Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Katika viunga vya maeneo fulani Dodoma, mtu mmoja mzito anajiuliza kwanini mbunge haudhurii miezi kadhaa Bungeni bila ruhusa ya Mkuu wake alafu anaendelea kusema bado ni mbunge?

Ameshangaa kwanini sheria zinaandikwa tu kwenye makablasha lakin hazitumiki kiuhalisia,

Anayezungumziwa ni
Lissu hayupo bungeni tangu Septemba 8, mwaka jana. Kanuni ya 117 ya Bunge, inasema mbunge ambaye hatahudhuria mikutano mitatu mfululizo bila ruhusa ya Spika atapoteza ubunge.

Lissu mpaka leo ni mbunge, maana yake Spika anatambua udhuru wake kuwa ni mgonjwa. Vinginevyo angekuwa ameshafutwa ubunge, maana alishapitisha mikutano mitatu mfululizo.
Lakin pamoja na kwamba anatambua udhuru wake kuwa mgomjwa ila hana ruhusa ya kutibiwa nje hakufuata utaratibu mpaka huko nje, hana referral ya Bunge kwenda nje kupitia Muhimbili,

Mkutano mkuu ndani ya watu fulani ambao umehusisha wastaafu kadhaa kwamba ni aibu kuendelea kulea utovu wa nidhamu na spika wa Bunge kulifumbia macho,
Fanyeni yote ila mungu yupo juu ya kila kitu kilicho chini ya jua. Wisho wa ubaya ni aibu.
 
Waacheni wafanye watakvyo. Ila wakae wakijua kuwa hawana kinga ya mahakama.
Kuna watu watashitakiwa wao kama binafsi.
 
Nipo tu CCM kuwaenzi wazazi wangu lkn ukweli kimebakiwa na watu wachache sana wenye hekima. Nahisi Kikwete aliondoka na ustaarabu uliokuwa umebakia anyway pambaneni na hali zenu huko Tz
 
Lissu hahitaji ubunge ili kuongea ukweli. Huko bungeni ambapo ndio mtu anapaswa kuongea kwa uwazi sasa hivi limekuwa bunge kibogoyo. Hivyo Lissu anaweza sana kufanya siasa bila hata kuwa mbunge. Slaa 2010-2015 hakuwa mbunge na alifanya siasa sana tu.
Sawa ila party yangu iko palepale.
 
Waacheni wafanye watakvyo. Ila wakae wakijua kuwa hawana kinga ya mahakama.
Kuna watu watashitakiwa wao kama binafsi.

Mkuu hata hao wenye kinga ni utashi tu wa walioko madarakani ndio unawanusuru. Hapa africa ukiwa kiongozi unafuata katiba utakavyo na hakuna lolote unafanywa. Usishangae huko mbeleni akaja kiongozi akafunga hawa marais wastaafu na mahakama ikatekeleza. Mifano halisi ya mahakama kuhukumu kwa kufuata utashi wa viongozi ni sasa. Umewahi kuona wapi hakimu anatakataliwa na washitakiwa lakini analazimisha? Africa sheria zina macho ndugu.
 
Sawa ila party yangu iko palepale.

Unaruhusiwa hata ukitaka kualika watu kupitia vyombo vya habari kuhusu hiyo party yako ni sawa. Ukiona vinywaji vitapungua toa taarifa tukuongezee. Hii ndio demokrasia, mmefanya kazi kubwa, risasi 38 simchezo kaka.
 
Katika viunga vya maeneo fulani Dodoma, mtu mmoja mzito anajiuliza kwanini mbunge haudhurii miezi kadhaa Bungeni bila ruhusa ya Mkuu wake alafu anaendelea kusema bado ni mbunge?

Ameshangaa kwanini sheria zinaandikwa tu kwenye makablasha lakin hazitumiki kiuhalisia,

Anayezungumziwa ni
Lissu hayupo bungeni tangu Septemba 8, mwaka jana. Kanuni ya 117 ya Bunge, inasema mbunge ambaye hatahudhuria mikutano mitatu mfululizo bila ruhusa ya Spika atapoteza ubunge.

Lissu mpaka leo ni mbunge, maana yake Spika anatambua udhuru wake kuwa ni mgonjwa. Vinginevyo angekuwa ameshafutwa ubunge, maana alishapitisha mikutano mitatu mfululizo.
Lakin pamoja na kwamba anatambua udhuru wake kuwa mgomjwa ila hana ruhusa ya kutibiwa nje hakufuata utaratibu mpaka huko nje, hana referral ya Bunge kwenda nje kupitia Muhimbili,

Mkutano mkuu ndani ya watu fulani ambao umehusisha wastaafu kadhaa kwamba ni aibu kuendelea kulea utovu wa nidhamu na spika wa Bunge kulifumbia macho,
Kabla ya kujiuliza mambo usiyoyajua... ungetafakur kujua je ni yeye MH. LISSU ndio wa kwanza kutokanyaga mjengoni kwa kipindi kirefuuu?? kisha ndio ungeleta huu uharisho wako.
KAMA UNAMJUA MH. TUNTEMEKE SANGA aliweza kutohudhuria mjengoni kwa taribani MIAKA Mi3 mfululizo na alikuwa anapokea posho akiwa kitandani hindumandal MPAKA MAUTI YAKAMKUTA je hicho unachojiuliza unadhani serekale yako haikijui na kwanini wako kimyaa?
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Hatahivyo MAGWANGALA anaendelea vizuri na wala haitajiki kupelekwa UBELIGIJI...😛 atafungwa PIOPII litamtosha kuuguza kidonda na michubuko.
 
Katika viunga vya maeneo fulani Dodoma, mtu mmoja mzito anajiuliza kwanini mbunge haudhurii miezi kadhaa Bungeni bila ruhusa ya Mkuu wake alafu anaendelea kusema bado ni mbunge?

Ameshangaa kwanini sheria zinaandikwa tu kwenye makablasha lakin hazitumiki kiuhalisia,

Anayezungumziwa ni
Lissu hayupo bungeni tangu Septemba 8, mwaka jana. Kanuni ya 117 ya Bunge, inasema mbunge ambaye hatahudhuria mikutano mitatu mfululizo bila ruhusa ya Spika atapoteza ubunge.

Lissu mpaka leo ni mbunge, maana yake Spika anatambua udhuru wake kuwa ni mgonjwa. Vinginevyo angekuwa ameshafutwa ubunge, maana alishapitisha mikutano mitatu mfululizo.
Lakin pamoja na kwamba anatambua udhuru wake kuwa mgomjwa ila hana ruhusa ya kutibiwa nje hakufuata utaratibu mpaka huko nje, hana referral ya Bunge kwenda nje kupitia Muhimbili,

Mkutano mkuu ndani ya watu fulani ambao umehusisha wastaafu kadhaa kwamba ni aibu kuendelea kulea utovu wa nidhamu na spika wa Bunge kulifumbia macho,
Hivi wewe unatumia ubongo au makamasi?
 
Aliye msundikiza uwanja wa ndege kwenda kenya ni yupi kama siyo ndugai?
 
Unaruhusiwa hata ukitaka kualika watu kupitia vyombo vya habari kuhusu hiyo party yako ni sawa. Ukiona vinywaji vitapungua toa taarifa tukuongezee. Hii ndio demokrasia, mmefanya kazi kubwa, risasi 38 simchezo kaka.
Bazooka akirudi
 
Lakin mungu ndo kawapa mamlaka za duniani
Lissu yu hai
FB_IMG_1533535836617.jpg
 
Sasa hata kama angekuwa na ruhusa au angekuwa katibiwa humu nchini, sasa hivi angekuwa Bungeni ? Hebu kweni na roho ya hurama, khaaaa, hata kama tunamchukia Lisu lakini sio kwa kiasi hicho. Mtu katoka kwenye umauti, bado unamsakama tu kana kwamba wewe ndiye Mwenyezi Mungu. Mwingi wa Rehema, Unayejua mabaya na mazuri na Utaishi milele katika dunia hiii!!
Albadiri imeanza kuwatoa hadharani wote walishiriki tukio hovu la kinyama
 
Back
Top Bottom