Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

you ain't no killers
mnatetemeka hata mkiwa na smg's mkononi hadi mnamiss target
Bora sisi angalao unapata hata vidonda
Pawj.gif
 
Katika viunga vya maeneo fulani Dodoma, mtu mmoja mzito anajiuliza kwanini mbunge haudhurii miezi kadhaa Bungeni bila ruhusa ya Mkuu wake alafu anaendelea kusema bado ni mbunge?

Ameshangaa kwanini sheria zinaandikwa tu kwenye makablasha lakin hazitumiki kiuhalisia,

Anayezungumziwa ni
Lissu hayupo bungeni tangu Septemba 8, mwaka jana. Kanuni ya 117 ya Bunge, inasema mbunge ambaye hatahudhuria mikutano mitatu mfululizo bila ruhusa ya Spika atapoteza ubunge.

Lissu mpaka leo ni mbunge, maana yake Spika anatambua udhuru wake kuwa ni mgonjwa. Vinginevyo angekuwa ameshafutwa ubunge, maana alishapitisha mikutano mitatu mfululizo.
Lakin pamoja na kwamba anatambua udhuru wake kuwa mgomjwa ila hana ruhusa ya kutibiwa nje hakufuata utaratibu mpaka huko nje, hana referral ya Bunge kwenda nje kupitia Muhimbili,

Mkutano mkuu ndani ya watu fulani ambao umehusisha wastaafu kadhaa kwamba ni aibu kuendelea kulea utovu wa nidhamu na spika wa Bunge kulifumbia macho,
Haya tuseme mmemfutia ubunge.. Nyie mnafaidika vipi? Na hili wala hatutashangaa maana kama waliweza kumpiga risasi zaidi ya 20 mchana kweupe nini kitashindikana? risasi zaidi ya 20.. ujue hili jambo limezidi unyama hata Hitler na ukatili wake wote hakuwahi kucharaza mtu risasi 20!
 
Back
Top Bottom