Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
tapatalk_1515777881071.jpeg

Uishi maisha marefu ili uendelee kuumia zaidi na chuki dhidi ya Lisu
 
Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
Kwa kweli kimantiki kuna tofauti kubwa sana kati ya kuota ndoto na kuweweseka!! Mbona mnatembea huku mmelala?
 
Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!

Tena mmechelewa, fanyeni hivyo hata leo usiku kesho iwe breaking news. Ubunge wa Tanzania unaona ni kitu cha maana sana kwa binadamu kiasi kwamba mtu akiukosa basi atakufa. Kwa hilo bunge alilosema Ole Sendeka hata mtu akiukosa bado hauna maana sana.
 
Barbarosa, zamani kulikuwa na kitu kinaitwa reverse call. Yaani mpigiwa ndio analipa.

Nikichukua mfumo huo nikauweka kwenye mfumo wa namna binadamu anafikiri naamini kuna mtu kashikilia akili zako kakuachia kidogo tu za kubeep

Hebu toa sababu za msingi kama ni ugonjwa kuna waziri yupo likizo miezi mitatu sijui nae atafukuzwa ubunge, kuna hata kiongozi wa Bunge alikua mgonjwa hakuvuliwa.

Na bado wapo wengine wagonjwa hawaendi kwenye vikao lakini......

Tupe vifungu ulivyotumia kumhukumu Lisu avuliwe ubunge.

Toilet paper kazi yake ni moja tu.
 
Mimi ninaweza kuthibitisha uwepo wa kizazi changu hapa ardhi hii tuiitayo JMTZ kuanzia mwaka 1890, na hii ni kimaandishi kabisa na siyo kimaneno kuanzia Mababu na Bibi pande zote mbili!
Kwa mantiki hiyo hiyo bado waweza kukosa sifa za kuwa Mtanznia.
 
Chadema mada za kipuuzi Kama hizi msichangie, kwanza watuambie walituambia elimu bure sasa mbona butiama wanalipishwa 70,000?
Hatuna taarifa hizo wasilisha kwa RC atazifanyia kazi maramoja
 
Ndiyo Shithole Ubunge wake usitishwe, tuko pamoja hapo!

Umeona kule kwenye ile post ya Paskali anasifiwa na kupewa heshima yake kwenye mikataba ya madini, na huna hoja zozote za maana. Huku huyo unayemfagilia akipewa vipande vyake, umeamua kuja kuanzisha mada ya kuhamisha watu kule ili kupunguza mashambulizi.

Sasa hivi hata watu wameshastukia uzalendo uchwara mnaolisha watu. Ni muda mfupi tu kwenda hii 2020 watu wataanza kuhoji kimacho macho. Andaeeni risasi za kutosha kwani ile dawa ya uzalendo academia wagonjwa wametema.

Haya yanayoendelea hata viongozi wa dini wameona kukaa kimya itakula kwa umma.
 
Kwa maoni yangu Tundu Lisu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti!
Toka lini mawazo yako yakawa sheria?
 
Back
Top Bottom