Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

Kwanza kabisa tukumbuke kuwa tunaweza kuwa wana CCM, Chadema au CUF, lakini kwanza ni watanzania, na tunataka mtanzania anayeijali Tanzania na kulinda maslahi ya Tanzania. Regarldless anatoka chama gani.

- Mkulu Bongolander, maneno mazito sana hayo ndio maana tunasema hivi, so far tunaamini kwamba katika the perfect world yenye perfect life, Tanzania kama tunatka kusonga mbele kuliko tulipo sasa, basi kwa kuanza tu ni kwamba:

Rais lazima awe Dr. Slaa, Waziri Mkuu Magufuli, huku Mbowe akiwa Mwenyekiti wa Chama kinachotawala, yes I said it!, Dr. Kitila ni waziri wa Takukuru, au?

- Halafu lazima tujifunze next time kuweka kigezo cha Rais asiyependa sana safari, I mean between Mkapa na Muungwana sasa, jamani taifa letu limetumia hela nyingi sana kulipai safari za hawa viongozi wetu, sasa tuseme mapema kwamba tunataka Rais asiyependa sana safari, vipi wakuu Dr. Slaa mnaomjua sio msafiri moli moli?

Respect.

FMEs!
 
FMes,
Kwanza mnamharibia huyo babu Slaa..the best JF can do or who ever is close to him nikumshauri aishiye karatu...akiendekeza biashara ya kupanda matawi ya juu atashuka kwa kuanguka...kuna mambo mengi zaidi yanamdis-qualify kuwa Rais wa nchi nzuri kama Tanzania...wenye watu wa culture lukuki..slaa never try...go back to your previous church position muzee..take on of that..

Magufuli anaweza kupewa kazi yeyote huyo mzee anajitahidi sana kusimamia mambo..naamini pia anaweza kutoa maamuzi ikiwa wananchi wanapiga kelele..kkwa kuwa anapenda masifa kiasi fulani siyo mbaya akiwa waziri mkuu..

Huyo kitila ndio sisimizi gani vile...amefanya nini tangu azaliwe worth mentioning...ameweza ku-handle family problem zake kabla ya kumpa kazi kubwa ya u-waziri..au ndio yaleyale ya kugawa uwaziri kama JK...nafikri ikiwa tunampenda aanze kuwa mkuu wa wilaya Monduli yenye njaa tuone na tumpime..

Kuna kijana anaitwa maige yuko maliasili anafaa sana kuwa waziri wa fedha..
 
- Mkuu nimekusikia sana, ngoja tusikie ya wengine hapo kuhusu maoni yako!

Respect.

FMEs!
 
- Mkulu Bongolander, maneno mazito sana hayo ndio maana tunasema hivi, so far tunaamini kwamba katika the perfect world yenye perfect life, Tanzania kama tunatka kusonga mbele kuliko tulipo sasa, basi kwa kuanza tu ni kwamba:

Rais lazima awe Dr. Slaa, Waziri Mkuu Magufuli, huku Mbowe akiwa Mwenyekiti wa Chama kinachotawala, yes I said it!, Dr. Kitila ni waziri wa Takukuru, au?

- Halafu lazima tujifunze next time kuweka kigezo cha Rais asiyependa sana safari, I mean between Mkapa na Muungwana sasa, jamani taifa letu limetumia hela nyingi sana kulipai safari za hawa viongozi wetu, sasa tuseme mapema kwamba tunataka Rais asiyependa sana safari, vipi wakuu Dr. Slaa mnaomjua sio msafiri moli moli?

Respect.

FMEs!

Mkuu kwa hali tuliyonayo sasa, nakuhakikishia kuwa kama JF itaendelea kuwepo kwa miaka 100 malalamiko yatakuwa yaleyale kila siku, nothing will change. Tukiangalia kubadilisha tu mtu wa magogoni tunaweza kuwa tumefanya kitu fulani, lakini haitakuwa mwisho wa matatizo ya ufisadi, uzembe na uchwara mwingine kwenye utawala. Mimi sioni kama weakness tuliyonayo sasa inatokana na weakness ya JK, kama institutions zetu zingekuwa na nguvu JK we are talking now would have been a different JK. Sasa hivi anaweza kutalii anavyopenda, au hata kuwakalia kimya mafisadi kwa kuwa hakuna kinachombana, anaongoza kama anavyopenda. Tunahitaji kuweka rules, laws na regulations ambazo zinaweza kufuatwa na kusimamiwa. Kwenye mazingira haya ya uswahili ni vigumu sana na hakuna hopes.

Dr Slaa ni presidential material, lakini wapiga kura wenyewe ni kina nani? katika hali tuliyonayo kuna electorate wengi wako tayari kulipigia kura jambazi just because ni CCM, yako radhi kutompigia kura mtu anayefaa just because yuko opposition. This is a cancer which will keep on eating us for decades.

Hata ukiangalia kwenye primaries zetu CCM unaona wazi kabisa kuwa kuna watu wakipewa pilau tu wanabadilisha mwelekeo wa kupiga kura. Jamaa likiwa na hela hata kama linauza unga linachaguliwa kuwa mbunge au diwani, kama mtu anafaa kama yeye si mwizi na anayejua kuhonga basi, asahau kama ataweza kutoa mchango wake kwenye uongozi wa Tanzania, labda iwe bahati.

Mechanism hii kidogo inatuletea shida, inahitaji watu madhubuti kwenye uongozi wa juu kuweka sifa za mtu anayefaa kuwa kiongozi, sio kununua uongozi kwa pilau na vitenge.
 
- Mkuu Bongolander, maneno ni mazito sana haya, najaribu kuyatafakari sana kabla ya kuendelea na mdahalo, ingawa kwa haraka haraka ninaona kama tukipata Rais anayefaa basi atalia sana na mechanism ya rules za utawala wetu kwanza, inaonekana Muungwana ameridhika sana na hii layback system ambayo haina uwajibikaji kabisaa!

- Na pia sisi wananchi pia tuna matatizo makubwa sana, mimi ninashangazwa sana kwamba viongozi wazuri wanaposifiwa wengi tunawatukana, lakini in the process hatusemi the alternative sasa tunategmea wananchi wafanye nini? Mimi kama nimepewa pilau na ninasumbuliwa na nafsi yangu halafu ninakuja JF na kukuta viongozi wema wanatukanwa nitafanya nini si ndio ninajipa moyo kwamba it is not that bad maana hata hawa mabingwa wa dunia wa siasa nao wanawatukana, afadhali Serukamba!

- Otherwise, bado ninajaribu ku-diggest maneno yako na kisha tutaendelea na kuwataja viongozi tunaoona wanatufaa kwa masilahi ya taifa!

Respect.

FMEs!
 
- Wakuu vipi Butiku na Quaresi, wagombee nafasi za uongozi wa taifa? I mean ni muda mrefu sana sasa Butiku amekuwa consistent na msimamo wake kwamba serikali ya sasa haina uwezo mkubwa wa kuongoza kama tulivyowategemea tulipowachagua,

- Then came Quaresi, the first CCM member kuelekeza makombora yanapotakiwa, yaani mezani kwa Rais wa sasa mpaka kumfanya Rais wa jamhuri kujibu kwamba ni mawazo ya chuki za binafsi!

- What is so special about this two, former leaders ni the fact kwamba Rais ambaye kwa kawaida huwa hajibu criticism, au hutumia wengine kumjibia this time alijibu mwenyewe akiwa Airport na kuahidi kwamba atajibu zaidi in the future! Lakini since tumejionea njia mbali mbali zikitumiwa kuwajibu kwa kuwa-discredit Butiku na Quaresi, wengine wamefikia hata kuwaita wehu!

- Je huu ujasiri wao, unaweza ukawa a clear tiketi ya kuweza uongozi wa taifa?

Respect.

FMEs!
 
Mkuu tukifikiri watu kama hao kurudi madarakani itakuwa ni set back, kwa sbabau wao wamekuwa madarakani kwa muda mrefu walicho-offer ni uadilifu, which is good. Tunahitaji zaidi ya uadilifu, input yao kwa kweli ni very clucial they are supposed to do just that, may be a bit more louder than they are doing now. Wao wana experience ya kutosha, wanajua nini maana ya uadilifu. Lakini kwa sasa they lack new ideas which we desperately need, Tanzania inahitaji mtu muadilifu, mwenye new vision mwenye udhati na anayeweza kuorganise na kumanage resources zitakazosaidia Tanzania kupiga hatua na kuwasaidia watanzania kuwa na better life, anayeweza kuwa na udhati kwenye kupambana na ufisadi na uhalifu (sio kuwachekea)mwenye uzalendo wa kweli na Tanzania. Anatakiwa asiwe mdini na asiiendeshe nchi kinyapala.

Ingawa kuna uwezekano kabisa wa kumpata mtu huyo, lakini ni vigumu sana, na inaonekana kuwa kwa sasa hakuna hata mtanzania anyefanya jambo hilo, hakuna hata attempts za kuunda institutioin yenye nguvu ya kukabilina na hali kama ya sasa (ya Rais kutotekeleza wajibu wake) ikitokea next time.

So far inaonekana kama tutaendelea kuwa hopeless, na kama hatutakuwa makini we will be heading for another five years of waste.
 
Prof. Ibrahimu Lipumba for 2010 presidency...wapinazni wote wamuunge mkono tafadhali..right person in a right time.

Rais anaweza akabakia wa CCM si hoja kwa sasa, but Top Priority kwa wapinzani 2010 ni kujitokeza kuwania viti ya ubunge, tuwa -support then if opposition gets 55% by 45% sets of CCM, Job is Done (First Phase)

Wapinzani wakiwa bungeni - wana full control of the system
a) watachagua speaker wanayemtaka
b) wanaweza change vipengere ktk katiba yetu, vipengere kama serikali ya mseto vinaweza kuingizwa kutokana na idadi viti ya ubunge.
c) wanaweza change Tume ya uchaguzi
c) wanaweza hata kupunguza baadhi ya madaraka ya rais yasiyo ya tija kwa taifa
d) System nzima kuipitia ili kupunguza mianya ya rushwa, mikataba mibovu etc.

Haya lazima yafanyike 2010, bila haya TUMEMWISHA. Na hapa ndipo tutakuwa tunakaribia uhuru wa kweli for the First Time toka 1961.

Wakenya hao wanatuachaaaaa....... Watch out.
 
- Sasa mkuu wangu, hao wenye vision si wangejitokeza tukawasikia wakisema bila uoga kama hawa Butiku na Quaresi, I mean tuwasikie wakisimama kuhesabiwa, ndio maana ninasema hawa Butiku na Quaresi tuwafikirie sana wanaweza kutusadia, kwa sababu hawana uoga na sauti zao ni nzito sana ndio maana sasa hata Rais wetu anahaha, infact ameahirisha mpaka safari ya Denmark, ni lazima tuwachukulie serious hawa maana vision za kunyamaza kimya wakati sauti zinahitajika sasa, haziwezi kutusadia kwenye taifa, au?

Respect.

FMEs!
 
Rais anaweza akabakia wa CCM si hoja kwa sasa, but Top Priority kwa wapinzani 2010 ni kujitokeza kuwania viti ya ubunge, tuwa -support then if opposition gets 55% by 45% sets of CCM, Job is Done (First Phase)

Wapinzani wakiwa bungeni - wana full control of the system
a) watachagua speaker wanayemtaka
b) wanaweza change vipengere ktk katiba yetu, vipengere kama serikali ya mseto vinaweza kuingizwa kutokana na idadi viti ya ubunge.
c) wanaweza change Tume ya uchaguzi
c) wanaweza hata kupunguza baadhi ya madaraka ya rais yasiyo ya tija kwa taifa
d) System nzima kuipitia ili kupunguza mianya ya rushwa, mikataba mibovu etc.

Haya lazima yafanyike 2010, bila haya TUMEMWISHA. Na hapa ndipo tutakuwa tunakaribia uhuru wa kweli for the First Time toka 1961.

Wakenya hao wanatuachaaaaa....... Watch out.

- Maneno mazito mkuu na tupo pamoja sana hapo!

Respect.

FMEs!
 
- Wakuu vipi Butiku na Quaresi, wagombee nafasi za uongozi wa taifa? I mean ni muda mrefu sana sasa Butiku amekuwa consistent na msimamo wake kwamba serikali ya sasa haina uwezo mkubwa wa kuongoza kama tulivyowategemea tulipowachagua,

- Then came Quaresi, the first CCM member kuelekeza makombora yanapotakiwa, yaani mezani kwa Rais wa sasa mpaka kumfanya Rais wa jamhuri kujibu kwamba ni mawazo ya chuki za binafsi!

- What is so special about this two, former leaders ni the fact kwamba Rais ambaye kwa kawaida huwa hajibu criticism, au hutumia wengine kumjibia this time alijibu mwenyewe akiwa Airport na kuahidi kwamba atajibu zaidi in the future! Lakini since tumejionea njia mbali mbali zikitumiwa kuwajibu kwa kuwa-discredit Butiku na Quaresi, wengine wamefikia hata kuwaita wehu!

- Je huu ujasiri wao, unaweza ukawa a clear tiketi ya kuweza uongozi wa taifa?

Respect.

FMEs!

Heshima Mkuu,
Hawa wamekuwa tambi zilipuazo baruti ipasuayo miamba na kutengeneza barabara mahali ambapo hapakutegemewa. Ni ukweli kuwa hawawezi kuwa baruti, ila baruti bila tambi basi kazi haifanyiki. Ujasiri wao ni wa rekodi ya aina yake, na hakika huko tuendako hata kama leo tutawabeza, tutawakumbuka! Ilikuwa sio kazi ndogo kumgeuza mkulu kwenye safari ya DK wakati uwanjani alisema safari hiyo haina mbadala!

Tunahitaji sauti zao na ushawishi kwa wapenda Tanzania kuwa wana haki na wanaweza kuibadilisha Tanzania. Kinachotakiwa na watu kuwa tayari kuweka mbele maslahi ya Tanzania.
 
- Duh! kumbe wenye macho na masikio tupo wengi, saafi sana mkuu! Sijui kwa nini wananchi wanashindwa kuelewa kwamba zile time za kubembelezana zimekwisha sasa Mtandao wanahitaji fimbo tu kama za kina Butiku na Quaresi, mpaka Mkulu alitaka kulia Airport!

Hivi unafikiri atajibu?? Washauri walishamtonya akauke na akina Makamba watamjibia. Sasa hivi hali iko wazi na kila mtu anajuwa hali halisi. Kilichokuwa kimekosekana ni ujasiri wa kusema. Hata akina Msekwa na Malecela walikosa huo ujasili wakaamua kumu-endose for the second term.
 
Wakuu lazima tukumbuke kuwa hii ni mara ya kwanza kwa maofisa na mawaziri wastaafu kusema wazi kuwa presidency inafanya fyongo, na ni kweli kuwa presidency inachemsha kila mtu anoana (whatever the excuse may be). Lakini inahitaji courage kwa watu from within kusema wazi au hata kujaribu kuchukua hatua, siasa za Tanzania sio kama siasa za wenzetu wenye demokrasia ya kweli. Unaweza kuishia kama Mrema.

Miaka ile tulimuona Mrema chizi na power maniach, tukamdhihaki lakini sasa tunaona kuwa kumbe ni wenyewe tumejidhihaki, matokeo yako ni kuwa sasa yuko kapuni. Tumeona Mangula anavyofanywa, hata uenyekiti wa serikali za mitaa hawezi kupata, kisa? sias za bongo.
 
- Wakuu vipi Butiku na Quaresi, wagombee nafasi za uongozi wa taifa? I mean ni muda mrefu sana sasa Butiku amekuwa consistent na msimamo wake kwamba serikali ya sasa haina uwezo mkubwa wa kuongoza kama tulivyowategemea tulipowachagua,

- Then came Quaresi, the first CCM member kuelekeza makombora yanapotakiwa, yaani mezani kwa Rais wa sasa mpaka kumfanya Rais wa jamhuri kujibu kwamba ni mawazo ya chuki za binafsi!

- What is so special about this two, former leaders ni the fact kwamba Rais ambaye kwa kawaida huwa hajibu criticism, au hutumia wengine kumjibia this time alijibu mwenyewe akiwa Airport na kuahidi kwamba atajibu zaidi in the future! Lakini since tumejionea njia mbali mbali zikitumiwa kuwajibu kwa kuwa-discredit Butiku na Quaresi, wengine wamefikia hata kuwaita wehu!

- Je huu ujasiri wao, unaweza ukawa a clear tiketi ya kuweza uongozi wa taifa?

Respect.

FMEs!

Wazee kama Butiku wanafaa sana kuwa washauri kwa Rais aliye madarakani. Kinachowafanya wawe na ujasiri wa kuongea bila woga ni uzoefu na uelewa wao kwa kina kuhusu masuala ya Serikali. Inasikitisha sana kuona jinsi ambavyo viongozi wanaokuwa madarakani wanavyowapuuza wazee kama wale waliokuwepo kwenye lile Kongamano la Taasisi ya Mwalimu Nyerere. Wazee wale na wengine ambao wameishakuwa viongozi wa nchi hii katika ngazi mbalimbali wanao uzoefu wanajua lipi jema na lipi baya kwa nchi yetu. Wakizungumza kwa ujasiri wanazungumza kwa manufaa ya Taifa na si kwa manufaa yao binafsi. Sidhani kwamba mtu kama Mzee Butiku, Mzee Lusinde, Mzee Mwakawago, Mzee Salim, Mzee Warioba au mtu kama Mzee Msuya na wengine wa aina yao, wanaweza wakaweka maslahi yao mbele kuwaza kuwa na agenda ya kutaka u-Rais wa nchi zaidi ya kuangalia mustakabali wa Taifa letu!!

Hata hivyo, wakigombea u-rais wanaweza kuwa marais wazuri sana kwa sababu wanajua nchi yetu inahitaji nini. Kama Mwai Kibaki ni Rais kwa nini isiwe wao?
 
Mkandala,
Nakubaliana na wewe asilimia 100%, Dr. Slaa akisimama na muungwana, 2010 kweli patachimbika. Watafutwe wazee wa busara wa upinzani na hata wa CCM waliochoshwa na mambo yalivyo, wakamshauri Dr Slaa agombea kama mgombea pekee wa upinzani atakayemkabili JK.

Wakati huo jimbo lake la Karatu tunaliwekea caveat ya kijana loyal wa Chadema ambaye atakuwa dispensable incase bid inagoma, Chadema wanamdispanse na Dr. anarudi Karatu kwenye by election na kurejea mjengoni ambapo 2015 itakuwa sasa ni for sure.

Dear Pasco, Mkandara, FMES na wengine,

Nawashukuru sana kwa kuona kuwa Dr. Slaa ndiye anafaa kuwa mgombea kwa upande wa upinzani. Nawaunga mkono kwa aslimia 300. Kwangu pia Mgombea Mwenza awe Maalim Seif wakati Lipumba atayarishwe kama waziri mkuu mtarajiwa.

Naomba wana JF tusipoteze muda kufikiria wagombea wengine upande wa upinzani zaidi ya Dr. Slaa. Kila linalowezekana lifanyike ili ashinde na kuwa Rais wetu baada ya uchaguzi wa 2010.

Kama kweli tunajali maslahi ya taifa kwanza, basi ni muhimu pia JK akamuunga mkono Dr. Slaa mwaka 2010.
 
Hivi kama leo JK atasema basi, nani anayeweza kufaa kukalia nafasi hiyo ya juu? Napata shida kuaona mbadala. Naona hizi weakness zilizopo zinaweza kutuletea fisadi katika makucha yake halisi.Hatima ya Taifa itakuwaje?
 
Back
Top Bottom