Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Wazo la mleta Maana ni zuri lakini linachuki ndani yake. Huwezi muita mgonjwa na mtu anayepitia taabu Kama huyo et msaliti.
 
Tena mmechelewa, fanyeni hivyo hata leo usiku kesho iwe breaking news. Ubunge wa Tanzania unaona ni kitu cha maana sana kwa binadamu kiasi kwamba mtu akiukosa basi atakufa. Kwa hilo bunge alilosema Ole Sendeka hata mtu akiukosa bado hauna maana sana.
Angalia mshahara wa ubunge na marupurupu yake halafu linganisha na shida ulizonazo ndo utajua maana ya ubunge.
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Mnajisikiaje kumpiga risasi Mh. Lissu lakini Mungu wa haki akamponya.
 
Angalia mshahara wa ubunge na marupurupu yake halafu linganisha na shida ulizonazo ndo utajua maana ya ubunge.

Pitia post yangu uelewe, mbali ya maelezo yote nimesema mtu akiukosa ubunge atakufa? Ww naona unauzungumzia ubunge kama jambo la kipato, unataka kutuaminisha ili uwe na kipato cha kiwango fulani lazima uwe mbunge na usipokuwa utakuwa na shida. Acha utoto dogo.
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Sheitwani
 
Hapo malengo yatakuwa yametimia;kwani kabla ya shambulio haumkumwandaa kabisa mrithi?But to every action there is an equal and opposite reaction.
 
Kama Pogba anataka kuitia mbele a chuki yake kwa wabongo amsoopishe ubunge Tundu Lissu
 
Kwa wale watumishi wa uma wanaelewa, ukipata ajali, kuugua ni lazima wewe ama mtu wa karibu yako akafuate taratibu za kisheria ili ujaziwe ruhusa ya ugonjwa na iende kwa daktari aandike unatakiwa upumzike kwa muda gani. Usipofanya hivyo utatambulika kama watoro wengine na unaweza kufutwa kazi kabisa.
 
Kweli kuna watu wanaharisha kwa kutumia mdomo. Punguza kuharisha ovyo nenda kasome katiba inasema nini kuhusu ukomo wa mmbunge
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Unajitahidi kutuonyesha uoga wako juu ya lissu
 
Kwa wale watumishi wa uma wanaelewa, ukipata ajali, kuugua ni lazima wewe ama mtu wa karibu yako akafuate taratibu za kisheria ili ujaziwe ruhusa ya ugonjwa na iende kwa daktari aandike unatakiwa upumzike kwa muda gani. Usipofanya hivyo utatambulika kama watoro wengine na unaweza kufutwa kazi kabisa.
Mnasubiri nini kutomfuta Lissu Ubunge?
 
Wote wanaumuombea Mtanzania mwenzao mabaya kwa maslah Yao yakidunia kwanza wajiulize/tujiulize mwisho wao/wetu utakuaje wataishi/tutaishi vizuri bila yakupata mitihani kama iliyomfika ndugu yetu huyu tunaemtakia mabaya?

Dunia ni mapito hakuna mwenye hatimiliki yakuishi milele isipokuwa Muumba mwenyewe. Mifano mnaiyona nyinyi mnaowaombea wenzenu mabaya ili wafikwe niyale yote mnayoyapenda nafsini mwenu.

Kila mtu atabeba mzigo wake nashimo nilako pekeyako na hautashare na mwenzako. Lowasa mlimuombea atakufa karibu kipindi kile chá uchaguzi Lakin jee wale waliomuombea hivyo bado wakalipo? Mwenye mamlaka ya kumchukua mja wake muda wake WA kuishi duniani ni Mungu hunauwezo wewe kiumbe kumpangia Mungu taratibu za kumuondosha mja duniani kama muda haujafika.

Sherehe zako fanya unaposikia Tundu kafukuzwa ubunge. Jiulize sasa nitumie njia ipi mbadala ya kumnyima Tundu riziki zake. Uwezo huu unao? Kama huna wacha jeuri zako kiumbe wewe.
 
Back
Top Bottom