Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Katika viunga vya maeneo fulani Dodoma, mtu mmoja mzito anajiuliza kwanini mbunge haudhurii miezi kadhaa Bungeni bila ruhusa ya Mkuu wake alafu anaendelea kusema bado ni mbunge?

Ameshangaa kwanini sheria zinaandikwa tu kwenye makablasha lakin hazitumiki kiuhalisia,

Anayezungumziwa ni
Lissu hayupo bungeni tangu Septemba 8, mwaka jana. Kanuni ya 117 ya Bunge, inasema mbunge ambaye hatahudhuria mikutano mitatu mfululizo bila ruhusa ya Spika atapoteza ubunge.

Lissu mpaka leo ni mbunge, maana yake Spika anatambua udhuru wake kuwa ni mgonjwa. Vinginevyo angekuwa ameshafutwa ubunge, maana alishapitisha mikutano mitatu mfululizo.
Lakin pamoja na kwamba anatambua udhuru wake kuwa mgomjwa ila hana ruhusa ya kutibiwa nje hakufuata utaratibu mpaka huko nje, hana referral ya Bunge kwenda nje kupitia Muhimbili,

Mkutano mkuu ndani ya watu fulani ambao umehusisha wastaafu kadhaa kwamba ni aibu kuendelea kulea utovu wa nidhamu na spika wa Bunge kulifumbia macho,
 
Sasa hata kama angekuwa na ruhusa au angekuwa katibiwa humu nchini, sasa hivi angekuwa Bungeni ? Hebu kweni na roho ya hurama, khaaaa, hata kama tunamchukia Lisu lakini sio kwa kiasi hicho. Mtu katoka kwenye umauti, bado unamsakama tu kana kwamba wewe ndiye Mwenyezi Mungu. Mwingi wa Rehema, Unayejua mabaya na mazuri na Utaishi milele katika dunia hiii!!
 
Ukimuomba Mungu akusamehe Dhambi zako Husamehe Dhambi zako zote Jukumu lako ni Kuto zikumbuka tena Dhambi zako Je Tunaweza kutozikumbuka Dhambi zetu ili tupate msamaha wa kweli? If you ask God for Forgiveness of your Sins God Forgive your sins for all but also do not remember you Sins any more https://dailyverses.net/forgiveness
 
Sasa hata kama angekuwa na ruhusa au angekuwa katibiwa humu nchini, sasa hivi angekuwa Bungeni ? Hebu kweni na roho ya hurama, khaaaa, hata kama tunamchukia Lisu lakini sio kwa kiasi hicho. Mtu katoka kwenye umauti, bado unamsakama tu kana kwamba wewe ndiye Mwenyezi Mungu. Mwingi wa Rehema, Unayejua mabaya na mazuri na Utaishi milele katika dunia hiii!!

Inaelekea wanapima upepo kwanza ........ Sitashangaa kama kuna mkakati wa chini chini kumfukuza!!
 
Back
Top Bottom