.Kwa taarifa yako HATA SHETANI ANAWEZA KUWAPA WATU MAMLAKA , si kila mamlaka yatoka kwa bwana. Mfn JECHAISM......,MUNGU muumba aweza kubariki maamuzi kama yale ya Jeccha?, hujui kuna ma taasisi makubwa yana mamlaka lani yapo chini ya mamlaka za shetani?, kuwa makini na post zakoLakin mungu ndo kawapa mamlaka za duniani
Naam, amewapa madaraka kama dhamana, wafanye KWA KADIRI YA MAPENZI YAKE. ndiyo maana kuna siku watasimama mbele yake na kutoa HESABU YA MATENDO YAO YOTELakin mungu ndo kawapa mamlaka za duniani
Waache kumuombea mabaya Lissu jamani. Du binadamu sio wanyama wazuri.Mkuu Lissu hawezi kufutiwa Ubunge sababu inajulikana ni mgonjwa na taarifa hizi hakuna asiyezijua. Hao waliokuwa wanajadili hii kitu ni "chuki" tu na "roho mbaya" ndizo zinawaongoza kufanya hivyo.
Mungu hawezi kuwa mamlaka wapuuzi, wameyapora wenyeweLakin mungu ndo kawapa mamlaka za duniani
Kuna Mungu wa wenye mamlaka hata kama wenye mamlaka ni maharamia. Kuna Mungu mwenye mamalaka ya haki. Unasema hata Iddi Amini alipewa mamlaka na Mungu. Mawazo mazuri sana ya Lumumba.Lakin mungu ndo kawapa mamlaka za duniani
Tunakula bia huku tunatazama mamba rufiji.
Iyeeeei!
Hakuna raisi imara katika miongo hii kama Magufuli..hakuna.
Wewe guest number one ISIS
Naomba nialike walahi!
Hahahaha
Siku akifukuzwa nimeandaa party huku rufiji.
Indeed!
Na asipokuwa upande wa serikali atakuwa upande wa kina nani? Saccos, please!
Kwa kweli na ni haki!
ndivyo mnajifariji... huyo aliyewashikia akili zenu!
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Usijibu mapumbavu kama huyu mkuuView attachment 677463
Uishi maisha marefu ili uendelee kuumia zaidi na chuki dhidi ya Lisu
Kutengua UBUNGE wa mbunge yeyote tunafuata katiba ya nchi na taratibu zilizowekwa... eg kufukuzwa uanachama etc... na si MAONI YA MTU.....Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.