Mkuu hujanichek pleas 0769444542Kama unapenda vitu vya kipekee na ubunifu uliotukuka, kamwe huwezi kukutana na kazi hizi kisha ukaacha kutia neno.. Hapa ni ubunifu, usanifu na uchongaji uliotukuka... Siishi kuzitamani hizi kazi... Mbao tupu tena halisi hakuna plastic hata moja
Sharing is caring...❤🎀👌🏿View attachment 3249222