Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,451
Tetesi za kutoka kwa kichwa
mbunge ambaye hatahudhuria mikutano mitatu mfululizo bila ruhusa ya Spika atapoteza ubunge.
britanicca, wewe ni wa kuandika hivi kweli.! Dah
Kwani spika yeye atakuwepo hapo kwa muda gani? Na je spika alivyokwenda kuibiwa India mwaka mzima, kulitokea nini Kongwa? Acheni husda haya maisha ni mafupi sana, acheni kiburi cha uzima.Katika viunga vya maeneo fulani Dodoma, mtu mmoja mzito anajiuliza kwanini mbunge haudhurii miezi kadhaa Bungeni bila ruhusa ya Mkuu wake alafu anaendelea kusema bado ni mbunge?
Ameshangaa kwanini sheria zinaandikwa tu kwenye makablasha lakin hazitumiki kiuhalisia,
Anayezungumziwa ni
Lissu hayupo bungeni tangu Septemba 8, mwaka jana. Kanuni ya 117 ya Bunge, inasema mbunge ambaye hatahudhuria mikutano mitatu mfululizo bila ruhusa ya Spika atapoteza ubunge.
Lissu mpaka leo ni mbunge, maana yake Spika anatambua udhuru wake kuwa ni mgonjwa. Vinginevyo angekuwa ameshafutwa ubunge, maana alishapitisha mikutano mitatu mfululizo.
Lakin pamoja na kwamba anatambua udhuru wake kuwa mgomjwa ila hana ruhusa ya kutibiwa nje hakufuata utaratibu mpaka huko nje, hana referral ya Bunge kwenda nje kupitia Muhimbili,
Mkutano mkuu ndani ya watu fulani ambao umehusisha wastaafu kadhaa kwamba ni aibu kuendelea kulea utovu wa nidhamu na spika wa Bunge kulifumbia macho,
Ofkoz mungu ndio kawapa sio Mungu.Lakin mungu ndo kawapa mamlaka za duniani
Asante sana!Lakin mungu ndo kawapa mamlaka za duniani
Kama Mungu hayupo upande wa serikali, wasingenunua ndege, kujenga reli mpya, kujenga Barabara, ku-control mfumuko wa bei na kadhalika. Mamlaka hii ipo chini ya Mungu, wasiotii ndio wanalaaniwa.Fanyeni yote mnayotaka ila Mungu si ndugu yenu..anahukumu kwa haki
Lakin mungu ndo kawapa mamlaka za duniani
Indeed!Kama Mungu hayupo upande wa serikali, wasingenunua ndege, kujenga reli mpya, kujenga Barabara, ku-control mfumuko wa bei na kadhalika. Mamlaka hii ipo chini ya Mungu, wasiotii ndio wanalaaniwa.
Siku akifukuzwa nimeandaa party huku rufiji.Kwa kweli na ni haki!
Naomba nialike walahi!Siku akifukuzwa nimeandaa party huku rufiji.
Naomba kuelezwa maana isiyo ya kinafiki ya fungu linalosema "Hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu".Lakin mungu ndo kawapa mamlaka za duniani
Kama anavyohukumu kwa Haki katika Dhambi ya kutafuna RUZUKU na UKABILA.Fanyeni yote mnayotaka ila Mungu si ndugu yenu..anahukumu kwa haki