Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Pumbavu, mlishindwa kusitisha ubunge wake kwa mauaji mtaweza wakati huu? Lkn mlivyo majuha mtataka kweli kujaribu na hilo tena mashetani wakubwa nyie
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
We bashite hyo roho yako yako ya kishetani ukifikiri utaishi mile
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
watu wa singida wewe wa chato ubunge wa Lissu umekugusa wapi?
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
KURA YAKO SIYO INAYOKUPA MBUNGE UMPENDAYE, TUME NDIYO YENYE MAAMUZI YA MWISHO.
Kwa sasa hata ashinde vipi hawezi kupewa ubunge.
 
Mbunge Lisu baada ya kupona majeruhi yake ametangaza kwa mbwembwe kuanza ziara ya kuichafua nchi yake Tanzania huko barani Ulaya na USA.

Lisu ametangaza wazi lengo la ziara yake ni kwenda kushawishi nchi wahisani ziinyime misaada Tanzania!
Lisu anasahau kuwa Tanzania ikinyimwa misaada hata wananchi wake waliompigia kura kule Singida nao watakufa njaa vibaya sana.
Lisu amepigwa risasi na kikundi kidogo cha watu lakini anahukumu taifa zima wakiwemo wapiga kura wake wa Singida nao waisome namba eti kisa tu yeye alishambuliwa kwa risasi!! Hivi Tanzania aliyepigwa risasi ni Lisu tu??

Hata hivyo pamoja na nia ovu ya Lisu bado Mungu yupo pamoja na watanzania baada ya ziara ya Lisu kupuuzwa na vyombo vya habari vya kimataifa vikiwemo vya hao wazungu aliokimbilia kwenda kujipendekeza kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kati ya nchi na serikali,
Wewe unaitetea nchi au serikali???
Then lissu anaitetea nchi au serikali???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. MSALITI TUNDU LISSU ALIANZA KUTUSALITI DHIDI YA MAKINIKIA NA DHAHABU ZETU KWA KUWATETEA WAZUNGU WALIOKUWA WANATUIBIA. AKAJA KUTUSALITI TENA DHIDI YA NDEGE ZETU KWA KUFANYA FITINA HUKO CANADA ILI NDEGE ZISIWEZE KUNUNULIWA. SASA HIVI ANAZUNGUKA HUKO ULAYA NA MAREKANI AKIJARIBU KUICHAFUA SERIKALI YETU NA NCHI YETU KWA UJUMLA. YAANI BADO ANAENDELEA KUTUSALITI TU.
HUYU TUNDU LISSU NI MSALITI NAMBA MOJA WA TAIFA LETU. SASA ANAFANYA ZIARA HUKO ULAYA AKIJARIBU KUICHAFUA SERIKALI YETU. YAFAAA ALAANIWE!!

KWA HAYA ANAYOFANYA KUICHAFUA SERIKALI YETU, TUNDU LISSU ANAZIDI KUJIHARIBIA TU KWANI HAKUNA KITU CHA MAANA ATAKACHOPATA KWA HAO WAZUNGU, ZAIDI YA KUZUNGUKA NA KUSHANGAA MAGHOROFA YA ULAYA [emoji3][emoji3][emoji3]. AMINI NAKWAMBIA, ATASHINDWA TU. ATAISHIA KULIA NA KUSAGA MENO!!
WATANZANIA WA KWELI TUMESIMAMA PAMOJA NA SERIKALI YETU CHINI YA MHE. DR. JOHN POMBE MAGUFULI, JEMEDARI IMARA, ASIYEYUMBISHWA WALA KUOGOPA KITU CHOCHOTE. SIKU ZOTE WATANZANIA WAZALENDO WA KWELI TUTAZIDI KUIUNGA MKONO SERIKALI YETU NA RAIS WETU MPENDWA, DR. JOHN POMBE MAGUFULI, ALIYEJITOLEA KWA DHATI KUIJENGA NCHI NA KUIFANYA IWE NA UCHUMI WA KATI. KWA NYAKATI HIZI, DR. JOHN POMBE MAGUFULI NI RAIS BORA KABISA,,,WATANZANIA WOTE TUNAJUA, AFRIKA YOTE INAJUA NA DUNIA PIA INAJUA!!!
Huna akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom