Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

Hayo ya kufaa ama hakufai kuwa Rais sio kazi yangu maana nimeshakueleza msimamo wa Dr Salim ambao mara kadhaa ameshaurudia hata hivi karibuni kwenye vyomba vya habari tena bila ya kuzungusha maneno. He has no ambition whatsoever and he is happy on what he does now for the Prseident, country and our continent.

Sidhani kama haya unayosema sasa ndiyo niliyokutaka utoe hizo facts na dataz. Na pia na haya ya Mzee Ndenjembi nayo ni uzushi na uongo kama ambavyo ulivyodai hapo mwanzo kuwa eti alihongwa gari na Dr Salim. Kama kuna mtu aliyekataa hongo na kusimama kidete hadi sasa na Dr Salim basi ni huyu mzee. Kukataa kumuunga mkono "wanyumbani" na kusimamia misingi isiwe sababu ya kumdhalilisha Mzee wa watu...

Hilo la heshima kwa Dr Salim halipo na halijawahi kuwepo
. Hiyo siyo hulka yako kaka.

You still have responsibility to produce ur so called facts, evidences and datza za hizo tuhuma ulizozitoa katika thread hii na katika ule mjadala uliopita hivi karibuni kama ambavyo nimeorodhesha hapo kabla na kama ulivyoainisha kuwa hapa hakuna majungu wala uongo.



Tafadhali pia naomba uonyeshe mahala popote pale ambapo BUTIKU aliwahi kumpigia debe Dr Salim. Popote pale. Mlishadai kuwa Dr Salim alitumia fedha za Mwalimu Nyerere Faundation kufanya kampeni. Hili nalo itakuwa ni busara, uungwana na jukumu lako na wenzio kulitolea the so called facts and dataz......

omarilyas

- Mkuu Omaar, ninarudia tena sina sababu ya kwenda deep na dataz pamoja na facts kuhusu mapungufu ya Salim na uongozi, isipokuwa bado unayo nafasi ya kukanusha kwa kutaja majina ya wananchi wa Tanzania aliowaajiri akiwa katibu wa OAU, na pia unaweza kukanusha kwamba hakuna mlinzi wake aliyefariki katika mazingara ya utatanishi sana kule Addis, na kwamba hakumpa gari aina ya pick up Ndejembi kumpigia kampeni za urais, na kwamba toka awe mwanasiasa amewahi kugombea wapi nafasi ya uongozi wa wananchi na akachaguliwa, haya unaweza kuyakanusha ukitaka, na pia ukitaka unaweza kuweka hapa nature ya mahusiano yake na yeye ni nini hasa? ila sikulazimishi,

- Otherwise, mkuu nasimamia pale pale kwamba sina sababu ya kwenda deep na mapungufu ya Salim, kwanza sina sababu pili kama unavyosema mwenyewe hagombei anything,

However: mimi nitaendelea kuwajadili viongozi wanaofaa na wasofaa kuliongoza taifa letu huko mbele ya safari tunakokwenda, ni haki yangu kama mwananchi kufanya hivyo Salim ni mwanasiasa professional aliyoichagua mwenyewe ambayo ni lazima ujadiliwe na wananchi na ndio tunahokifanya hapa sio kwa sababu ana ukaribu na wewe basi haguswi hapana anaguswa kila politician na haogopwi mtu hapa!

Naomba nikukumbushe tena kwamba sina mpango wowote wa kumjadili deep, hapo hapo nimemaliza na ninaendelea mbele na mjadala huu wa kujadili viongozi wanaotufaa na wasiotufaa Tanzania.

Respect.


FMEs!
 
JF bwana, kazi kweli kweli! Ni personalities, personalities and personalities tu kila siku.

Iko wapi ile mijadala mizito ya sera na visions kama ilivyokuwa huko nyuma?

Tusipoangalia JF itageuka na kuwa jungu kuu la majungu!


- Mkuu hili ndilo tatizo kubwa sana letu wa-Tanzania, hatupendi kujadili ukweli tunapenda kuufukia bora liende, matokeo yake tunakuja kulia later hakuna aliyekukataza kuanzisha mijdala ya sera na visions, ila sijui unawezaje kujadili kiongozi on his sera na visions zake bila kumjadili uwezo wake kiuongozi on sera na visions,

- Wananchi watajuaje kwamba kiongozi waliyemchagua ana sera zinazo wafaa na visions kama hakujadiliwa uwezo wake kwa mapana na marefu? Zile za viongozi wetu kuamuliwa na mtu mmoja au kamati kuu ya CCM zimepita mkuu, na zile enzi za wananchi kunyamaza kimyaa kwa sababu ya kuiogopa serikali zimepita mkuu sasa tuko huru, kumjadili na kumchambua kwa kina kiongozi yoyote anayetaka kutuongoza,

- Viongozi wasiokuwa na uwezo wa kuongoza lakini wanalilia uongozi ni lazima wasemwe na wananchi wawajue, siasa ni watu na watu wenyewe ni sisi wananchi na viongozi wetu, hakuna sera wala visions bila watu, sasa tutajadili vipi sera na visions bila ya kuwajadili watakaozitekeleza hizo sera na visions? It does not make any sense!

- Tusikimbie vivuli vyetu ninajua kwamba viongozi wetu ni reflection yetu wenyewe wananchi, sasa wakati unaanza kufika wa sisi wananchi kuanza kutenganisha hii reflection ya sisi wananchi na viongozi wetu ndio maana ni muhimu kuwajadili!

Respect.


FMEs!
 
Nafikiri kuna watu wana ndoto ya kuwa marais...nchimbi, membe ni vizuri wakamulikwa credibilities zao isije ikawa surprise halafu balaa..
 
- Mkuu Omaar, ninarudia tena sina sababu ya kwenda deep na dataz pamoja na facts kuhusu mapungufu ya Salim na uongozi, isipokuwa bado unayo nafasi ya kukanusha kwa kutaja majina ya wananchi wa Tanzania aliowaajiri akiwa katibu wa OAU, na pia unaweza kukanusha kwamba hakuna mlinzi wake aliyefariki katika mazingara ya utatanishi sana kule Addis, na kwamba hakumpa gari aina ya pick up Ndejembi kumpigia kampeni za urais, na kwamba toka awe mwanasiasa amewahi kugombea wapi nafasi ya uongozi wa wananchi na akachaguliwa, haya unaweza kuyakanusha ukitaka, na pia ukitaka unaweza kuweka hapa nature ya mahusiano yake na yeye ni nini hasa? ila sikulazimishi,
FMEs!

Yaani shutuma utoe wewe, ushahidi nitoe mimi?

nimekuwepo JF kwa muda mrefu sana sasa nikiwa na lengo moja tu, nalo ni siku moja kuliona taifa langu likiongozwa kwa kuheshimu sheria.

FMEs!

Haya bwana, ndiyo aina ya utawala wa sheria na umakini unaopiganiwa kujengwa katika Tanzania yetu. Unashutumu, unatengeneza kashfa na kuzisambaza halafu unampa uliyemshutumu jukumu la kujisafisha.....

omarilyas
 
-

- Mimi ni CCM damu na ni mwanachama mkereketwa na nitaendelea hivyo mpaka chama changu kitakaposafishika, ipo siku inakuja ila one thing siwezi kufanya ni kuja hapa na kujifanya neutral au sina upande, hapana!




!

es!

That was just an automatic reminder, computer have been programmed by CCM member her name is Sofia Simba, she is also minister(FYI) who claimed all CCM are mafisadis, so as you!

Hakuna kuangaliana usoni, programm hii haikufahamu inaangalia post zako tu humu wala haina muda wakujibu hoja nisizozifahamu

CCM mafisadi, CCM mafisadi, CCM mafisadi....CCM mafisadi....CCM mafisadi

start;
A=CCM mafisadi
B=FMES is a member of CCM
C=B is a subset of A!

so B=mafisadi

end;
Hence FMES fisadi

Display output

FMES=FISADI.
 
Nafikiri kuna watu wana ndoto ya kuwa marais...nchimbi, membe ni vizuri wakamulikwa credibilities zao isije ikawa surprise halafu balaa..

- Mkuu T, ahsante sana mkuu hapa tupo pamoja sana ingawa somtimes ni kwa kuchechemea, lakini hivyo hivyo tutafika mkuu na tunaendelea!

es!
 
That was just an automatic reminder, computer have been programmed by CCM member her name is Sofia Simba, she is also minister(FYI) who claimed all CCM are mafisadis, so as you!

Hakuna kuangaliana usoni, programm hii haikufahamu inaangalia post zako tu humu wala haina muda wakujibu hoja nisizozifahamu

CCM mafisadi, CCM mafisadi, CCM mafisadi....CCM mafisadi....CCM mafisadi

start;
A=CCM mafisadi
B=FMES is a member of CCM
C=B is a subset of A!

so B=mafisadi

end;
Hence FMES fisadi

Display output

FMES=FISADI.


- Waberoya kweli unategemea mimi mtumzima na akili zangu timamu nijibu this childish?


es!
 
Kaka kwa unachokifanya hapa sidhani kama unamheshimu hata chembe Dr Salim ambaye hata siku moja hajawahi kumvunjia heshima si mzazi wako na wala sio hao waliokuwa wakimtukana wakati ule na hadi sasa wanaendelea kwa njia nyingine.

Kudai huwezi kuweka facts kwa sababu unamheshimu ni njia ya kukimbia jukumu lako la kuweka the so called facts and dataz.

Ni kweli niko karibu naye na kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia kuhusu hayo yanayo/ mnayoyasema na kujua ukweli wake. Sasa kwa kuwa wewe ndiye unayeweka tuhuma hapa na kudai kuwa ni facts, then ni jukumu lako kutoa huo unaoita ushahidi utakaosimamisha tuhuma zako.

omarilyas

Mwambie huyo rafiki yako FMES a re-call yote anayoyasema hapa na aliyowahi kunzisha thread hii

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/43822-dr-salim-the-conspiracy-and-dataz.html

I give you an assignment, correlate between that thread na hizi post za FMES kuhusu salimu.

FMES anajua kila kitu zaidi ya JK, be careful.
 
3. Jimbo la Njombe South: Mama Anna Makinda


- Kama kawaida hapa napenda kusema kwamba masilahi ya taifa katika uchaguzi wa hili jimbo la Njombe South, yatawakilishwa vyema na Mama Makinda mbunge wa sasa, naibu Spika na mjumbe wa CC ya CCM.

- Na yeye ni mmoja wa wabunge waliosimama kidete sana kupigana vita vya mafisadi, wananchi wa Njombe South wamchague huyu mama, maana anatufaa sana kwenye masilahi ya taifa, tunajua kwamba na yeye ni target kubwa sana ya mafisadi na huu uchaguzi, katika kampeni zao za kuhakikisha harudi bungeni, lakini tunasema ni muhimu sana huyu arudi tena na hasa uzito wa sauti yake kwenye kamati kuu ya CCM.


- Hapa chini ni wasifu wake:-



Saturday November 28, 2009 Feature
Anna Makinda: A distinguished woman politician
06_09_q41vns.jpg
Ms Makinda chairs a Bunge session in Dodoma




TUMA ABDALLAH,

For Anna Makinda joining politics was not a matter of coincidence. She was born a leader. She has so far spent almost all her life since graduation from college serving the nation and the people at various leadership positions.

Ms Makinda, an Accountant by profession trained at the Morogoro-based Institute of Development Management (IDM), started practising politics in primary school when she was an active member of TANU Youth League. At that time she served as a young pioneer.

She got her secondary education at Masasi Girls where she was also very active in politics. The school, she says, was run by Salvatorian Sisters who were foreigners and therefore left all political affairs in the hands of students. “I was the Chairperson of TANU Youth League branch there.

We used to do everything from receiving political leaders at the school to organization of commemoration of various anniversaries,” she says. In 1975 she joined active politics at her pick age of 23 when she was nominated an MP through the youth wing and therefore becoming the youngest legislator of that time. “When I contested for the parliamentary seat I was still on probation at TIC. I graduated in June and joined the parliamentary race in October. When I won the seat I had two options of either becoming a full time MP or continuing with my employment at TIC as a state auditor.

I chose to become a full time legislator,” she says. She opted for Bunge to avoid conflict of interest. “The salary at TIC was many times higher than that of Bunge and my employment there was guaranteed for many more years than Bunge which was a 5-year tenure…but I decided to take chances,” she says.

This is her seventh consecutive term in the National Assembly where she has served as a back bencher, a cabinet minister and now as Deputy Speaker. She has been a constituency MP (Njombe South) since 1995.

She served as a back bencher for eight years till 1983 when she was appointed Minister of State in the Prime Minister and First Vice-President’s Office in charge of policy affairs, disaster management and coordination of government business in the National Assembly (Chief Whip). Ms Makinda says she became minister at a time when the country was faced with a lot of developmental challenges.

We had the Late Edward Sokoine as the Prime Minister by then. The economic situation was very bad and it was really tough to get things moving,” she recalls. Being a minister in the PMO in charge of operations of the central government, I had a lot to do. This is the time when my hair started to turn grey. We almost developed peptic ulcers,” she says.

She was at one time Minister in the Prime Minister’s Office (Information and Broadcasting) before she was appointed founder Minister for Community Development, Women Affairs and Children from 1990-1995. A big challenge at the Community Development ministry, she says, was to visualise how people can actively participate in bringing about their own development.

She was appointed Ruvuma Regional Commissioner in 1995, the post she served till the year 2000. This, she says, was the responsibility that she liked most because it gave her daily direct contact with people.

she says. From 2000 – 2005 she served as the Chairperson of the Parliamentary Standing Committee on Natural Resources, Environment and Poverty alleviation.

She was also Chairperson of Bunge, assisting the Speaker in the running of parliamentary sessions and other related matters. In 2005 she was elected the Deputy Speaker of the National Assembly, becoming the first Tanzanian woman to hold that position.

Ms Makinda is bold and visionary. She has made a turn around in Njombe’s educational development. When she became the MP for Njombe in 1995, the area had very poor educational infrastructure with very few primary schools and a limited number of secondary schools.


Her life is full of experiences. She has also served in many boards of directors including the Tanzania Railways Corporation (TRC), National bank of Commerce (NBC), Texco, Legal Corporation, Tanesco, Mwatex, Mutex, Mbeya Tex, Engineers Registration Board and Bora Shoes Company.
 
http://www.afdevinfo.com/htmlreports/ad02.html

Name Anna Makinda
589.png
Surname Makinda First Names Anna Semamba Alternate Name Title Country of Birth Tanzania Positions From To Organisation Position 2006 Speaker's Office Deputy Speaker 2005 Njombe Kusini Constituency MP for Njombe Kusini 1990 1995 Ministry of Community Development, Gender & Children Minister of Community Development, Gender & Children 1977 CCM National Executive Committee Member of National Executive Council 1975 1983 Chama cha Mapinduzi TANU/CCM - Ten Cells Leader 1971 1975 Advanced Diploma in Administration - Institute of Development & Management - Morogoro 1971 1975 Tanganyika African National Union (TANU) - now known as CCM TANU Chairman of Youth League - Mzumbe 1969 1970 Tanganyika African National Union (TANU) - now known as CCM TANU Chairman of Youth League - Kilakala 1965 1968 Tanganyika African National Union (TANU) - now known as CCM TANU Chairman of Youth League Date of Birth 15 Jul 1949 Political Affiliation CCM eMail Telephone Address Notes EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Institute of Development & Management - Morogoro Administration Course 1971 1975 ADV DIPLOMA
Kilakala Girls' Secondary School(Marian College) A-Level Education 1969 1970 HIGH SCHOOL
Masasi Girls' Secondary School O-Level Education 1965 1968 SECONDARY
Peramiho Girls' Middle School Primary Education 1961 1964 PRIMARY
Uwemba Primary School Primary Education 1957 1960 PRIMARY
--------------------------------------------------------------------------------
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list
--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
- Regional Commissioner 1995 2000
Ministry of Community Development, Women Affairs and Children Minister 1990 1995
State,Prime Minister's & First Vice President Office Coordination of Union Matters 1983 1990
State,Prime Minister's & First Vice President Office In charge of Central Government Coordination 1983 1990
Tanzania Government In charge of Information and Broadcasting 1983 1990
State,Prime Minister's & First Vice President Office Minister 1983 1990
National Bank of Commerce Board Member 1978 1983
Surveyors Building Contractors Consultants Board Member 1978 1983
Tanzania Railways Corporation Board Member 1977 1983
Tanzania Legal Corporation Board Member 1977 1983
Mbeya Textile Company Board Member 1977 1983
National Textile Company Board Member 1976 1983
Tanzania Elimu Supplies Board Member 1976 1983
The Public Accounts Committee of the Parliament Member 1975 1983
Tanzania Audit Corporation Auditor 1975 1976
The Institute of Development Management-Mzumbe Board Member 1971 1976
--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
CCM-Chama Cha Mapinduzi Member of National Executive Council 1977 Todate
TANU/CCM-Chama Cha Mapinduzi Ten Cells Leader 1975 1983
TANU Chairman -Youth League-IDM, Mzumbe 1971 1975
TANU Chairman -Youth League-Kilakala 1969 1970
TANU Chairman of Youth League 1965 1968
[ Retrieved on 13/7/2006 - www.parliament.go.tz ]
 
FMES I sincerely apologizing for my previous posts, lets go on Man.I have realised is the forums for anyone not place for calling names

cheers
 
Mkuu, watanzania wote tungefurahi sana kupata viongozi watakaojali maslahi ya taifa, nakiri hii ndo key priority kufikiria kwa sasa, lakini nathubutu kusema kuwa ndo ndoto kwa vigezo vifuatavyo

1. Huwezi kupata viongozi waadilifu, wenye moyo wa kuwatumikia wanachi kama katiba yetu itabaki ilivyo - hata tume ya uchaguzi kuwa chini ya watawala - hapo utata

2. Elimu ya uraia kwa watanzania wengi ni ndogo mno hasa mikoa na kati na kusini - na hii inachangia mno kutojua ni njinsi ipi kugundua kiongozi anayechaguliwa ni mwadifu au fisadi

3. Ushabiki wa vyama - watu wengi wanachagua chama ambacho wanaona wengi wanakifuata bila kujua ni kipi kimewafanyia

4. Rushwa - bila kutokomeza rushwa sahau kupata viongozi watakaoweka mbele maslahi ya taifa. - takukuru iwe taasisi huru isiwe chini
ya watawala

5. Umaskini na kukata tamaa wa wananchi wa kipato cha chini sasa wameamua kutojitokeza hata kupanga foleni ya kupiga kura - lazima kwanza tuamshe ari ya wananchi na wajue hii ni nchi yao na wako tayri kufa kuitetea - leo hii hakuna kitu.

6. Utawala - Nani anathubutu kujohi au kuuliza gari la mkurungezi limepaki pale rose garden usiku wa saa sita? bado tuna fikira za chama kimoja na hii kuiondoa kichwani itachukua muda.

Mkuu leo hii nikiamua kukutajia viongozi wanaojali maslahi ya taifa hawatafika 20, kwa nini? na hao hao 20 wengine tayari wameshaaza kununuliwa na kuona hakuna haja ya kuililia nchi hii, umeikuta na utaiacha sasa kijana shika chako upumzike na familia yko bwa mdogo!

maoni yangu...

Mpaka mabadiliko ya mfumo mzima wa utawala utakapobadilika ndo tunaweza sasa kusema tunaweza kuwapata hawa viongozi waadirifu - kwa sasa Mkuu uliza watu watakwambia ni Dr Slaa peke yake...
 
Slaa , Dr. Wilbrod .


Level International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993 1993 CERTIFICATE

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985 1985 CERTIFICATE

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980 1981 ADV DIPLOMA

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977 1981 PHD

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974 1977 CERTIFICATE

Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972 1973 CERTIFICATE

Itaga Seminary School A-Level Education 1970 1971 HIGH SCHOOL

Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966 1969 SECONDARY

Karatu Primary School Primary Education 1962 1965 PRIMARY

Daudi Primary School Primary Education 1961 1961 PRIMARY

Kwermusl Primary School(Mbulu) Primary Education 1958 1960 PRIMARY

Kwenye hiyo CV ya kiongozi wetu inaonekana ana ADV. Diploma ila sioni sehemu amesema amesoma Masters degree au inawezekana kutoka ADV. Diploma bila kusoma Masters na ukapewa PHD? Naomba kujuzwa katika hilo wakuu..!
 
Mkuu, watanzania wote tungefurahi sana kupata viongozi watakaojali maslahi ya taifa, nakiri hii ndo key priority kufikiria kwa sasa, lakini nathubutu kusema kuwa ndo ndoto kwa vigezo vifuatavyo

1. Huwezi kupata viongozi waadilifu, wenye moyo wa kuwatumikia wanachi kama katiba yetu itabaki ilivyo - hata tume ya uchaguzi kuwa chini ya watawala - hapo utata

2. Elimu ya uraia kwa watanzania wengi ni ndogo mno hasa mikoa na kati na kusini - na hii inachangia mno kutojua ni njinsi ipi kugundua kiongozi anayechaguliwa ni mwadifu au fisadi

3. Ushabiki wa vyama - watu wengi wanachagua chama ambacho wanaona wengi wanakifuata bila kujua ni kipi kimewafanyia

4. Rushwa - bila kutokomeza rushwa sahau kupata viongozi watakaoweka mbele maslahi ya taifa. - takukuru iwe taasisi huru isiwe chini
ya watawala

5. Umaskini na kukata tamaa wa wananchi wa kipato cha chini sasa wameamua kutojitokeza hata kupanga foleni ya kupiga kura - lazima kwanza tuamshe ari ya wananchi na wajue hii ni nchi yao na wako tayri kufa kuitetea - leo hii hakuna kitu.

6. Utawala - Nani anathubutu kujohi au kuuliza gari la mkurungezi limepaki pale rose garden usiku wa saa sita? bado tuna fikira za chama kimoja na hii kuiondoa kichwani itachukua muda.

Mkuu leo hii nikiamua kukutajia viongozi wanaojali maslahi ya taifa hawatafika 20, kwa nini? na hao hao 20 wengine tayari wameshaaza kununuliwa na kuona hakuna haja ya kuililia nchi hii, umeikuta na utaiacha sasa kijana shika chako upumzike na familia yko bwa mdogo!

maoni yangu...

Mpaka mabadiliko ya mfumo mzima wa utawala utakapobadilika ndo tunaweza sasa kusema tunaweza kuwapata hawa viongozi waadirifu - kwa sasa Mkuu uliza watu watakwambia ni Dr Slaa peke yake...

- Mkuu maneno mazito sana na ubarikiwe sana!

Respect.


FMEs!
 
Wakuu, pamoja na kuwa tunatakiwa tupate kiongozi mwenye uelewa wa dunia na kiongozi asiye mbumbumbu lakini tusije kujifanya vipofu kwa kufanya elimu kiwe kigezo pekee.

Tuna watu wamesoma kwenye vyuo vikubwa kabisa duniani na wamekuwa madarakani, lakini angalia jinsi walivyokuwa useless, ni wezi na matapeli tu, kuna wengine walijidai kuwa ni watu wa principle lakini kumbe ni wananfiki tu. Kuna wengine wametafuta hata Phds za uchochoroni na tunaona wanachofanya. Elimu peke yake sio kigezo, ni zaidi ya hapo.

Kwanza kabisa tukumbuke kuwa tunaweza kuwa wana CCM, Chadema au CUF, lakini kwanza ni watanzania, na tunataka mtanzania anayeijali Tanzania na kulinda maslahi ya Tanzania. Regarldless anatoka chama gani.
 
Back
Top Bottom