kutaka kusiwe na Ukomo katika nafasi ya Uenyekiti je mbowe achukuliwe Hatua gani????

Kwanza kwa mujibu wa Mnyika jana,waraka unaousoma humu si ule halisi uliowafukuzisha uongozi hao wasaliti. Huu uliomo humu umepozwa makali ya kukiua chama,na Mnyika alisema mwishoni mwa sakata hili ikibidi kuutoa watafanya hivyo. Ishu ya Mbowe,hata kama angekuwa yeye chama kingemfukuza mara moja. Chadema si ya Mbowe wala mtu yeyote,ni ya wote!
 
Nauliza. ile kauli ya Dr Slaa aliposema kwamaba Chadema haitofanya uchaguzi mpaka pale chama kitakopokomaa ni INVALID?

Inakuwaje maamuzi yanabadilika katika kipindi hiki?
Sasa si ndio kimekomaa? Kwani maamuzi ya juzi unadhani yangefanyika bila ya kuwepo ukomavu?
 
Chadema kimekuwa chama cha kitaifa sasa kwa hiyo viongozi waliopo sasa wanajua fika kwamba wao ni bora lakini wapo bora zaidi yao.sasa hivi hatuhiji helikopta tunataka mageuzi.mageuzi ndani ya cdm
 
ratiba imetoka sawa ila kwangu mimi ambae naisoma katiba ya chadema kuna ngazi mmoja sijaiona hapo ktk hiyo ratiba ambayo ni uchaguzi ngazi ya kata haikutajwa hao viongozi wa jimbo kama katiba ya sasa ilivyo wanapatikana kwa kuchaguliwa na ngazi ya kata au katiba hii ngazi ya kata ilishabadilishwa na kuwa vitongoji? Au imesahaulika? Vitu kama hivi ni vizuri kubainishwa ili kuondoa shida huko mbeleni kwa wanachama na wapenzi wa chadema katika chaguzi hizo

Mkuu

Mleta uzi atakuwa ameiruka. kwenye bandiko lake hajagusa Mwezi Machi, Mwezi husika utafanyika uchaguzi wa ngazi husika, sikumbuki tarehe ya kuanza ila mwisho ni tarehe 20.

kwa hiyo uchaguzi wa ngazi hiyo upo.
 
Back
Top Bottom