- Ndugu yangu Omaaar, heshima yako mkuu na vipi habari za siku nyingi unajua ni siku nyingi sana, anyways karibu sana mkuu kwenye mjadala nilizoziweka ni dataz ambazo wewe kwa uakribu wako na Salim unajua wazi kwamba ni facts kwa sababu yametokea na yamefanyika,
- Kuna mahali nimesema ninamheshimu sana Salim as a person ndio maana sitaki kwenda deep na yote aliyoyafanya Addis, hapa tunachambua uwezo wa viongozi kama kiongozi ana uwezo zaidi ya inavyosemwa ni wajibu wako kuweka wazi unachotaka kukisema na kukanusha unachoona anaonewa! Otherwise sina mpango wa kumchambua kwa undani sana sina sababu!
Respect.
FMEs!
mnafiki!!
- Kuwajadili viongozi wetu sio kuwavunjia heshima na wala hakuna mzazi wa mtu yoyote hapa awe wako wala wangu, hapa wanajadiliwa viongozi wanaofaa na wasiofaa, sitaki kwenda deep sio kwamba ninaogopa anything ila sioni sababu,
- Omaar, ninajua kua Salim alikwenda kusoma Cuba kwa kuepelekwa na Mzee Babu na sababu ya kuwapeleka huko yeye na makomandoo wengine 10 akiwemo Mahafudhi ninaifahamu, sasa ninapokataa kwenda deep sio kwamba sina dataz au facts, mkuu mbona zipo kwenye files za CIA ambazo zinaruhusiwa publicly kule Congress Library, nextime ukiwa kule pitia kule utayaona mwenyewe!
- Mzee mmoja wa CC kutoka Zenji, aliwahi kuniambia hivi tunamkataa Salim kwa sababu zile zile zilizomfanya Reagan amkatae kuwa katibu wa UN, mkuu Omaaar ninamaliza kwa kusema hivi msimamo wangu ni kwamba Salim hatufai kwenye uongozi wa nafasi ya u-Rais, kwa sababu hajawahi kuonyesha uwezo wake either kwa maneno au vitendo, na hasa katika kupambana na mafisadi, nia na madhumuni hapa ni kutafuta Rais anayeweza kupambana na mafisadi.
- Na bado ninarudia tena kwamba sitaki kwenda deep kwa sababu ninamheshimu sana, lakini mapungufu yake tena mengine very ugly yanajulikana sana mkuu dunia ni ndogo sana sio kama unavyofikiri! Tafuta info Mkapa alipomuita Mzee Ngejembi na kumkataza kumpigia kampeni Salim alimuambia nini?
Respect.
FMEs!
mwongo what is JF..............................
napata sana shida na huyu mwana CCM damu, poleni sana kwa kutoana jasho humu
FMES nilikuuliza na ninaona unajikanyaga , hivi NYIE CCM MNA-MPANGO WA KUWEKA MGOMBEA MWINGINE MBALI YA JK?? KWA SABABU KAMA MGOMBEA NI JK NA HAKIKA NDIYE RAIS AJAYE, LENGO LA THREAD HII NI NINI??????
UTAKUWA MTU WA PROPAGANADA UWACHOTE WATU AKILI WABAKI KUJADILI CCM NA WATU WAKE MAFISADI AMBAO KATIKA HAO WEWE HAUKOSI
ONA SASA NDANI YA CHAMA CHENU CHA UKEREKETWA MNAVYOBAGUANA KIDINI NA KIRANGI! CCM WEE!
FMES nasema na nitaendelea kusema wewe ni mnafiki,miaka 40 mmekaa madarakani, wewe hujaona mabaya ya CCM mpaka leo ujiite mkereketwa? umefanya nini cha maana kulinda ukereketwa wako wakati mnaongozana na JK kila siku , hujaenda tu kwenye bembea
Hii thread haina maana yoyote unless unataka kutuaminisha kuwa ndani ya CCM mtammsimamisha mtu tofauti na JK!!
I REPEAT LOUD AND CLEAR, kwa post zako humu wewe ni fisadi, maadamu unakula na familia yako hujajua bado madhara ya CCM nchi hii!
UNACHOFANYA NI KUJIPA MOYO KUWA NAWE UKISEMA KUWA UNAPAMBANA NA UFISADI ANGALAU INAKUPA AHUENI YA MOYO
UNAKULA NA MAFISADI, UNAFANYA NAO KAZI, WANAKUTUMA, UNAWATUMA, FMES please wadanganye hao hao
This is just a gentle reminder nitakuwa nakuandikia kila wiki kukumbusha kuwa wewe na chama chenu ni mafisadi!!!!!!!!!!!!!!!!
note every week!