Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Hakuna raisi imara katika miongo hii kama Magufuli..hakuna.
 
Sasa hata kama angekuwa na ruhusa au angekuwa katibiwa humu nchini, sasa hivi angekuwa Bungeni ? Hebu kweni na roho ya hurama, khaaaa, hata kama tunamchukia Lisu lakini sio kwa kiasi hicho. Mtu katoka kwenye umauti, bado unamsakama tu kana kwamba wewe ndiye Mwenyezi Mungu. Mwingi wa Rehema, Unayejua mabaya na mazuri na Utaishi milele katika dunia hiii!!
Mkuu, jamaa anakumbusha tu UTAWALA WA SHERIA.
Au unapenda UTAWALA WA KIDIKTETA?
 
Lakin mungu ndo kawapa mamlaka za duniani
Kuna mamlaka za kishetani...na Mungu hajawapa mamlaka ya kuonea au kutawala kimabavu...ndio maana Suleiman aliomba hekima ili atawale kwa haki...ila nyie mnaomba nguvu ili kutawala kimabavu..
 
Baada ya kuzichezea sharubu za kikwete sasa kombora limekuja na limeelelezwa upinzani.mpaka tusikie mwano
cryinglaughsmiley.gif
cryinglaughsmiley.gif
cryinglaughsmiley.gif
cryinglaughsmiley.gif
cryinglaughsmiley.gif
cryinglaughsmiley.gif
 
Aisee

Kuna tofauti gani kutibiwa nje na ndani huku huudhurii vikao??

Ina maana hao wanaojadili wanataka kusema angekuwa anatibiwa muhimbili angekuwa anaenda vikaoni??

Hiii sasa ni too much!!!

NCHI HII KAMA TUKO GEREZANI WOTE
 
Kuna mamlaka za kishetani...na Mungu hajawapa mamlaka ya kuonea au kutawala kimabavu...ndio maana Suleiman aliomba hekima ili atawale kwa haki...ila nyie mnaomba nguvu ili kutawala kimabavu..
Kama waisraeli au wamarekani au...
 
Back
Top Bottom